JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

Status
Not open for further replies.
Alma mtoto mwenye malezi mazuri kutoka kwa familia nzuri yenye maadili mema, tunakuombea ndoa yako iwe yenye amani ...
 
yaani huyu mvuta bangi nae anapata mkwa kwa vile tu ni mtoto wa Mkulu? sasa huyu Dr Mshinda elimu yake imemsaidia nini kama haweze kufanya maamuzi makini juu ya familia yake au ni kwa vile hata hivyo vyeo wanapeana kwa hiyo huyo binti anaonekana ni investment, my poor country

Jamani kuna watu kwa kuchonga hawana mfano. Ingekuwa hivyo walevi wasingepata wake (pengine na wewe ni mmoja kati yao).

Maamuzi makini ni yapi, wewe ungekuwa na mchumba wako halafu mzazi wako akakukatalia ungekubali? Naona kweli bangi imeanza kwako.
 
Hivi kweli inakuingia akilini kwamba waalikwa wote ni Waislam kwavile tu Mwandishi ametaja waislamu tupu? Nukuu ya mwandishi hii hapa:

Kwanza wageni walikuwa wengi kiasi walianza kuingia kuanzia mchana hadi saa 11! Unataka kusema wote hao ni Waislamu? Mtu anaweza kutofautisha vipi kati ya Waislamu na Wakristo katika kundi la watu wengi? But all in all, hapo kwenye BLUE mwandishi anasema "MIONGONI!" Ina maana hufahamu nini maana ya miongoni? Does it demand language degree to know kwamba hao wageni wa Kitaifa waliotajwa hapo ni baadhi tu? Labda hapa swali la msingi ni kwanini Mwandishi ameamua kutaja Waislamu peke yake jamb ambalo haliingii akilini hata kidogo kuamini kwamba harusi mzima ilikuwa na Waislamu peke yake!! Inawezekana huyu mwandishi kwa makusudi ndie aliyetaka kuonesha kwamba kulikuwa na udini kiasi cha kumtaja hata SOFIA SIMBA kwavile jina lake ni kama Mwislamu wakati ni Mkristo!

Mkuu wewe ni mzoefu humu. Post kama hizi potezea tu, kwa muda uliokaa katika hili jukwaa unatosha kabisa kukufahamisha kuwa kuna watu humu hata ufanye kitu gani lazima wafanye analysis ya uislamu Vs Ukristo. Hawana jema hao, utaongea weee lakini mwisho wa siku ndivyo walivyoamua. Potezea tu.
 
Oook! Kumbe ndo sababu? Nilishasikia jamaa elimu haijai halafu anapewa u-DG Costech.
Hiyo ndo big results now!

BIOGRAPHIES

Hassan Mshinda

Director General of Tanzania Commission for Science and

TechnologyTanzania

Dr. Hassan Mshinda is the DirectorGeneral of Tanzania Commission for Science and Technology in Tanzania. He completed his Master's of Science in Applied Parasitology and MedicalTechnology with University of Liverpool and PhD in Epidemiology with University of Basel inSwitzerland. Dr.Mshinda has led several research projects funded by Multilateral Initiative of Malaria in Africa, Swiss Agency for Development and Cooperation, International Atomic Energy Agency, International Development Research Centre in Canada, European Union, Ireland Aid and Novartis Foundation for Sustainable Development. He has published several papers in
communicable disease and health system.

Dr. Mshinda has conducted several international and national consultancies assigned by Department of International Development, Danish Development Agency and World Health Organisation.Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria.

Dr Mshinda is the Chairman of INDEPTH Board, Member Scientific Coordinator of AMANET,a member of
International Review Panel, Health Matrix, Board Chairman St Francis Pharmacy,Board Member, BRAC Tanzania Member RegionalTask Force of Maternal Newborn and Child Partnership-AFRO /WHO,, Board Member National Institute for Medical Research, Board Member Tropical Pesticides Research Institute, Board Member Tanzania Industrial Research and Development, Member of Governing Board of Dar es Salaam University of College Education, member of the Medical Research Coordinating Committee

.Source: http://www.oecd.org/site/stigfke/48584395.pdf

Haya hiyo cv ya technician wenu asiyekuwa na elimu.

Hatumsemi vibaya, sisi technicians tumefanya naye kazi- diploma in medical lab tech, akachupa bila basic degree, akapata kusoma masters ya mchoro toka kwa Marcel Turner and then PhD, huyoo................DG Costech!

Jitahidi na wewe upate Masters na Phd za michoro, tena siku hizi ndiyo rahisi kabisaaa, kwenye internet tu unazipata muhimu fedha zako.
 
Na mjomba SAID MWEMA pia.au kasusa shemeji hajamuongezea ulaji
Mbona kwenye wageni maarufu sijaona majina ya akina Rais Ben Mkapa, M.Pinda, Dr Magufuli, S.Sitta, E.Lowasa,nk naona ni alhaji, Alhasani, Abdallah, Hussein........... Anyway nawatakia maisha mema ya majukumu mapya....
 
BIOGRAPHIES

Hassan Mshinda

Director General of Tanzania Commission for Science and

TechnologyTanzania

Dr. Hassan Mshinda is the DirectorGeneral of Tanzania Commission for Science and Technology in Tanzania. He completed his Master's of Science in Applied Parasitology and MedicalTechnology with University of Liverpool and PhD in Epidemiology with University of Basel inSwitzerland. Dr.Mshinda has led several research projects funded by Multilateral Initiative of Malaria in Africa, Swiss Agency for Development and Cooperation, International Atomic Energy Agency, International Development Research Centre in Canada, European Union, Ireland Aid and Novartis Foundation for Sustainable Development. He has published several papers in

communicable disease and health system.

Dr. Mshinda has conducted several international and national consultancies assigned by Department of International Development, Danish Development Agency and World Health Organisation.Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria.
Dr Mshinda is the Chairman of INDEPTH Board, Member Scientific Coordinator of AMANET,a member of

International Review Panel, Health Matrix, Board Chairman St Francis Pharmacy,Board Member, BRAC Tanzania Member RegionalTask Force of Maternal Newborn and Child Partnership-AFRO /WHO,, Board

Member National Institute for Medical Research, Board Member Tropical Pesticides Research Institute,

Board Member Tanzania Industrial Research and Development, Member of Governing Board of Dar es Salaam University of College Education, member of the Medical Research Coordinating Committee

.Source: http://www.oecd.org/site/stigfke/48584395.pdf

Haya hiyo cv ya technician wenu asiyekuwa na elimu.

Hapa watamkana kwakuwa hajapitia sunday school...
 
Jitahidi na wewe upate Masters na Phd za michoro, tena siku hizi ndiyo rahisi kabisaaa, kwenye internet tu unazipata muhimu fedha zako.

Nimekudharau katika posy yako lakini unanifuata. Let us be objective, huyo DG ana basic degree? Nimekosea wapi? Kusema ukweli? Hakusaidiwa na Marcel Turner? Nimekosea wapi? Hakuwa technician? Si kipenzi cha Turner?
 
BIOGRAPHIES

Hassan Mshinda

Director General of Tanzania Commission for Science and

TechnologyTanzania

Dr. Hassan Mshinda is the DirectorGeneral of Tanzania Commission for Science and Technology in Tanzania. He completed his Master's of Science in Applied Parasitology and MedicalTechnology with University of Liverpool and PhD in Epidemiology with University of Basel inSwitzerland. Dr.Mshinda has led several research projects funded by Multilateral Initiative of Malaria in Africa, Swiss Agency for Development and Cooperation, International Atomic Energy Agency, International Development Research Centre in Canada, European Union, Ireland Aid and Novartis Foundation for Sustainable Development. He has published several papers in

communicable disease and health system.

Dr. Mshinda has conducted several international and national consultancies assigned by Department of International Development, Danish Development Agency and World Health Organisation.Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria.
Dr Mshinda is the Chairman of INDEPTH Board, Member Scientific Coordinator of AMANET,a member of

International Review Panel, Health Matrix, Board Chairman St Francis Pharmacy,Board Member, BRAC Tanzania Member RegionalTask Force of Maternal Newborn and Child Partnership-AFRO /WHO,, Board

Member National Institute for Medical Research, Board Member Tropical Pesticides Research Institute,

Board Member Tanzania Industrial Research and Development, Member of Governing Board of Dar es Salaam University of College Education, member of the Medical Research Coordinating Committee

.Source: http://www.oecd.org/site/stigfke/48584395.pdf

Haya hiyo cv ya technician wenu asiyekuwa na elimu.

Usitusumbuwe kabisa na huyo msanii wako! Bio gani hiyo inayoanzia kwenye master's? Hujiulizi kwa nini maelezo yanaanzia njiani.

Maji marefu akiandika bio yake kwa kutaja mikoa aliyotembelea na kugawa hirizi utamuweza?
 
mkuu unamawazo kama yangu, sijaona mwalikwa mkristo hapo au sababu harusi za hawa wenzetu huwa hazina mvuto?

Hii ni harusi ya watu... mambo ya dini unaingiza ya nn... anyway imeandikwa wanayoyaficha kwenye vifua vyao ni makubwa zaidi kuliko hizo chuki zao kwenu....

Who told you ilikuwa sherehe ya kitaifa...

Kuna haja ya kuacha jambo kama halikuhusu...
 
yaani huyu mvuta bangi nae anapata mkwa kwa vile tu ni mtoto wa Mkulu? sasa huyu Dr Mshinda elimu yake imemsaidia nini kama haweze kufanya maamuzi makini juu ya familia yake au ni kwa vile hata hivyo vyeo wanapeana kwa hiyo huyo binti anaonekana ni investment, my poor country

Duu.. umetumia akili kweli?
 
Usitusumbuwe kabisa na huyo msanii wako! Bio gani hiyo inayoanzia kwenye master's? Hujiulizi kwa nini maelezo yanaanzia njiani.

Maji marefu akiandika bio yake kwa kutaja mikoa aliyotembelea na kugawa hirizi utamuweza?

Andika yako tuione basi.
 
Ameacha kutumia madawa ya kulevya?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom