Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
Dini yake ina ruhusu kuoa zaidi ya mmoja ila mwisho ni 4.lengo nikuondoa uzinzi ndani ya ndoa,kupunguza idadi ya wanawake wasio na mumu koz tukitaka tusitake wanawake ni wengi,kukukuza heshima ya mwanamke koz hakuna mwanamke aliyetimia akakataa kuolewa.n.b.kuoa wake 4 ni lazima mwanamme awe.biological fit,muungwana,uwezo wa kuwafanyia usawa wanawake hao.nk
Hata kuoa wanawake zaidi ya mmoja ni uzinzi tu, ndiyo maana wanawake waliosoma bila kujali imani yao hawakubali. Kama si uzinzi mruhusu pia mkeo aolewe na wanaume wanne
