JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

Status
Not open for further replies.
kwani hakuna mapumziko kutokana na ndoa ya kaka wa taifa (miraji)
 
Mkuu wewe ni mzoefu humu. Post kama hizi potezea tu, kwa muda uliokaa katika hili jukwaa unatosha kabisa kukufahamisha kuwa kuna watu humu hata ufanye kitu gani lazima wafanye analysis ya uislamu Vs Ukristo. Hawana jema hao, utaongea weee lakini mwisho wa siku ndivyo walivyoamua. Potezea tu.
Thank you for this useful advice!!
 
mkuu NasDaz mbona povu jingi sana!?.vp mwl wenu Mo Said hakualikwa?
Watu wenye busara zao wamenishauri niwapuuze na hakika nimepewa ushauri wa msingi! Kujadili ukrito na usilamu hii ni jambo la aibu kwangu hata hivyo wewe binafsi unaweza kuendelea mkuu wangu.
 
Hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?

Mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?

Kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?

Mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?
 
Ikulu ni mahali takatifu kwa nchi husika na ukiona mtu anafanya hivo ujue ikulu ni kama ghetto kwake
 
Binafsi naona ni sawa kwa mtazamo ufuatao:
Ikulu ina hadhi mbili, ni ofisi lakini pia ni nyumba ya Mh. Rais. Sasa kama ambavyo imekuwa jadi yetu watanzania wengi, si ajabu kufanyia sherehe katika maeneo ya nyumba zetu. Klichofanyika kwa Mh. Rais ni kutumia maeneo ya makazi yake (Ikulu) kuweza kufanyia sherehe hiyo ya mtoto wake. Kwa watumishi wa serikali ambao wanaishi ktk nyumba za serikali, hili jambo si ajabu. Tumefanya sana sherehe za Kipaimara, Kitchen party hata ndoa kwenye nyumba hizo, Je hili nalo ni tatizo? HAPANA!!

Swali ambalo ni gumu ni je hapakuwa na matumizi ya rasilimali za serikali? Hata hivyo ni ngumu sana kulikwepa hili hasa katika ngazi ya urais. Ikumbukwe kwamba hata katika baadhi ya mambo ya kifamilia bado serikali inawajibika kuwa na usimamizi wake mfano ulinzi na usafiri.
 
hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?
mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?
kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?
mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?
ishu nzima ilikuwa mlimani city,pia hata km ni otherwise pamoja na yote rais anaishi pale na kufanya kazi zake pale,ulitaka iweje,hakuna hoja,thread closed.
 
Sijaona tatizo, kwa kulalamika hatujambo kwakweli, angefungia sehemu nyengine mwengine angesema anatumia hela za walipakodi vibaya...
 
Pale.ikulu.kuna makazi ya Rais anaishi na familia yk pia ukumbuke km ikulu ni patakatifu na ndoa nayo ni takatifu ndo maana tunafungia makanisani & misikitini
 
Heee jamani hebu tuwe makini na maisha sasa!!!!!!!

Mtoto wa kiume sio tu huolea nyumbani kwao,kama mzazi ana uwezo hata mahari pia anamlipia sasa hapo kuna shida gani!!!!!!

Hebu jiulize wewe unaweza kuchanga laki nzima kwa harusi ya mdogo wa rafiki yako huyu mzee mwanaye anaoa asifanye ndoa hapo anapoishi!!!!!????? Au ilifanyikia ule ukumbi mdogo pale watu wanapoliaga shavu la kiapo??????!!!!!

Hebu lete mambo ya maana!!!!
 
Siku hizi unaingia tu pale!

attachment.php
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom