JK awapandisha vyeo majenerali

Tujaribu kuwa waelewa na wepesi wa kupambanua mambo Jeshini kuna Vyeo na Madaraka pia hata Jeshi la Polisi pia kuna Vyeo na Madaraka kwa mfano Ma RPC karibu wote ni Ma Senior Assisstant Commissioners of Police ingawa wapo wenye nafasi Vyeo chini ya hapo ama juu ya hapo. Kwa Jeshi la Wanainchi tulikuwa na utaratibu wa kuwa na Luteni Jenerali mmoja tu ambae ndiyo anakuwa ni Afisa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi na Meja Jenerali wengi wanakuwa wakuu wa Vitengo sasa inafika wakati una Meja Jenerali Watano na wote wanastahiki kuwapandisha cheo lakini madaraka wanayotakiwa kuyashika iko nafasi moja kimsingi utaangalia vigezo vingi sana mpaka umpate mmoja ambae utmteua na kumpandisha cheo kushika madaraka husika ila hautatenda haki kama wengine wanaostahili kupandishwa cheo hawatapandishwa cheo,nafasi ya kuwalipa stahiki zao kama ipo basi huna haja ya kuwanyima cheo husika ila madaraka yatabaki kwa mtu mmoja ambae umemteuwa kushika madaraka husika. Hivi sasa watu wamejenga utaratibu usio rasm wakumbeza Mheshimiwa Raisi kila anapofanya uteuzi mara oohooo hakuzingatia sifa za wateuliwa mara aliowateua hawana elimu stahiki mara amewateua waislam watupu mara ameteua marafiki zake tuu hii imejijenga kuwa tabia miongoni mwetu tena ni tabia mbaya ambayo haina mfano. Mimi namfahamu sana Luteni Jenerali Makakala mpaka famillia yake karibu yote iliyopo Kijiji cha Ndengere na Mbamba Bay ila miaka ya karibuni Luteni Jenerali huyu amejiunga na Dhehebu la KILOKOLE sasa angeweza kuwa Afisa Mnadhimu Mkuu kabla ya Luteni Jenerali Ndomba ambao wote hawa wanatoka Mkoa wa Ruvuma tena hapo mwanzo walikuwa wanatoka Wilaya moja ya Mbinga kabla ya kutenganishwa na kuwa na Wilaya ya Nyasa ambako Makakala ndiko anakotoka. Hivyo basi Ulokole wa Makakala ndiyo umempunguzia saifa ya ziada kumbuka Jeshini kuna kitengo cha Ujasusi cha Jeshi[Military Intelligence Unit] ambacho kina kazi ya ziada ya kuwachunguza Maofisa wa Jeshi mienendo yao ya kila siku na kuripoti moja kwa moja kwa Mkuu wa Majeshi hivyo tusilaumu kila uteuzi maana vigezo vingine vinavyotumika ni vigumu kuvitambua. Jeshi ni Taasisi nyeti ambayo inafanya mambo yake kwa utaratibu na tamaduni zinazoeleweka. Jeshi siyo Chama cha siasa vinginevyo tungekuwa hatuishi kwa amani hapa angalia mifano ya Nchi kama Mali kila siku Jeshi ni kupindua tu Serikali halali ni kwa sababu hawana utaratibu tusilaumu hovyo hovyo!
HUna lolote lile zaidi ya focus ya Uchaguzi wa 2015. Jk anajua makalala siyo mtu wa kuingilika na mambo yasio leta haki ndo maana akamruka kiaina. Na huyo Chacha naye ni Mlokole? Teuzi za kisiasa hizi hakuna la ziada.
 
2mesha jua nia yake ni kutaka ku2maliza kama swala la mwandish mwingine kupigwa risasi co jipya kwe2 kaz kwake akiamua hata alipue nchi nzima lakini ipo cku na saa itatimia lazma alitaje jina la mungu wake! pumbavu uyoooo!
 
Phillemon Mikael,

......:laser: :behindsofa: Mkuu ..... kusema kweli umetoa somo na fundisho kwa wengi waliokuwa hawajui na hawajui kwamba hawajui
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yeye alishatoka huko jeshini.

Hongereni sana Lt. Gen. Ryoba na Lt. Gen. Makakala. Naona tunazidi kusonga mbele. Huko nyuma jeshini kulikuwa kwa kawaida kuna Four-Star General (CDF) mmoja na Three-Star General mmoja (CoS) lakini sasa naona tuna Four Star General mmoja na three star generals watatu mmoja akiwa ni CoS. Tuendako huenda tukapata general of the army (five-star general) na hivyo four-star generals kuwa wengi pia.

Kweli, lakini kwa ukakamavu upi? 5 Star General! Au as a ceremonial rank?
 
Phillemon Mikael: Kweli JF ni darasa tosha, maelezo yako hayo yamenifungua hata mimi macho ambaye niliishia tu JKT.

Mimi ninafikiri mambo kama haya inabidi sasa yaandikwe waziwazi kwenye katiba mpya, badala ya kutegemea BUSARA za RAIS kwani mara nyingine busara zinaweza zisiwe busara.

Sasa Ndomba ambaye alikuwa Junior amekuwa Lut. General na COS na hawa akina Makalala na Kisampa walikuwa Senior kwa Ndomba nao wamekuwa Lut. Generals lakini mwenzao ni COS. Je wakikutana nani anapaswa kumpigia mwenzake SALUTE? Watu wengi wanaweza kuona ni swali la kijinga, lakini kwa wale mliopitia JESHINIkidogo you know what SALUTE means to men and women in uniform.
 
Aliyepanda kwanza ndiye senior. Hawa wa juzi itabidi waendelee kumpigia salute kwa kuwa walishaanza kufanya hivo. Muhimu kuelewa ni AmiriJeshi Mkuu hakukosea kumpandisha Ndomba
 
Mkuu inaelekea wewe kama siyo mwanajeshi basi umekaa line za jeshi maana unavijua vyeo vya jeshi balaa. Naomba kama unajua unifafanulie hiki cheo kipo kwenye jeshi la marekani kinaitwa ADMIRAL kinafanana na cheo gani maana mfumo wao wa vyeo unafanana na wetu TPDF

mimi mwenyewe ni kamanda nipo makutu cheo changu ni koplo jenerali

Mkuu cheo cha admiral ni kwa majeshi ya majini (Navy). Hapa Tanzania tuna Navy yetu nayo inaongozwa na Rear Admiral (Major general - Two-star general).
 
Tujaribu kuwa waelewa na wepesi wa kupambanua mambo Jeshini kuna Vyeo na Madaraka pia hata Jeshi la Polisi pia kuna Vyeo na Madaraka kwa mfano Ma RPC karibu wote ni Ma Senior Assisstant Commissioners of Police ingawa wapo wenye nafasi Vyeo chini ya hapo ama juu ya hapo.

Kwa Jeshi la Wanainchi tulikuwa na utaratibu wa kuwa na Luteni Jenerali mmoja tu ambae ndiyo anakuwa ni Afisa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi na Meja Jenerali wengi wanakuwa wakuu wa Vitengo sasa inafika wakati una Meja Jenerali Watano na wote wanastahiki kuwapandisha cheo lakini madaraka wanayotakiwa kuyashika iko nafasi moja kimsingi utaangalia vigezo vingi sana mpaka umpate mmoja ambae utmteua na kumpandisha cheo kushika madaraka husika ila hautatenda haki kama wengine wanaostahili kupandishwa cheo hawatapandishwa cheo, nafasi ya kuwalipa stahiki zao kama ipo basi huna haja ya kuwanyima cheo husika ila madaraka yatabaki kwa mtu mmoja ambae umemteuwa kushika madaraka husika.

Hivi sasa watu wamejenga utaratibu usio rasm wakumbeza Mheshimiwa Raisi kila anapofanya uteuzi mara oohooo hakuzingatia sifa za wateuliwa mara aliowateua hawana elimu stahiki mara amewateua waislam watupu mara ameteua marafiki zake tuu hii imejijenga kuwa tabia miongoni mwetu tena ni tabia mbaya ambayo haina mfano.

Mimi namfahamu sana Luteni Jenerali Makakala mpaka famillia yake karibu yote iliyopo Kijiji cha Ndengere na Mbamba Bay ila miaka ya karibuni Luteni Jenerali huyu amejiunga na Dhehebu la KILOKOLE sasa angeweza kuwa Afisa Mnadhimu Mkuu kabla ya Luteni Jenerali Ndomba ambao wote hawa wanatoka Mkoa wa Ruvuma tena hapo mwanzo walikuwa wanatoka Wilaya moja ya Mbinga kabla ya kutenganishwa na kuwa na Wilaya ya Nyasa ambako Makakala ndiko anakotoka.

Hivyo basi Ulokole wa Makakala ndiyo umempunguzia saifa ya ziada kumbuka Jeshini kuna kitengo cha Ujasusi cha Jeshi[Military Intelligence Unit] ambacho kina kazi ya ziada ya kuwachunguza Maofisa wa Jeshi mienendo yao ya kila siku na kuripoti moja kwa moja kwa Mkuu wa Majeshi hivyo tusilaumu kila uteuzi maana vigezo vingine vinavyotumika ni vigumu kuvitambua. Jeshi ni Taasisi nyeti ambayo inafanya mambo yake kwa utaratibu na tamaduni zinazoeleweka.

Jeshi siyo Chama cha siasa vinginevyo tungekuwa hatuishi kwa amani hapa angalia mifano ya Nchi kama Mali kila siku Jeshi ni kupindua tu Serikali halali ni kwa sababu hawana utaratibu tusilaumu hovyo hovyo!

Umeenda ndani zaidi kwa faida ya watu wengi. Inatosha mkuu
 
Phillemon Mikael: Kweli JF ni darasa tosha, maelezo yako hayo yamenifungua hata mimi macho ambaye niliishia tu JKT.

Mimi ninafikiri mambo kama haya inabidi sasa yaandikwe waziwazi kwenye katiba mpya, badala ya kutegemea BUSARA za RAIS kwani mara nyingine busara zinaweza zisiwe busara.

Sasa Ndomba ambaye alikuwa Junior amekuwa Lut. General na COS na hawa akina Makalala na Kisampa walikuwa Senior kwa Ndomba nao wamekuwa Lut. Generals lakini mwenzao ni COS. Je wakikutana nani anapaswa kumpigia mwenzake SALUTE? Watu wengi wanaweza kuona ni swali la kijinga, lakini kwa wale mliopitia JESHINIkidogo you know what SALUTE means to men and women in uniform.

Mkuu Lt. General Ndomba tayari ni senior kwenye cheo hicho cha Lt. Gen. pia ana Madaraka. Hivyo basi hao wengine lazima wapige saluti kwake.
 
Kaka Huu ni mwendelezo wa uteuzi za kijikosha.....hawa wawili ndio walikuwa maj generals senior kuliko wote....active Jeshini .....kiutaratibu mmoja wao lazima alikuwa awe chief of staff...na likely ilikuwa awe Makalala...kwa kuwa mbinu ya kawaida ya kumuhamishia senior Riyoba ikulu ...ofisi ya PM...pia ni option pale ambapo unataka kumkwepesha kuwa CoS kwa wakati husika.
kitendo cha Ndomba kurushwa...na kuwaruka hawa...kilileta minongono...miongoni mwa majenerali na senior commenders........naona Mkuu anajikosha at the expense ya kuvuruga utamaduni...ni udhaifu Huu

Mkuu mbona Mh.JK ni mwanasheji vile vile - sisi hatuwezi kujuwa alitumia vigezo gani kufanya hivyo, bila shaka kuna a good reason; mambo ya utehuzi hawezi kuhamua peke yake bila ya kumshirikisha CDF na wakubwa wengine.
 
Mkuu yeye alishatoka huko jeshini.

Hongereni sana Lt. Gen. Ryoba na Lt. Gen. Makakala. Naona tunazidi kusonga mbele. Huko nyuma jeshini kulikuwa kwa kawaida kuna Four-Star General (CDF) mmoja na Three-Star General mmoja (CoS) lakini sasa naona tuna Four Star General mmoja na three star generals watatu mmoja akiwa ni CoS. Tuendako huenda tukapata general of the army (five-star general) na hivyo four-star generals kuwa wengi pia.

hebu tutajie hao watatu Mkuu
 
Tujaribu kuwa waelewa na wepesi wa kupambanua mambo Jeshini kuna Vyeo na Madaraka pia hata Jeshi la Polisi pia kuna Vyeo na Madaraka kwa mfano Ma RPC karibu wote ni Ma Senior Assisstant Commissioners of Police ingawa wapo wenye nafasi Vyeo chini ya hapo ama juu ya hapo.

Kwa Jeshi la Wanainchi tulikuwa na utaratibu wa kuwa na Luteni Jenerali mmoja tu ambae ndiyo anakuwa ni Afisa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi na Meja Jenerali wengi wanakuwa wakuu wa Vitengo sasa inafika wakati una Meja Jenerali Watano na wote wanastahiki kuwapandisha cheo lakini madaraka wanayotakiwa kuyashika iko nafasi moja kimsingi utaangalia vigezo vingi sana mpaka umpate mmoja ambae utmteua na kumpandisha cheo kushika madaraka husika ila hautatenda haki kama wengine wanaostahili kupandishwa cheo hawatapandishwa cheo, nafasi ya kuwalipa stahiki zao kama ipo basi huna haja ya kuwanyima cheo husika ila madaraka yatabaki kwa mtu mmoja ambae umemteuwa kushika madaraka husika.

Hivi sasa watu wamejenga utaratibu usio rasm wakumbeza Mheshimiwa Raisi kila anapofanya uteuzi mara oohooo hakuzingatia sifa za wateuliwa mara aliowateua hawana elimu stahiki mara amewateua waislam watupu mara ameteua marafiki zake tuu hii imejijenga kuwa tabia miongoni mwetu tena ni tabia mbaya ambayo haina mfano.

Mimi namfahamu sana Luteni Jenerali Makakala mpaka famillia yake karibu yote iliyopo Kijiji cha Ndengere na Mbamba Bay ila miaka ya karibuni Luteni Jenerali huyu amejiunga na Dhehebu la KILOKOLE sasa angeweza kuwa Afisa Mnadhimu Mkuu kabla ya Luteni Jenerali Ndomba ambao wote hawa wanatoka Mkoa wa Ruvuma tena hapo mwanzo walikuwa wanatoka Wilaya moja ya Mbinga kabla ya kutenganishwa na kuwa na Wilaya ya Nyasa ambako Makakala ndiko anakotoka.

Hivyo basi Ulokole wa Makakala ndiyo umempunguzia saifa ya ziada kumbuka Jeshini kuna kitengo cha Ujasusi cha Jeshi[Military Intelligence Unit] ambacho kina kazi ya ziada ya kuwachunguza Maofisa wa Jeshi mienendo yao ya kila siku na kuripoti moja kwa moja kwa Mkuu wa Majeshi hivyo tusilaumu kila uteuzi maana vigezo vingine vinavyotumika ni vigumu kuvitambua. Jeshi ni Taasisi nyeti ambayo inafanya mambo yake kwa utaratibu na tamaduni zinazoeleweka.

Jeshi siyo Chama cha siasa vinginevyo tungekuwa hatuishi kwa amani hapa angalia mifano ya Nchi kama Mali kila siku Jeshi ni kupindua tu Serikali halali ni kwa sababu hawana utaratibu tusilaumu hovyo hovyo!

Mkuu inamaana kama kuna watu 20 wenye sifa ya kuwa Rais tuwe na Marais 20 na mmoja mwenye mamlaka? Nadhani tunachobishana sio nani kapewa nini, ni kuwe na mfumo unaohitaji kuongozwa na mtu wa cheo fulani halafu ndio anatafutwa, sio kuundia watu kazi.
Pili umesema kuna mtu kanyimwa cheo kwa sababu ya ulokole, kwa mtazamo wangu huo ni ubaguzi, kama mtu hafai kuwa mwanajeshi basi toka cheo cha luteni usu asingepewewa na systems ilipaswa kumtoa mapema, sasa amefika hadi jenerali wa nyota 2 bado mna mashaka naye tena kwa imani yake? (kama ni kweli).
 
HUna lolote lile zaidi ya focus ya Uchaguzi wa 2015. Jk anajua makalala siyo mtu wa kuingilika na mambo yasio leta haki ndo maana akamruka kiaina. Na huyo Chacha naye ni Mlokole? Teuzi za kisiasa hizi hakuna la ziada.

Wote hao waliopanda wanastaafu kabla ya 2015,,, to be precise, mwezi wa sita mwakani
 
Kwangu ni utamaduni mpya kuwa na maluteni jenerali zaidi ya mmoja kwa Tanzania. Sitashangaa siku chache zijazo akateua majenerali kamili zaidi ya mmoja. Tutaambiwa ni Raisi wa Kwanza Tanzania kuteua jenerali zaidi ya mmoja.

Kwa nchi ni hasara tu, hawa mpaka wanakufa watapata huduma ambazo ni mzigo kwa nchi. Hasara haina tofauti kuwa na Maspika 2, PM 2 na makamu wa Raisi 2 ndani ya miaka 10.
 
Mkuu yeye alishatoka huko jeshini.

Hongereni sana Lt. Gen. Ryoba na Lt. Gen. Makakala. Naona tunazidi kusonga mbele. Huko nyuma jeshini kulikuwa kwa kawaida kuna Four-Star General (CDF) mmoja na Three-Star General mmoja (CoS) lakini sasa naona tuna Four Star General mmoja na three star generals watatu mmoja akiwa ni CoS. Tuendako huenda tukapata general of the army (five-star general) na hivyo four-star generals kuwa wengi pia.

Malizia "in active service" otherwise tunao wengi tu wakiwa "not in active service"
 
Mkuu mbona unazunguka sana mara ooh makalala ni mlokole ooh ni mnyasa, Ngoja nikuambie mkuu vyeo vyote kuanzia lans coplo mpaka kanali ambavyo vinasimamiwa na jeshi lenyewe vina utaratibu wake kisheria katika jeshi vikiangalia nidhamu, muda uliolitumikia jeshi, elimu, utumishi uliotukuka nk.

Ila kuanzia brigadier jen na kuendelea vyeo vinatoka ikulu na kigezo kikubwa ni mchango wako kwa CCM, yaani ukionekana hawawezi kukupa mabomu ya CCM ujilipue kama yale aliyovaa shimbo basi sio hupewi madaraka tu hata cheo utachelewa kupanda. Kama utaitetea CCM kufa na kupona hata ikiwezekana nyeusi kuiita nyeupe mchana mbele ya kadamnasi unaweza kutoka koplo kuwa jenerali.

Nakubaliana na wewe kuwa Ulokole wa makalala umechangia kwa kiasi kikubwa sana kumnyima COS kwa sababu wanajua hataweza kusema uongo kama shimbo, hawataweza kumuhusisha kwenye mchakato wa kuiba kura 2015. watu wa namna hii wanatengwa hadi usalama wa taifa saa hizi
Mkuu hapo kuna ukweli wa aina fulani, lazima uwe kada hasa wa CCM na unafuatiliwa hata maisha yako na matamshi yako ukiwa threat wa CCM basi wewe utakwama saana!!!
 
Back
Top Bottom