John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

Kuna clip inazunguka Dkt. Wilbrod Slaa akitngaza kuwa Chadema ni watesaji, wanatesa watu na Lissu ndio walimpiga risasi. Hii ni jinai, msikalie kimya mpelekeni Mahakamai athibishe anayo yasema.

Kila mtanzania atalipokea kivyake, wengine wataamini hivyo, hivyo siyo la kunyamazia. Ingelikuwa maneno ambayo hayahusishi jinai, ningelishauri kumpuuza.

Hili la Jinai msilikalie kimya!

Erythrocyte Mwanahabari Huru
hawawezi kama ambavyo hawakuweza kuwashitaki wale COVID19 wanaowatuhumu kuwa wameghushi barua lakini hawaendi kushitaki.

kuna namna
 
Chadema/Tundu Lisu walimchukuwa dereva kwenda naye kwanza Nairobi halafu Ubelgiji haya siyo maneno yangu nimesikia kupitia Tundu lisu mwenyewe!
Acha kutunga vijineno weye.Mbona haujielewi?Lissu alivyokuwa kwenye Ile hali angeweza kubeba hata mfuko wa Rambo?Be reasonable,dude!
 
Back
Top Bottom