JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

Status
Not open for further replies.
Harusi ni jambo.
Ndoa ni nusu ya dini.
Allah awape utulivu inshallah
 
hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?
mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?
kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?
mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?

si ndipo kwao sasa akafungie wapi?
 
Kama harusi hiyo ingefanyika hotel maarufu ya kitalii au nje ya nchi fedha nyingi sana zingetumika,tungeanza kujadili kuwa rasilimali za taifa zimetumika,lakini kilichofanyika hapo ni mahesabu ya kiuchumi tu,resources zipo,walau zitumike kupunguza gharama badala kuanza na moja,kiuchumi na kijamii sio kosa kwa kilichofanyika,au tulitaka ikafungiwe Bagamoyo??Hapo Ikulu si ndipo anapoishi yeye na familia yake na ofisi ipo humo?Sasa tatizo ni nini?HAKUNA BAYA KWA HAFLA YA HARUSI HIYO KUFANYIKA IKULU KWENYE MAKAZI YA RAIS NA FAMILIA YAKE,ISITOSHE HARUSI ILIFUNGWA MLIMANI CITY.


Acha waseme mkuu tuwarekebishe humu!!!!
Sababu angeamua hata kufungia mbugani angeweza na ndio ingekuwa sokomoko na wengine wangechukua hata ED sababu ya presha kuwapanda!!!!!
 
Kwani Rais na familia yake wanaishi wapi? kama sio IKULU basi haitakuwa sahihi.
 
Umaskini ungekuwa ni ugonjwa wa kuambukiza huyu mleta mada angeshamuambukiza rais jk maana wivu gani huu npaka unamuanzishia uzi wa uongo rais wetu
 
Mkapa,Pinda,Membe,lowassa(hatukukutana barabarani) ni kweli hawakuwepo?
 
hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi?
mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli?
kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu?
mbona kama hawa watu hawaeleweki mambo yao?

mkuu pale pana pia pana hadhi nyumba ya raisi au makazi ya raisi, yaani ukitoa uhalali wa kuwa ni ofisi.Kwa hyo kama imefanyika harusi basi itakuwa ktk hadhi ya nyumbani kwa baba yake na sio ofisini
 
Harusi ni kumbukumbu muhimu sana nadhani hata wewe ukifuata utaratibu unaweza kuruhusiwa kufanyia harusi yako hapo magogoni.
Nasikia kuna movies huwa zinachezwa ndani ya ikulu ya marekani
 
Hivi rais. makaazi yake na familia yake si ni ikulu? Utamuuliza mtu kwa nn kafungisha ndoa ya mwanae nyumbani kwake?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom