Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by afro, Mar 9, 2010.

 1. a

  afro Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ikiwa ni post yangu ya kwanza,ningependa kuwajulia hali wana JF na wadau wote wenye nia njema na nchi yetu Tanzania.

  Leo nimeamua kuidadicate post yangu ya kwanza kwa wanaentertainment wote wa Tanzania ambao wengi wao ndoto zao zinaishia hewani kutokana na ufisadi unaofanywa na The Don of entertainment Tanzania Mr. Joseph kussaga kama anavyopenda kujiita The Don aka Mullah.

  vifuatavyo ni vipengele ambavyo niko tayari kuvielezea kwa atakae taka kujua kiundani jinsi bwana huyu alivyoishikiria nchi kwenye nyanja ya burudani kwa maslahi yake binafsi.


  • Udhamini(sponsorships)
  • Bongo flava
  • Wafanyakazi wake(watangazaji na wengineo)
  • Polisi
  • Tanesco
  • kumbi za starehe
  • Umalaya
  • na chochote kuhusiana na burudani Tanzania.
  Mimi ni mmojawapo wa watu wake wa karibu ambao katika wachache waliofanikiwa kujikwamua kutoka kwenye himaya yake na nimeamua kujitoa muhanga na kuweka hadharani chochote wana JF ambacho kinawakwaza kuhusiana na Ufisadi unaoendelea kwenye burudani Tanzania.

  Kwakuwa ningependa kufafanua kimpangilio ndiyo maana nimeweka vipengele hivyo hapo juu ili niweze kuvifafanua inapobidi. Kutokana na ufisadi huu kuwa mkubwa na wenye network nyingi ningependa kufafanua kipengele kwa kipengele kama nilivyoviorodhesha hapo juu lakini iwapo ntatakiwa kufanya hivyo.

  Nawakaribisha jamvini wana jamii ili tuweze kuutokomeza ufisadi huu kwa maslahi ya taifa.

  Ahsanteni na karibuni.
   
 2. senator

  senator JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  ebu twende kwenye sensitive part hiyo ya UMALAYA?!!dadavua zaidi ili tuone kama utakuwa mmevua nguo au laa
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Mar 9, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  inaweza kuwa kweli nami najua ni kweli katika baadhi ya mambo hapo hasa hilo lakuibia wasanii baadhi ya haki zao, ikiwamo pesa za matamasha , kuwagawa wasanii katika makundi na mambo kama hayo.

  swali kwako AFRO, Je ni mbinu gani bwana Kussaga hutumia kukwapua , haki na stahili za wasanii.?
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Kwanza karibu kwenye jamvi.

  Pili, sidhani kama ni sawia sisi kuanza kukuuliza ufafanuzi wa hizo tuhuma zako.

  Unachotakiwa kufanya ni kwamba baada ya kuanisha vipengele vya ufisadi wa bw. Kusaga, unatakiwa sasa upige hatua moja mbele, utoe ufafanuzi wa hizo hoja zako ndipo sasa nasi tupate nafasi ya kuzichambua moja baada ya nyingine, vinginevyo utaonekana wewe ni hater tu ama la unaleta udaku tu hapa.
   
 5. a

  afro Member

  #5
  Mar 9, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana Bwana Mwita Maranya,kitu hicho hata mimi nilikifikiria sana lakini nikaona kwamba nikifafanua yote kwa pamoja nigejaza kurasa zaidi ya tano,diyo maana nikaona ni vema tukaenda step by ste. nina imani umenielewa.
   
 6. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #6
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwenye (red) Mpaka hapo nime kuelewa niya yako hapa nini hasa unataka, baada ya kufanya huo "ufisadi" na yeye then mkadhulumiana na ukaondoka kwake umeamua kuja kuweka mambo ya Josseph hapa? why ukufanya hivyo kabla?
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Mkuu anza basi hiyo step by step.....
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Mar 9, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  namna gani Kussaga hunyonya haki za wasanii ? njia gani hutumia kuibia hata haki na stahili zao ? there we go
   
 9. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jamani vyombo vya sheria vipo basi kama anahusika apelekwe huko na kama siyo hivyo haya yanakuwa majungu matupu, toa data na sio kuleta majungu kama haya mkuu wangu
   
 10. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Well . tupe . Kwenye TANESCO anafanya nini? Kama anaiba umeme tuambie maana hili lina maslahi kwa umma .
   
 11. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwanza karib ingawaje ulitakiwa kuingilia jamvi flani hivi la masuala ya makaribisho.

  Pili je nitakua sahihi nikikujumuisha na Kusaga ktk tuhuma yoyote utakayoizungumzia dhidi yake?

  Coz haingii akilini mushirikiane huko mambo yenu haramu leo mumetengana unakuja kumuanika mwenzako hapa. Kwa akili ya kawaida hii imekaa zaidi kama chuki binafsi.

  Karibu jamvini though.
   
 12. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa anasubiri tumwulize maswali kwani tupo darasani hapa,atoe data zikiwa na concrete evidence au atleast circumstantial otherwise tutakuwa tunajadili udaku hapa
   
 13. a

  afro Member

  #13
  Mar 9, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umalaya,
  Kama nilyowahi kuyasoma kwenye mjadala wa MR 2 n ruge,kuna mdau mmoja alitoa hoja kuhusu bwana Ruge ya kwamba ili kumtoa msanii ni lazima alale nae ndiyo amtoe...hoja hiyo ni ukweli mtupu na si kwa wasanii tu bali mtu yeyote mwenye jinsia ya kike akija kuomba msaada wowote wa kimaendeleo ni lazima avue chupi.

  Nikija katika suala la Bwana Kussaga,ni vile vile kama Ruge ila yeye kwa kiwango cha juu zaidi. yeye ni kwa wanawake wa wafanyakazi wake yani watangazaji,vitengo vya udhamini vinavyosimamiwa na wanawake,wanafunzi walomaliza vyuo vya uhandishi wa habari na kutaka kuja kufanya practical Clouds FM. Na kibaya zaidi,katika kila tamasha analofanya anatenga complimentaries 50 kwaajili ya kina dada ambao anauhusiano nao na anajua mwisho wa siku watampigia simu kuomba complimentary na ni vigumu kwa yeye kuwanyima kwakuwa anajua kinichoendelea.
   
 14. senator

  senator JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Dah Afro bado hujamvua nguo Don Kusaga aka Mullah....Kwahiyo ni ruge ndo anawavua mademu ilikuweza kupata promo kwenye radio yao na sio Kusaga?
  Naona kwenye swala la DOn K bado hujaweka sawa data za kumuanika ...
   
 15. senator

  senator JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kwahiyo hawa kama wakina dina marios, gea habib, Barbla hassan na wengine DOn ameshamwaga makojozi hapo?
   
 16. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Rumors, hate and udaku nothing else
   
 17. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #17
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dah! hii Thread itaondolewa mda sio mrefu maana ni majungu tupu.. Afro una kula ban siku 90
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mmmh yaani haijakaa sawa kabisa hii kitu....
   
 19. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #19
  Mar 9, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Duuuh very soon inaondolewa....... ila kunakaukweli kidogo katika madai yake ila ni ngumu kuthibitisha......tuuche ubaki kuwa kama udaku.
   
 20. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Afro mwaga data,maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga,longa mwanetu ili tujue kama ni kweli au ni sizitaki mbichi hizi
   
Loading...