hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?
mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?
kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?
mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?
"Babuu na Miraji kikwete kihama unataka nikelete? Niwavunje miguu mkajiunge na kundi la viwete? Miraji kumbuka haki ulivyofukuzwa na baba yako ghetto kwangu nikakulaki tunakula kiporo cha wali ulibaki dingi kushika ikulu unataka kunishitaki?"--Nabii Koko kalapina
:focus:
Huyu si analo hekalu lake Kinyerezi kwa nini asifanyie kwake?
Ndege wafananao huruka Pamoja. Mtoto wa Kaundime wa Nyagezi ataolewa Mtoto wa Ngosha wa Maswi.
hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?
mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?
kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?
mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?
Kwani ndoa siyo kitu kitakatifu mkuu?
Ebu tumia akili kufikilia,usitumie makalio na kukurupuka kuweka bandiko la kijinga kijinga alfajiri bweg.e wewe!
yaani huyu mvuta bangi nae anapata mkwa kwa vile tu ni mtoto wa Mkulu? sasa huyu Dr Mshinda elimu yake imemsaidia nini kama haweze kufanya maamuzi makini juu ya familia yake au ni kwa vile hata hivyo vyeo wanapeana kwa hiyo huyo binti anaonekana ni investment, my poor country
Pamoja na ukweli huo, bado ndoa yenyewe ilifungiwa Mlimani City. Basi tu umbea ukizidi...
Aisee mtabakia na wivu wenu wa kike.
kwa taarifa yako miraji ajazaa na alma .miraji alizaa na mwanamke mwingine sasa sijui uliambiwa ama umezua tuOOh kumbe malezi mazuri ni pamoja na Kuzaa kabla ya ndoa??kwa binti nwa kiislam??mana hapo wanapasha kiporo
Sasa mtataka hata yale mambo yetu yalee asifanyie Ikulu.
wakisema mh ni mdini utabishi? kweli leo nimeamini.
mkuu unamawazo kama yangu, sijaona mwalikwa mkristo hapo au sababu harusi za hawa wenzetu huwa hazina mvuto?