JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

Status
Not open for further replies.
hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?
mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?
kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?
mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?
Kwani ndoa siyo kitu kitakatifu mkuu?
Ebu tumia akili kufikilia,usitumie makalio na kukurupuka kuweka bandiko la kijinga kijinga alfajiri bweg.e wewe!
 
Siku hizi unaingia tu pale!

attachment.php

Kwa mualiko wa mwenye nyumba! !!!!!!!
Wengine Ikulu hata nyasi hamjawahi kugusa, wanaitwa watu bado kelele tu,sasa Mzee kawaalika watu wakae kula na kunywa pamoja bado ni shida????!!

Hivi unajua kwa level ya Urais kama binadamu unakuwa na hamu ya kukaa na watu wako mkaongea maisha ya kawaida kabisa na sio kila mara ni kusign na kutoa maelekezo!!!!!!!

Kujichanganya ni nature ya binadamu jamani kujitenga ndio mtu hujifunza na akifuzu huwa tunamshangaa,na huyu ni tabia yake mbona hata kwenye hotuba wengine wanadai hayuko serious. Personality yake ndio hiyo so akiwamiss watu anaandaa msosi wanapiga,wanaongea na yeye apate flavour ya maisha halisi!!!!!!!

We ungealikwa ungegoma????!!!!!
 
"Babuu na Miraji kikwete kihama unataka nikelete? Niwavunje miguu mkajiunge na kundi la viwete? Miraji kumbuka haki ulivyofukuzwa na baba yako ghetto kwangu nikakulaki tunakula kiporo cha wali ulibaki dingi kushika ikulu unataka kunishitaki?"--Nabii Koko kalapina
:focus:
Huyu si analo hekalu lake Kinyerezi kwa nini asifanyie kwake?
 
hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?
mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?
kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?
mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?
ulitaka wafungie kwako au?
 
umeandika kihadzabe hueleweki
 
Acha ufala au kwa sababu hujaalikwa nini. Ikulu ndio maskan kwa rais ulitaka aje kwako.acha wivu wa kijinga wew . Angekuwa anolewa dada yako pale ikulu ungeyasema haya.
 
Hazina mvuto kivipi? Kama wewe unaona hazina mvuto usifikiri kila mtu anaona hivyo hivyo. Halafu wewe utakuwa na ujauzito wa akili. Acha udini wa kipumbavu. Huna cha kuchangia kakune nazi. Una wivu kwa kuwa baba ako sio Rais!!

Kwani wewe Baba ako ni Raisi???
 
"Babuu na Miraji kikwete kihama unataka nikelete? Niwavunje miguu mkajiunge na kundi la viwete? Miraji kumbuka haki ulivyofukuzwa na baba yako ghetto kwangu nikakulaki tunakula kiporo cha wali ulibaki dingi kushika ikulu unataka kunishitaki?"--Nabii Koko kalapina
:focus:
Huyu si analo hekalu lake Kinyerezi kwa nini asifanyie kwake?

Wengi tu tuna maisha yetu lakini tulifungia ndoa kwa wazazi wetu,in real sense a week before unahamia kabisa ili kuwa karibu na familia na kuweka mambo sawa,zipo dua na hata kutoa sadaka kama familia kwa kushukuru na kuomba ufanyiwe wepesi na kuepushwa na shari za dunia!!!!!

Kwa yeyote mwenye familia shida na raha hapo ndio mahala pake!!!!!!!!
Mtoto wako wakiume uliyempeleka jando na ukampokea kutoka kwa mtaalamu akilia kwa uchungu hata sauti isitoke ukauguza kidonda usiku na mchana mpaka apone,siku akikuambia "baba nimepata mchumba nataka kuoa" hili ni jambo kubwa sana wazee wenzangu wanaelewa vizuri hapa na akaridhia kufanyia hilo kwako basi kwa mzazi raha yake wewe mtoto huelewi ukikua utajua!!!!!!!
Ndio unapata neno "family man" sio kila mwanaume anavaa hili jina!!!!!
 
hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?
mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?
kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?
mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?

wivu tu unakusumbua
 
sasa pale si ndio nyumbani kwao au haujui Ikulu ndio nyumbani kwa rais
 
Ni mtoto wa rais gani aliyefungia ndoa ikulu?Hata hivyo ndoa pia ni jambo takatifu hivyo kufanyika patakatifu si ajabu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?
mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?
kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?
mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?

ushahidi tafadhali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom