tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 538
Acha UDINI usio na kichwa wala miguu, unatia aibu hasa ukizangatia muda wako hapa jukwaani...pitia hapa chini:
Mwandishi anasema kuwa kulikuwa na watu wengi; kwahiyo unataka kusema wote hao walikuwa Waislamu? Waislamu utawafahamuje kwenye kundi la watu wengi kama hilo?
Hata Mheshimiwa waziri mkuu,Na Rais Mstaafu??Mie pia nna mashaka,Jamaa yenu mchoyo