Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

achana na kibonde ni mpuuzi first class...Kibonde=KIBONDE KWA MAANA YA HAWEZI KITU...hence MJINGA...ni maoni yangu tuu
 
Naona anamshambulia sana Sugu bila kuelewa kwamba Ikulu hawakumjibu Sugu bali Tanzania Daima, Naanza kupata wasiwasi kwamba yawezekana Ikulu wameshirikiana na Clouds kutoa tamko la Ikulu
 
Wow!Mimi na wenzangu Mwaka juzi na Mwaka jana tulikuwa na Bahati ya kujua ni nani hawa jamaa tulikuwa na tamasha tunataka likiwa na lengo zuri sana kwa wasomi wa Tanzania na kuipa jamii mwanga wapi tulipo.Baadhi ya wakuu wa idara za Serikali walifiki kutuambia mambo ya ajabu. zaidi ya Wakuu 4 wa idara mbali mbali za serikari walidai hawaweza dhamini mpaka hawa jamaa wawemoo ndani ya propasal zetu.KUNA MMOJA WA HAO YUPO HAPO NSSF MKAPA HOUSE ANAHUSIKA NA KUTOA FUNGU LA KUSAIDI MATAMAHA KTK JAMII MZEE ANATUMBO KUBWA SANA YULE MZEE MBAYA SANA HADI BRITISH AIRWAYS KUNA DADA NUKSI KWELI PALE.YANI HAWA JAMAA NIKWELI WANAWAADA SANA VIJANA NA JAMII NZIMA
 
Naona anamshambulia sana Sugu bila kuelewa kwamba Ikulu hawakumjibu Sugu bali Tanzania Daima, Naanza kupata wasiwasi kwamba yawezekana Ikulu wameshirikiana na Clouds kutoa tamko la Ikulu

Niwasikia clouds hata powerbreakfast asubuhi agenda ilikuwa hiyohiyo!
 
- Wapi amevunja sheria za jamhuri that should be our priority, udaku kama hii thread yes we should enjoy it maana ni nothing but entertainment, kila shuguli ina staili na miiko yake Joe sio politician, kama Afro amedhulumiwa na Joe basi awahi mahakamani so far knowing joe as I do, sijaona anything like himi kwenye hizi accusations, ni kawaida yetu wabongo kwamba mimi ni masikini kwa sababu wewe tajiri na ndio maana tupo hapa tulipo.

- Joe should never listen to this nonsense, I mean burudani at best! kila mwenye hela zaidi yetu ana matatizo lakini ukiulizwa amevunja sheria hamna ushahidi udaku tu at best! ya kzuima umeme ndio competitions hizo kama ni kweli ebo!

FMEs!

Vipi mradi wako wa kazi majuu mh. sana FMES???Ulifanikiwa????
 
Niwasikia clouds hata powerbreakfast asubuhi agenda ilikuwa hiyohiyo!

Si wanatetea kitu cha bosi wao-na hakuna nyimbo yake kupigwa. Hawa jamaa yaani hamna shule hata busara tu za kawaida nazo wanakosa? Sugu aliwaambia kuwa yuko tayari kwa hatua yoyote si waende mahakamani? Msamaha wa nini sasa kama wana haki?
 
Kwa vile radio ni yao wanaamua tu msanii flani hakuna kupiga nyimbo zake?

- Mkuu Joe sio mara moja ameamua kutopiga songs za wasanii wasio na heshima mbele ya jamii, na anapoamua hivyo husema wazi mbele ya public bila kuficha, eti hayo nayo ynamfanya awe fisadi kama Lowassa?

Respect.


FMEs!
 
- Mkuu Joe sio mara moja ameamua kutopiga songs za wasanii wasio na heshima mbele ya jamii, na anapoamua hivyo husema wazi mbele ya public bila kuficha, eti hayo nayo ynamfanya awe fisadi kama Lowassa?

Wadau hapa wanabainisha kuwa msanii asipo kubaliana na matakwa ya Joe ndo anampotezea kabisa hawajaishia hapo wanasisitiza jamaa ni mnyonyaji kwenye kazi za mikono za wasanii. Hapo unasemaje mkuu?
 
Back
Top Bottom