mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,999
Ambaye hajakanusha vipi
AmevutaAmbaye hajakanusha vipi
Warudisheni Kwanza wale mliowateka.Upendo amri iliyo kuu, tupendane na tuombeane heri
Lala salama Daudi
UmeokokaUpendo amri iliyo kuu, tupendane na tuombeane heri
Lala salama Daudi
NENO...Warudisheni Kwanza wale mliowateka.
Hata mimi nasubiri jibuKwani ambaye hajakanusha ni yupi ?
Mkuu tupo nipo TUNDUMAHata mimi nasubiri jibu
John MwiingineKwani ambaye hajakanusha ni yupi ?
umebeba Primus kidogo ?Mkuu tupo nipo TUNDUMA
Nadhani na wengine watajitokeza kukanushaKiongozi umeonesha mfano, kwa kujitokeza. Na umetupa nasaha kutukumbusha tuendelee kuchukua hatua kujikinga na gonjwa hili jipya.
Nimekutana na michango yako ya kizandikizi na ya kihila hii ni mara ya pili kwenye thread mbili tofauti ndani ya muda huu mchache, kwanini huishi mtaja mtu kwa kabila lake, inakusaidia nini au unafaidika na nini ukifanya hivyo? Pia wewe ni kabila gani ili tuende sawa?Huyo bwashee anajulikana na nani hadi azushiwe kifo?
Mhh umeanza lini mambo ya upendo wewe?Upendo amri iliyo kuu, tupendane na tuombeane heri
Lala salama Daudi
Chadema wataalam wa kuvumishia wenzao vifo sasa naona wameanza kuvumishiana wenyewe kwa wenyewe: chickens have come home to roost!
Mi sijui kabila lake, ila najua aliwahi kusema humu kuwa nyumbani kwao ni Useri (Rombo), sasa sijui atakuwa kabila gani?!Nimekutana na michango yako ya kizandikizi na ya kihila hii ni mara ya pili kwenye thread mbili tofauti ndani ya muda huu mchache, kwanini huishi mtaja mtu kwa kabila lake, inakusaidia nini au unafaidika na nini ukifanya hivyo? Pia wewe ni kabila gani ili tuende sawa?
Imekanushwa Rasmi haumwi
======
Leo nimepata taarifa za kustua zilizozushwa kwamba Mimi John Mrema nimefariki, na nimeanza kupokea salamu za pole. Wengine Watanzania wakienda nyumbani kwangu, wakienda kijijini kwetu Moshi.
Ninachopenda tu ni kuwathibitishia tu kuwa mimi siumwi, sijasafiri kwenda Afrika ya Kusini. Mara ya mwisho kwenda nje ya nchi ilikuwa mwaka jana mwezi wa 10. Nipo Dar es Salaam, nipo nyumbani kwangu najikinga na Corona.
Kwahiyo, taarifa hizo ni za uzushi na ninaomba kila mtu azipuuze.
Lakini nawashukuru wale wote walionitumia salamu za pole. Nimejua Watanzania mnanithamini. Nashukuru sana.
Lakini, naamini taarifa hizo zimezushwa na watu ambao hawataki kinga ndiyo maana wanahusisha kwamba nimeenda kupata chanjo ya kinga dhidi ya Corona nchini AFrika Kusini. Waliozusha ni watu wanaopinga chanjo dhidi ya Corona.
Mimi naamini chanjo ni muhimu kwasababu italinda maisha yetu. Na tatu, Inawezekana pia taarifa hizo zinazushwa kwasababu kuna taarifa nyingine zenye kuzua taharuki kwenye nchi.
Kwahiyo taifa lina haki ya kupewa taarifa sahihi na siyo propaganda na uzushi, kuzushiana vifo. Inasababisha maumivu kwa familia, kwa ndugu jamaa na marafiki.
Nawashukuru sana, ahsanteni sana!