John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

Usianzishe vita mpya wakati una vita nyingine tena kubwa.
Hakuna Vita, unamkabidhi wa mawakili kama 10 and you rest your case! You hàve to fight at all fronts...hili Ni dogo kilishughulia, hakina complications yoyote!
 
Kwa hiyo hata ile forensic ya Kingai ilishindwa kutambua mwenye zile risasi na aliyefyatua? CCTV ilikuwaje zikaondolewa?

Swali zuri, kwa nini chadema na Tundu Lisu hawamshitaki huyo aliyeondoa hiyo cctv ?
 
Mkuu kama wewe ni muumini wa dini yoyote, mwogepe Mwenyezi Mungu,

Usijitoe ufahamu kwa kiwango kikubwa hivi, huijui kesho yako,

Hii dunia ni mapito tutaondoka, hizi siasa na ushabiki vitabaki,

Lisu apange kujipiga risasi mwenyewe, eneo lenye ulinzi, na baadae arudi kungoa CCTV camera,

Lissu na Chadema walizue jeshi la Polisi kuchunguza tukio kwa miaka yote hiyo,
Hilo ni takataka, sometimes ignore such posts
 
Soma uelewe nilichoandika acha kujua kusoma na kuandika tu. Nimekwambia leo hii Dr slaa akisema mwangosi aliuwawa na chadema mazezeta mtakubali Kama ulivyokubali Lisu kashambuliwa na chadema kisa kasema slaa

Kila mtu anajua jinsi Mwangosi alivyouliwa kipindi cha Kikwete, sasa kama ni kwa bahati mbaya au makusudi hilo siwezi kujua, lkn hapa Tundu Lisu anasema raisi Magufuli ali order assassination kwake, kwa ushahidi gani ? Na kama anao kwa nini haendi Mahakamani ukichukulia Serikali iliyopo ni yao ?
 
Mkuu kama wewe ni muumini wa dini yoyote, mwogepe Mwenyezi Mungu,

Usijitoe ufahamu kwa kiwango kikubwa hivi, huijui kesho yako,

Hii dunia ni mapito tutaondoka, hizi siasa na ushabiki vitabaki,

Lisu apange kujipiga risasi mwenyewe, eneo lenye ulinzi, na baadae arudi kungoa CCTV camera,

Lissu na Chadema walizue jeshi la Polisi kuchunguza tukio kwa miaka yote hiyo,
Kwahiyo Mbowe ahangaike kukodi ndefr ili apone wakati amempiga yeye risasi
Hili jitu jinga sana
 
Huo ushauri ungempa kwanza Tundu Lisu anayesema na kuiambia Dunia kwamba Magufuli kampiga risasi wakati hana ushahidi wowote ule!
Circumstantial evidence irresistibly points to that conclusion....any reasonable man directing his mid correctly, will arrive at that conclusion
 
Kuna clip inazunguka Dkt. Wilbrod Slaa akitngaza kuwa Chadema ni watesaji, wanatesa watu na Lissu ndio walimpiga risasi. Hii ni jinai, msikalie kimya mpelekeni Mahakamai athibishe anayo yasema.

Kila mtanzania atalipokea kivyake, wengine wataamini hivyo, hivyo siyo la kunyamazia. Ingelikuwa maneno ambayo hayahusishi jinai, ningelishauri kumpuuza.

Hili la Jinai msilikalie kimya!

Erythrocyte Mwanahabari Huru
Up

Si aende polisi?. Kila siku kubweka kwenye mitandao tu. Ni vizuri CHADEMA wamempuuza maana anatafuta uteuzi kwa mlango wa CHADEMA. Alijaribu kuingilia kesi ya mbowe mwisho wa siku akapigwa za uso.
 
Isitoshe kama Tundu alipigwa risasi na Serikali ya Magufuli kama ambavyo Tundu Lisu anasema kwa nini hawawachukulii hatua zozote wahusika kwani Tundu Lisu ameshawataja na Tundu Lisu na Samia wote Bosi wao mmoja na wanaelewana ni swala la Action tu, kwa nini hawafanyi ?
Chadema iwachukulie hatua waliompiga risasi Lissu? ndugu tikisa kichwa chako vizuri
 
Circumstantial evidence irresistibly points to that conclusion....any reasonable man directing his mid correctly, will arrive at that conclusion

Yote sawa, swali langu kwa nini hawawashitaki ? Leo hii watu wasiompenda Magufuli deep down ndio wana power, na wanajaribu kutumia kila mbinu iliyopo kumchafua Magufuli pamoja na kuwashughulikia wote waliokuwa upande wake, leo hii watu kama kina Zito Kabwe wewe na ushahidi jinsi Magufuli alivyooder assasination kama anavyodai Tundu Lisu halafu Zito Kabwe akae kimya asitumie hilo fursa ?

Hai make sense!
 
Yote sawa, swali langu kwa nini hawawashitaki ?
nimeona kwenye andiko lako unatumia maneno ya kingereza (inaweza kuwa ni kiashiria umesoma kidogo). Lakini unawezaje kukosa uelewa wa vitu vidogo kama nani mwenye mamlaka ya kushitaki jinai ya mauaji au kudhuru?
 
Mimi naamini kabisa Tundu Lisu alipigwa risasi na chadema na yeye Tundu Lisu mwenyewe ni sehemu ya huo mpango, nia yao ilikuwa washambulie gari halafu wapeleke kwa Mzungu kusema ni assasination attempt lkn Mungu akawalaani mipango yao haikwenda vizuri hawakupanga vizuri hivyo waliofwatua risasi walijua Tundu Lisu hayumo lkn alikuwemo na risasi kummiminikia na ndio maana dereva wanamficha kwa kila hali kwani wanajua akibanwa atasema yote.

Slaa siyo mjinga alikuwa Katibu Mkuu chadema anajua kila kitu, waambieni chadema wamshutaki Mahakamani halafu afunguke.

Tundu Lisu ana laana na alipanga huu mpango wote yeye na chadema ili wamsingizie Magufuli sema ukamrudia na marisasi kuishia mwilini mwake.

Isitoshe kama Tundu alipigwa risasi na Serikali ya Magufuli kama ambavyo Tundu Lisu anasema kwa nini hawawachukulii hatua zozote wahusika kwani Tundu Lisu ameshawataja na Tundu Lisu na Samia wote Bosi wao mmoja na wanaelewana ni swala la Action tu, kwa nini hawafanyi ?
Wakipatikana watu elfu moja wenye akili kama zako(yaani hawatanii katika kuwaza huko)nchi imekwisha hii.La kumshukuru ni kwamba ndani ya nafsi zenu mnajua ukweli.
 
Back
Top Bottom