Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

yote ni majungu!!!! mwashe afanya yote kila msanii anakili yake,lazima wabongo tutumie ubongo we uwezi kutapeliwa wakati wewe ni msanii......
 
Ikiwa ni post yangu ya kwanza,ningependa kuwajulia hali wana JF na wadau wote wenye nia njema na nchi yetu Tanzania.

Leo nimeamua kuidadicate post yangu ya kwanza kwa wanaentertainment wote wa Tanzania ambao wengi wao ndoto zao zinaishia hewani kutokana na ufisadi unaofanywa na The Don of entertainment Tanzania Mr. Joseph kussaga kama anavyopenda kujiita The Don aka Mullah.

vifuatavyo ni vipengele ambavyo niko tayari kuvielezea kwa atakae taka kujua kiundani jinsi bwana huyu alivyoishikiria nchi kwenye nyanja ya burudani kwa maslahi yake binafsi.

  • Udhamini(sponsorships)
  • Bongo flava
  • Wafanyakazi wake(watangazaji na wengineo)
  • Polisi
  • Tanesco
  • kumbi za starehe
  • Umalaya
  • na chochote kuhusiana na burudani Tanzania.
Mimi ni mmojawapo wa watu wake wa karibu ambao katika wachache waliofanikiwa kujikwamua kutoka kwenye himaya yake na nimeamua kujitoa muhanga na kuweka hadharani chochote wana JF ambacho kinawakwaza kuhusiana na Ufisadi unaoendelea kwenye burudani Tanzania.

Kwakuwa ningependa kufafanua kimpangilio ndiyo maana nimeweka vipengele hivyo hapo juu ili niweze kuvifafanua inapobidi. Kutokana na ufisadi huu kuwa mkubwa na wenye network nyingi ningependa kufafanua kipengele kwa kipengele kama nilivyoviorodhesha hapo juu lakini iwapo ntatakiwa kufanya hivyo.

Nawakaribisha jamvini wana jamii ili tuweze kuutokomeza ufisadi huu kwa maslahi ya taifa.

Ahsanteni na karibuni.

Afro, hoja nzito sana hiyo ulioitoa na kuna ukweli kwenye baadhi ya uliyotoa (yenye uthibitisho)... tuhuma hizi siyo mpya na kusaga pekee bali clouds owners wanajulikana kwa kuwa vipanga wa fani hiyo

my two cents
hiyo industry dunia nzima ni ya kifisadi na ukitaka ku-succeed humo lazima uwe mafia fulani
clouds wameinua sana muziki wa bongo, lakini pia wameangamiza baadhi ya vipaji kutokana na wao kukosa faida au vijana kuwa wajanja
ni kweli tuhuma za uzinzi

ushauri wangu ni kwamba, kuna idara husika wewe zipigie chapuo na uwape mambo kimaandishi... labda watashughulikia

Kumbuka, JK yuko karibu nao na hicho ni kikwazo kwa haki za victims wa clouds
 
- Udaku, majungu bin fitina wrong number mkuu! Joe ni mfano wa kuigwa kutoka mfanyakazi wa chini sana wa Bima mpaka the Don wa entertainment wa taifa, ana mapungufu kama bin-adam yes amekuibia mahakama zipo, amekupiga mahakama zipo, umalaya ni matatizo ya binafsi, ni kiongozi wa taifa hapana ni self made Billionea,

- Self billionea, matokeo udaku, fitina, chuki, majungu na wivu, wakikushinda jiunge nao!

Respect.

FMEs!

Hata RA ni Self Made Bilionea mkuu
 
Duh inamaana ni FREEMASON's at work au? Good thing hatuishi MILELE bana watabana lakini mwisho wa siku kwa sanduku, tumpeleke tumpeleke bwana huyu kwenye nyumba ya milele, wakamfisadi/mmafia MUNGU kama wana jeuri, na vizazi vyao vitalipa tu
 
lakini pia wameangamiza baadhi ya vipaji kutokana na wao kukosa faida au vijana kuwa wajanja

Dah nasikitika sana walivyo mpotezea Mr. II alafu kuna Dudu Baya na mwingine nani sijui nyimbo zao huwezi katu kusikia zikipigwa clouds. Vp Afande Sele nae sijui wanabifu nae maana huwa sisikii kabisa nae nyimbo zake. Hapo naamini hawa jamaa wamesha waangamiza hao wasanii.
 
Kusaga anajua biashara za KITANZANIA zinavyofanyika. Ana mtandao mpana, wa uhakika karibu kila mahali ambapo anajua kuna maslahi. Vipindi vyote kwenye radio vina udhamini mzito na matangazo kibao. Anajua sana "KURUDI" kwa wanaompa kazi hizi. Staili hii ya biashara ndio Mzee Mengi amejaribu kuepukana nayo na anaelekea kufunga kila kitu. Wapo wengi wanaoumia kwa staili hii ya Kusaga lakini pia amewabadilishia maisha watu wengi sana. Wengi wamenunua vigari, wamejenga vijumba, wameanzisha vibiashara vidogo kutokana na "UBUNIFU" huu wa Kusaga.
 
kilichokushinda kuunganisha madai yako na kuweka hapa yote ni nini mpaka uulizwe?we kama umeamua kufichua uovu,fichua tu usisite hapa ni JF where we dare kuropoka live,nimekusaidia kuziunganisha,ingawa bado hujamaliza madai yako.
Nawewe pia usikurupuke na kumchagulia staili ya kujieleza, mpe nafasi mwache atueleze kwa staili yake, kama ni ya maswali na majibu
 
hivi wewe uletoa mada hii...inamaana bila hiyo fani ya sanaa wanayomiliki kina jose na mwenzake ruge we huwezi kuishi dunia hii iliyojaa opertunities??...

hebu achana na mawazo mgando kama mtindi...wanakubana kwenye muziki/sanaa industry toka...kuwa hata mwalimu wa nursery tengeneza maisha yako...huoni kina fina na masudi kipanya walikoibukia??...kwann unataka kuwatoa kwenye mkate wao ule wewe??...navyowajua mafia...watakuondoa duniani ukiendelea kuwabughudhi....

kuna sera ya kilimo kwanza...tafuta shamba chukua pesa za mkopo wa kilimo kalime mihogo na maboga mwezi mtukufu waja utapata pesa za kukutosha....ni maoni yangu tuu
 
kama ataipenda ideal yako ya event uliyoiandika kwenye proposal hiyo basi anawazuia wadhamini hao wasikupe udhamini na baada ya muda kidogo utasikia ideal ya onyesho lako lile lile ambalo lilishindwa kufanyika kwa kukosa udhamini linafanywa na CLOUDS likiwa na full udhamini,

Hehehehe hii hata Mwanakijiji imemkumba kule kwa jamaa wa VODA ishu za mafuriko Kilosa mweh Mitanzania ndivyo tulivyo tunaacha kufikiri na kuwa wabunifu basi unaiba kazi ya mwenzio na kuiweka mdomoni inateleza kama mrenda lol.
 
hivi wewe uletoa mada hii...inamaana bila hiyo fani ya sanaa wanayomiliki kina jose na mwenzake ruge we huwezi kuishi dunia hii iliyojaa opertunities??...

hebu achana na mawazo mgando kama mtindi...wanakubana kwenye muziki/sanaa industry toka...kuwa hata mwalimu wa nursery tengeneza maisha yako...huoni kina fina na masudi kipanya walikoibukia??...kwann unataka kuwatoa kwenye mkate wao ule wewe??...navyowajua mafia...watakuondoa duniani ukiendelea kuwabughudhi....

kuna sera ya kilimo kwanza...tafuta shamba chukua pesa za mkopo wa kilimo kalime mihogo na maboga mwezi mtukufu waja utapata pesa za kukutosha....ni maoni yangu tuu

ati na wewe ni great thinker?

shame!
 
ati na wewe ni great thinker?

shame!

kaka vipi tena kupimana upeo wetu wa kuelewa/akili kwa maoni tuu??...anyway am great thinker in an opposite ways of thinkin to yours ...u think +vely i do it _vely...au sioooo...ahahahha ni maoni tuu sheikhh
 
- Udaku, majungu bin fitina wrong number mkuu! Joe ni mfano wa kuigwa kutoka mfanyakazi wa chini sana wa Bima mpaka the Don wa entertainment wa taifa, ana mapungufu kama bin-adam yes amekuibia mahakama zipo, amekupiga mahakama zipo, umalaya ni matatizo ya binafsi, ni kiongozi wa taifa hapana ni self made Billionea,

- Self billionea, matokeo udaku, fitina, chuki, majungu na wivu, wakikushinda jiunge nao!

Respect.

FMEs!

Mkuu, pole sana kwa hili, najua Joe ni mtu wako wakaribu sana na una jisikia vibaya kwa jinsi madhambi yake ya navyo mwagwa hapa jamvini. Usio muda wakumtetea mtu mwache abebe msalaba wake mwenyewe maana kila mtu ana msalaba wake.
 
hivi wewe uletoa mada hii...inamaana bila hiyo fani ya sanaa wanayomiliki kina jose na mwenzake ruge we huwezi kuishi dunia hii iliyojaa opertunities??...

hebu achana na mawazo mgando kama mtindi...wanakubana kwenye muziki/sanaa industry toka...kuwa hata mwalimu wa nursery tengeneza maisha yako...huoni kina fina na masudi kipanya walikoibukia??...kwann unataka kuwatoa kwenye mkate wao ule wewe??...navyowajua mafia...watakuondoa duniani ukiendelea kuwabughudhi....

kuna sera ya kilimo kwanza...tafuta shamba chukua pesa za mkopo wa kilimo kalime mihogo na maboga mwezi mtukufu waja utapata pesa za kukutosha....ni maoni yangu tuu

Punguza pumba arife,

Yaani mtu anakudhulumu haki yako usiseme? Sanaa ndio kipaji chake lazima akitumie kujikwamua kimaisha.
Mbona usimshauri ze don ajiunge na kilimo kwanza badala ya kuwafanyia uharamia vijana wa kitanzania wanaojaribu kuikwamua?
Au nawewe unanufaika na huo uharamia? wasanii ni binadamu kama wewe wanahitaji kufaidika na kazi zao na kwa kutumia vipaji walivyopewa na Mungu Mwenyezi. Hawa maharamia hawawezi kuendelea kunyonya watu halafu wanaonyonywa wakilalamika mnawapa ushauri mbooooovu!
Hebu uwe na aibu japo kidogo.
 
- Udaku, majungu bin fitina wrong number mkuu! Joe ni mfano wa kuigwa kutoka mfanyakazi wa chini sana wa Bima mpaka the Don wa entertainment wa taifa, ana mapungufu kama bin-adam yes amekuibia mahakama zipo, amekupiga mahakama zipo, umalaya ni matatizo ya binafsi, ni kiongozi wa taifa hapana ni self made Billionea,

- Self billionea, matokeo udaku, fitina, chuki, majungu na wivu, wakikushinda jiunge nao!

Respect.
!
FMEs!
Nawe umo nini?Maana hii nyuzi inawagusa wengi hasa viwembe wa mademu na wazulumati
 
- Udaku, majungu bin fitina wrong number mkuu! Joe ni mfano wa kuigwa kutoka mfanyakazi wa chini sana wa Bima mpaka the Don wa entertainment wa taifa, ana mapungufu kama bin-adam yes amekuibia mahakama zipo, amekupiga mahakama zipo, umalaya ni matatizo ya binafsi, ni kiongozi wa taifa hapana ni self made Billionea,

- Self billionea, matokeo udaku, fitina, chuki, majungu na wivu, wakikushinda jiunge nao!

Respect.

FMEs!

Huyu ni mtoto wa Kusaga nini?
 
Punguza pumba arife,

Yaani mtu anakudhulumu haki yako usiseme? Sanaa ndio kipaji chake lazima akitumie kujikwamua kimaisha.
Mbona usimshauri ze don ajiunge na kilimo kwanza badala ya kuwafanyia uharamia vijana wa kitanzania wanaojaribu kuikwamua?
Au nawewe unanufaika na huo uharamia? wasanii ni binadamu kama wewe wanahitaji kufaidika na kazi zao na kwa kutumia vipaji walivyopewa na Mungu Mwenyezi. Hawa maharamia hawawezi kuendelea kunyonya watu halafu wanaonyonywa wakilalamika mnawapa ushauri mbooooovu!
Hebu uwe na aibu japo kidogo.

hapa naona watu mnataka kujifanya kina SUPERMAN...jamaa analalamika kuwa sahivi hawezi kuendesha maisha kupitia sanaa ambayo kina kusaga and mtandao wake ambao ni wa ki-MAFIA wamemdhibiti..FULL STOP...solution ni kumtoa kijana kwenye hiyo trap ya hao mafians...afanye anything not related to those mafianz buzness ambayo ni sanaa...

hizi longolongo mnazompigisha kijana atakufa njaa hapa mjini...UMAFIA ni kesi ingine na hakuna mtu hata m1 hapa JF anayeweza kutoa means za kuushinda..kama kusaga keshafikia level ya kujiita DON..i guess wengi mlioona movi za GODFATHER mnaelewa kina-DON ( DON CALDERON) ni nani na wanamaanisha nini...siwezi kumdanganya muathirika huyu wa MAFIA system ...eti tutautokomeza mtandao huo....FIGHTING THEM IS A HIGHEST PRICE FOR HIM TO AFFORD....BUT JOINING THEM OR RUNNING AWAY MAY HELP A LOT....

tusipende kutoa MAJIBU kwenye matatizo na SOLUTIONS kwenye maswali....PROBLEMS NEEDS SOLUTIONS AND QUESTIONS DESERVE ANSWERS.....no mo no less...NI MAONI TUUU murrrah..amanganna mayeke murrahhhh
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 72 (17 members and 55 guests)
jossey1979, Al Zagawi, BabaK, Byabato Kilama, CarthbertL, Chakaza, Cherise, Ibrah, IVAPI, Kabengwe, Mbonea, Mzawa Halisi, Sally, Shomvi, Sugar wa Ukweli, Who Cares?
 
Afro kashatwangiwa simu anyamaze!!! bado tulikua tunasubiri kile kipengele cha polisi japokua ni Self explanatory
 
Afro...Safi sana kwa kutufumbua macho. Kwa kweli wengine haya mambo tulikuwa tunayapata kijujuu huko street (na hasa baada ya Masudi kipanya na Fina kuondoka clouds). Ok kuna hili la polisi hebu weka sawa kidogo vipi kusaga kamtia mfukoni alhaji kova? Ngoja nimtafute kibonde nae akae mkao wa kula!!!! Lete mambo eeh!!
 
Back
Top Bottom