JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

Status
Not open for further replies.
Team Mbowe;
Zitto sio Mha?

Mkuu huyu ni mha fake!
Mrundi..
 
"Hata hivyo kutokana na wingi wa watu waliofurika ukumbuni hapo, msururu wa chakula haukumalizika hadi Miraji na mke wake mpya wanaondoka ukumbini hapo"

Kumbe huyu ni mpya!! ana zaidi ya mmoja?
 
Kweli bwana,uliwahi kumwona bundi kwenye kundi la njiwa?SALOME UMENENA VEMA.
 
Mbona kwenye wageni maarufu sijaona majina ya akina Rais Ben Mkapa, M.Pinda, Dr Magufuli, S.Sitta, E.Lowasa,nk naona ni alhaji, Alhasani, Abdallah, Hussein........... Anyway nawatakia maisha mema ya majukumu mapya....

Hao wangedai ndafu ya Kitimoto.
 
Huo ulinzi mkali ungeelekezwa kulinda tembo wetu ingekuwa jambo la maana sana.
 
Mbona kwenye wageni maarufu sijaona majina ya akina Rais Ben Mkapa, M.Pinda, Dr Magufuli, S.Sitta, E.Lowasa,nk naona ni alhaji, Alhasani, Abdallah, Hussein........... Anyway nawatakia maisha mema ya majukumu mapya....
mkuu unamawazo kama yangu, sijaona mwalikwa mkristo hapo au sababu harusi za hawa wenzetu huwa hazina mvuto?
 
Hawana marafiki wasio dini yao?
Acha UDINI usio na kichwa wala miguu, unatia aibu hasa ukizangatia muda wako hapa jukwaani...pitia hapa chini:

Hata hivyo kutokana na wingi wa watu waliofurika ukumbini hapo, msururu wa chakula haukumalizika hadi Miraji na mke wake mpya wanaondoka ukumbini hapo.
>>Gazeti la Mwananchi

Mwandishi anasema kuwa kulikuwa na watu wengi; kwahiyo unataka kusema wote hao walikuwa Waislamu? Waislamu utawafahamuje kwenye kundi la watu wengi kama hilo?
 
mkuu unamawazo kama yangu, sijaona mwalikwa mkristo hapo au sababu harusi za hawa wenzetu huwa hazina mvuto?

Mbona picha inaonyesha bi harusi amevaa kistaarabu na ameacha buibui? au Bi ni mkristo? labda na bwana arusi atabadili nani yake
 
quote_icon.png
By oldisgold

Hata hivyo kutokana na wingi wa watu waliofurika ukumbini hapo, msururu wa chakula haukumalizika hadi Miraji na mke wake mpya wanaondoka ukumbini hapo.
>>Gazeti la Mwananchi

sio msururu wa chakula bali ni msururu wa ubwabwa.
 
Mbona kwenye wageni maarufu sijaona majina ya akina Rais Ben Mkapa, M.Pinda, Dr Magufuli, S.Sitta, E.Lowasa,nk naona ni alhaji, Alhasani, Abdallah, Hussein........... Anyway nawatakia maisha mema ya majukumu mapya....
Mwandishi anasema kulikuwa na watu wengi kiasi hata cha foleni ya msosi ilikuwa ndefu; je unataka kusema wote hao walikuwa Waislamu? Unaweza kuwafahamu vipi Waislamu na wasio Waislamu kwenye kundi la watu wengi? ACHENI UDINI USIO NA FAIDA KWA JAMII WALA KWENU BINAFSI.
 
Ila kwa nini mtoto wa raisi avae vazi la taifa la oman..? Mi muislamu ila huu ni ujuha...au kikwete ni muoman? Samahanini kwa ntakao wakera

akhy hizo ni style tu na wamependeza xana,kanzu ya taifa ya tanzania ni ipi.

hata panjabi ya kipakistani unatupia tu siku ya ndoa.ulitaka avae suti
 
Miraji Kikwete kamuoa mtoto wa Dr. Hassan Mshinda mkurugenzi mkuu wa COSTECH pale jengo la Sayansi.

Kijana kapata jiko si haba akiongeza jiko la pili dini inamruhusu.
 
yaani huyu mvuta bangi nae anapata mkwa kwa vile tu ni mtoto wa Mkulu? sasa huyu Dr Mshinda elimu yake imemsaidia nini kama haweze kufanya maamuzi makini juu ya familia yake au ni kwa vile hata hivyo vyeo wanapeana kwa hiyo huyo binti anaonekana ni investment, my poor country
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom