JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

Status
Not open for further replies.
Kilichonihuzunisha ni kijana kuvalia vazi la taifa la Oman na kutoonekana hata mkristo mmoja! Walimsusia au hawakualikwa?
Ingefaa Rais wetu afahamu ni wa watanzania wote ikiwa ni pamoja na wasio waislamu. Nadhani safari nyingine atajisahihisha.

hahahaha masuala ya familia ya JK ni ya kitaifa?,
 
Rais ni raia namba moja wa nchi hii,ana mambo yake binafsi,kuna mambo mengine tukichokoa sana hayana maana!

Hawa ndio wale wanaomlaumu rais kujenga road kwao' wakati wanapita wao kuelekea kasakazini lol!
 
Una uhakika!? Arusi ya waislamu inafungiwa ukumbi wa sherehe kweli!? mimi ninavyojua ni nyumbani au msikitini.Huko mlimani city ni kumalizia sherehe.Hata hivyo ni umbea kweli maana ikulu ndo home kwao

Mimi muislam nilifungia ukumbini kuch hall!!!!
 
Huyo Miraji mvuta bangi, Huyo dada namhurumia!
 
aisee,wageni waalikwa wote ni islamiyatul dinu..kikwete mdini kweli.

Fikira potofu hizo, yaani suala la familia mnalifanya la taifa, ushaambiwa watu walikuwa wengi, lakini kwann muislamu akifanya jambo lake kiislamu umuone ni mdini?, ulitaka awaalike makanisa yajae? Shughuli binafsi mtu anaifanya vile atakavyo.
 
Modes funga hii thread; sasa ulitaka ifanyike wapi na pale ndo nyumbani kwa rais ambaye ni baba ake? Rasilimali za nchi zingetumika sawa, na hata hivyo haiwezi epukika kwa rasimali kutotumika kama kwa swala la ulinzi[ rais anatakiwa alindwe masaa 24] na watakaokuwa karibu yake nao watafaidika na huo ulinzi. Sasa we ulitakaje mkuu?
 
hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?
mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?
kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?
mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?

Ndoa ni tendo takatifu pia!!
 
Udini udini udini....kwa hiyo marafiki wa famili kutoka dini nyingine hawakuruhusiwa kushiriki?
 
acheni dharau nyie, harusi jambo la kifamilia mnawapangia walifanyeje?, wabongo nuksi sana

Alafu walivyokua hawajua harusi za kislam mwanamke shuhuli ndio yake si ya kikwete kwa iyo kikwete si mualikaji yeye anapewa kadi kiasi tu..kikwete sherehe yake ni jana sasa wafuatilie wageni wa jana
 
Kwa mualiko wa mwenye nyumba! !!!!!!!
Wengine Ikulu hata nyasi hamjawahi kugusa, wanaitwa watu bado kelele tu,sasa Mzee kawaalika watu wakae kula na kunywa pamoja bado ni shida????!!

Hivi unajua kwa level ya Urais kama binadamu unakuwa na hamu ya kukaa na watu wako mkaongea maisha ya kawaida kabisa na sio kila mara ni kusign na kutoa maelekezo!!!!!!!

Kujichanganya ni nature ya binadamu jamani kujitenga ndio mtu hujifunza na akifuzu huwa tunamshangaa,na huyu ni tabia yake mbona hata kwenye hotuba wengine wanadai hayuko serious. Personality yake ndio hiyo so akiwamiss watu anaandaa msosi wanapiga,wanaongea na yeye apate flavour ya maisha halisi!!!!!!!


We ungealikwa ungegoma????!!!!!

Kama harusi hiyo ingefanyika hotel maarufu ya kitalii au nje ya nchi fedha nyingi sana zingetumika,tungeanza kujadili kuwa rasilimali za taifa zimetumika,lakini kilichofanyika hapo ni mahesabu ya kiuchumi tu,resources zipo,walau zitumike kupunguza gharama badala kuanza na moja,kiuchumi na kijamii sio kosa kwa kilichofanyika,au tulitaka ikafungiwe Bagamoyo??Hapo Ikulu si ndipo anapoishi yeye na familia yake na ofisi ipo humo?Sasa tatizo ni nini?HAKUNA BAYA KWA HAFLA YA HARUSI HIYO KUFANYIKA IKULU KWENYE MAKAZI YA RAIS NA FAMILIA YAKE,ISITOSHE HARUSI ILIFUNGWA MLIMANI CITY.
 
Haya maneno yangesemwa na Muislam watu wangemshambulia sana kuwa mdini lakini kasema Mushi hakuna tatizo.


watu wanafikira potofu sana, member wengi wanaolalama udini wao ndio Vibaraka wa udini, akiteuliwa mtu wanahukumu dini yake badala ya vigezo stahiki, Ni ngumu sana kuongoza watu wa fikira za namna hii.
 
Udini udini udini....kwa hiyo marafiki wa famili kutoka dini nyingine hawakuruhusiwa kushiriki?
harusi za kislamu siku ya ndoa mwanaume ni mgeni mualikwa mwanamke ndio anaalika watu sio mwanaume
 
Mkuu wewe ni mzoefu humu. Post kama hizi potezea tu, kwa muda uliokaa katika hili jukwaa unatosha kabisa kukufahamisha kuwa kuna watu humu hata ufanye kitu gani lazima wafanye analysis ya uislamu Vs Ukristo. Hawana jema hao, utaongea weee lakini mwisho wa siku ndivyo walivyoamua. Potezea tu.


Well said mkuu, kuna wanajukwaa wengi wenye upofu wa fikira na wenye kuendekeza fikira ovu na potofu sana. Vyema kuwa muungwana.
 
Hiyo source ndio imenifurahisha, yani gazeti la mwananchi badala kuripoti namna ambavyo tunakabiliwa na makali ya kupanda kwa bei ya gesi, umeme, na maji wao wanaripoti harusi ya mtoto wa raisi. ha ha ha ha ha. Huyu mhariri wa hili gazeti ni majanga sasa.

Wewe jamaa unachuki binafsi!!unakumbuka dunia nzima ilireport harusi ya prince???..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom