Makamee
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 2,029
- 1,201
mkuu unamawazo kama yangu, sijaona mwalikwa mkristo hapo au sababu harusi za hawa wenzetu huwa hazina mvuto?
Ulidhani kuna MISA itasomwa? Au ulijua kuna UBARIKIO?
mkuu unamawazo kama yangu, sijaona mwalikwa mkristo hapo au sababu harusi za hawa wenzetu huwa hazina mvuto?
Hawana marafiki wasio dini yao?
Mbona kwenye wageni maarufu sijaona majina ya akina Rais Ben Mkapa, M.Pinda, Dr Magufuli, S.Sitta, E.Lowasa,nk naona ni alhaji, Alhasani, Abdallah, Hussein........... Anyway nawatakia maisha mema ya majukumu mapya....
Hao wangedai ndafu ya Kitimoto.
Hahahaa umenifurahisha mkuu
Huo ulinzi mkali ungeelekezwa kulinda tembo wetu ingekuwa jambo la maana sana.
Kilichonihuzunisha ni kijana kuvalia vazi la taifa la Oman na kutoonekana hata mkristo mmoja! Walimsusia au hawakualikwa?
Ingefaa Rais wetu afahamu ni wa watanzania wote ikiwa ni pamoja na wasio waislamu. Nadhani safari nyingine atajisahihisha.
Mkuu mwananchi wanabembeleza kidonda ili wasije wakafungiwa tena.Hiyo source ndio imenifurahisha, yani gazeti la mwananchi badala kuripoti namna ambavyo tunakabiliwa na makali ya kupanda kwa bei ya gesi, umeme, na maji wao wanaripoti harusi ya mtoto wa raisi. ha ha ha ha ha. Huyu mhariri wa hili gazeti ni majanga sasa.
Mimi nilija dada yetu Mwanaisha kaolewa
Hivi kweli inakuingia akilini kwamba waalikwa wote ni Waislam kwavile tu Mwandishi ametaja waislamu tupu? Nukuu ya mwandishi hii hapa:mkuu unamawazo kama yangu, sijaona mwalikwa mkristo hapo au sababu harusi za hawa wenzetu huwa hazina mvuto?
Kwanza wageni walikuwa wengi kiasi walianza kuingia kuanzia mchana hadi saa 11! Unataka kusema wote hao ni Waislamu? Mtu anaweza kutofautisha vipi kati ya Waislamu na Wakristo katika kundi la watu wengi? But all in all, hapo kwenye BLUE mwandishi anasema "MIONGONI!" Ina maana hufahamu nini maana ya miongoni? Does it demand language degree to know kwamba hao wageni wa Kitaifa waliotajwa hapo ni baadhi tu? Labda hapa swali la msingi ni kwanini Mwandishi ameamua kutaja Waislamu peke yake jamb ambalo haliingii akilini hata kidogo kuamini kwamba harusi mzima ilikuwa na Waislamu peke yake!! Inawezekana huyu mwandishi kwa makusudi ndie aliyetaka kuonesha kwamba kulikuwa na udini kiasi cha kumtaja hata SOFIA SIMBA kwavile jina lake ni kama Mwislamu wakati ni Mkristo!
Wageni wengi waalikwa walianza kuingia ukumbini humo majira ya mchana na wengine waliendelea kuwasili hadi saa 11 za jioni.
Miongoni mwa viongozi wa kitaifa waliohudhuria sherehe hizo ni pamoja na Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal, Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Afya, Dk Hussein Mwinyi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Seif Rashid na Waziri wa Maendeleo ya Wanawake Jinsia na Watoto, Sophia Simba.
>>Gazeti la Mwananchi
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!karne 21 unazungumza udiniwakisema mh ni mdini utabishi? kweli leo nimeamini.
Miraji Kikwete kamuoa mtoto wa Dr. Hassan Mshinda mkurugenzi mkuu wa COSTECH pale jengo la Sayansi.
Tulishajiuliza kumpa technician U-Director General wa Costech!!!!!!!!!
anaitwa Alma Hassan Mshinda