JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

Status
Not open for further replies.
Mkuu picha umetubania mkulu na mama watoto wake atujamwona au awakwepo kwenye dhifa
 
oldisgold Ila kwa nini mtoto wa raisi avae vazi la taifa la oman..? Mi muislamu ila huu ni ujuha...au kikwete ni muoman? Samahanini kwa ntakao wakera

Yaaaap! Huwa ktk dini tuna mkanganyiko wa uelewa. Kuna watu hawajui tofauti ya Uislamu na uarabu hii imepelekea baadhi kudhani uislamu wa pwani ni bora kuliko bara. Kisa, ni waarabu waishio pwani.

Kijana huyu anaweza kuwa anaamini hivyohivyo!
 
So? Bilcana name maisha Klab jamaa ataadimika sana na ndoa itadumu kweli?
 
mba.Tia & lipu.Mba hawakuwepo?

maana ni wazee wa pilau kwa hapo bongo..[/QUOTE
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
 
Shughuli ya kumwozesha Miraji ishamalizika sasa mliokuwa mnalilia baraza la mawaziri tegemeeni taarifa rasmi next week.

Mtoa mada, tunaomba uondoe maelezo yenye uozo kama hayo. Nani kasema tunalilia baraza? Kwa mtindo wako wa uandikaji yaonekana siyo mwandishi wa habari, we ni mwalikwa na unajidai kama mwandishi. Hongera kwa kuweza kununua nafasi kwenye gazeti zuri kama hili.
 
Kilichonihuzunisha ni kijana kuvalia vazi la taifa la Oman na kutoonekana hata mkristo mmoja! Walimsusia au hawakualikwa?
Ingefaa Rais wetu afahamu ni wa watanzania wote ikiwa ni pamoja na wasio waislamu. Nadhani safari nyingine atajisahihisha.

Kwani Sophia Simba ni Mwislamu?
 
oldisgold Ila kwa nini mtoto wa raisi avae vazi la taifa la oman..? Mi muislamu ila huu ni ujuha...au kikwete ni muoman? Samahanini kwa ntakao wakera

Sema vazi la kiarabu sio kioman, joho huvaliwa na waarabu kwa design tafauti pamoja na kilemba chake.

Na angevaa suti ungesema amevaa vazi la kizungu, au ndiyo itakuwa sawa?
 
hongera Miraji Khalifan Kikwete. mwenyezi mungu aijalie amani na watoto wenye afya tele ndoa yako.
 
Oook! Kumbe ndo sababu? Nilishasikia jamaa elimu haijai halafu anapewa u-DG Costech.
Hiyo ndo big results now!

Hatumsemi vibaya, sisi technicians tumefanya naye kazi- diploma in medical lab tech, akachupa bila basic degree, akapata kusoma masters ya mchoro toka kwa Marcel Turner and then PhD, huyoo................DG Costech!
 
attachment.php
 
quote_icon.png
By oldisgold

Hata hivyo kutokana na wingi wa watu waliofurika ukumbini hapo, msururu wa chakula haukumalizika hadi Miraji na mke wake mpya wanaondoka ukumbini hapo.
>>Gazeti la Mwananchi

sio msururu wa chakula bali ni msururu wa ubwabwa.

Hata na nyinyi wabara siku hizi ugali munaupiga na chini, watoto wenu ndiyo hawautaki kabisa, ni ubwabwa tuuuuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom