JK amteua Jaji Kiongozi mpya

Sijasema Ujaji Mkuu bali alitoka uwakili na kupelekwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.

exactly! as far as I know

I would not dare to speculate the motives naamini JK anatimiza wajibu wake wa Kikatiba.

Nadhani nilikuelewa ila swali langu la msingi umeshalijibu,ila issue ni kwamba ndani ya mwaka mmoja uliopita wakati akiwa bado ni wakili wa kujitegema basi alipanda vyeo mara mbili kwa mpigo...Rejea kauli yako kuwa mwaka mmoja uliopita alikuwa wakili na kabla ya kuwa jaji kiongozi(sasa) aliwahi pia kuteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu, all this within a year.
 
Misingi ya mtu kupanda cheo mara mbili mbili kwa haraka haraka na hilo lingine ambalo sitaki kulisemea ndiyo jambo linalonipa taabu sana kwa huyu Mkulu.

Nafikiri huwa ana madhumuni yake fulani,hasa katika kufurahisha kundi fulani la watu,kikundi fulani cha dini au hata kabila fulani si naeleweka jamani! sijapata ''motive'' ya Mkulu katika teuzi zake nyingi.

Ipo haja ya kuliangalia hili la kumpunguzia madaraka makubwa aliyonayo,pengine katika hizi process kutakuwa hata na vetting kwasababu hakuna Raisi atakayejisikia kuteua mtu kisa anakunywa naye gongo au anasali au kuswali naye kanisa au msikiti mmoja na vitu kama hivyo.

A major overhaul ya katiba nafikiri ni muhimu sana kwasababu nahisi tutakuja kupata rais mwendawazimu siku moja akafanya mambo kama anavyotaka halafu tutakuja kukosa wa kumtupia lawama.
 
Nadhani nilikuelewa ila swali langu la msingi umeshalijibu,ila issue ni kwamba ndani ya mwaka mmoja uliopita wakati akiwa bado ni wakili wa kujitegema basi alipanda vyeo mara mbili kwa mpigo...Rejea kauli yako kuwa mwaka mmoja uliopita alikuwa wakili na kabla ya kuwa jaji kiongozi(sasa) aliwahi pia kuteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu, all this within a year.

..........Pengine mimi ndio sielewi.......nilivyokuwa naelewa mimi ni kuwa......

Jaji Kiongozi ni Senior kwa J1, na J1 ni Senior kwa J2, na J2 ni Senior kwa J3, na kuendelea...........
Kwa hiyo lets say miaka miwiwli iliyopita huyu Fakihi alipoteuliwa mara ya kwanza alikuwa zaidi ya J15.........sasa Kateuliwa kuwa Jaji Kiongozi....i.e. JK.......ina maana kawaruka senior Judges wa Kanda nk!!!.......nilivyokuwa naelewa pia nin kuwa Judge Incharge wa Kanda/Kitengo e.g Biashara.........pia anaweza kuteuliwa kuingia Mahakama ya Rufaa

Vivyo hivyo kwa Mahakama ya Rufaa
Jaji Mkuu i.e. JM......chini yake wanafuatia JR1, JR2, JR3 na kuendelea

anyway uelewa wangu inaweza kuwa nilikuwa nje kabisa.........! naomba kuelimishwa.........
 
Mheshimiwa Ogah unavyofikiria ndio sahihi....Hata hawa Majaji wa Mahakama kuu wanapishana kutokana na seniority zao....wote mnaweza kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufaa lakini seniority ndio inamtambulisha nani Mkuu kuliko mwenzie.Masuala ya nani kuteuliwa nani huo ni Utashi binafsi wa anayefanya Uteuzi,lakini mara nyingi seniority ina nafasi yake katika kufanya Uteuzi,hiyo inaondoa manung'uniko na kuchochea ufanisi!!!
 
Mkuu nimekugusa nini? why are you taking it personal?

Siyo personal kama unavyoona, ila ninajaribu kukumbusha kama mwanaJF mwenzangu kwani uwezo wako ukiimarika basi hapana shaka tutakuwa tunafanikiwa katika kupata suluhu ya matatizo ya watanzania walio wengi.

Niliweka hiyo posting yangu kama njia ya kukukumbusha juu ya mijadala mingi iliyokuwepo huko nyuma kwa mitazamo kama ambao umeuonesha. Almost mijadala yote iliyokuwa biased haikuleta tija zaidi ya malumbano na kupoteza mwelekeo.
 
Wana mtandao,
Wenzetu wa Ulaya wana kitu wanaita "The European Court of Human Rights" iliyopo Strasburg. Sasa kama kwenu hawa viongozi walioteuliwa na Rais wanakunyanyasa, basi ukifika hapo ni KIBOKO. Wengi hushindwa kesi kwao na ukifika hapa unashinda na kupata mahela. Labda ingelifanyika pia mahakama ya haki za binadamu ya East Africa.

Naunga mkono swala la Mawaziri na Wabunge na ..... wawe wanawekwa kiti moto na chombo fulani cha bunge kilichoundwa na Wapinzani kwa wingi. Wakiboronga basi na upinzani wamo kwa uzembe wake.
 
Wana mtandao,
Wenzetu wa Ulaya wana kitu wanaita "The European Court of Human Rights" iliyopo Strasburg. Sasa kama kwenu hawa viongozi walioteuliwa na Rais wanakunyanyasa, basi ukifika hapo ni KIBOKO. Wengi hushindwa kesi kwao na ukifika hapa unashinda na kupata mahela. Labda ingelifanyika pia mahakama ya haki za binadamu ya East Africa.

Nasi tuna kitu kinaitwa African Court on Human and Peoples' Rights na mako yake makuu yatahamia Arusha hivi karibuni. Pia tuna The East African Court of Justice ambayo nayo hukaa vikao vyake Arusha....

omarilyas
 
..........Pengine mimi ndio sielewi.......nilivyokuwa naelewa mimi ni kuwa......

Jaji Kiongozi ni Senior kwa J1, na J1 ni Senior kwa J2, na J2 ni Senior kwa J3, na kuendelea...........
Kwa hiyo lets say miaka miwiwli iliyopita huyu Fakihi alipoteuliwa mara ya kwanza alikuwa zaidi ya J15.........sasa Kateuliwa kuwa Jaji Kiongozi....i.e. JK.......ina maana kawaruka senior Judges wa Kanda nk!!!.......nilivyokuwa naelewa pia nin kuwa Judge Incharge wa Kanda/Kitengo e.g Biashara.........pia anaweza kuteuliwa kuingia Mahakama ya Rufaa

Vivyo hivyo kwa Mahakama ya Rufaa
Jaji Mkuu i.e. JM......chini yake wanafuatia JR1, JR2, JR3 na kuendelea

anyway uelewa wangu inaweza kuwa nilikuwa nje kabisa.........! naomba kuelimishwa.........

well said ...utaratibu wa majaji huwa wanaingia kwa seniority...kwanza kuchaguliwa lazima uwe seniour resdence magistratea au attorney au nafasi inatolingana na hiyo.....offcourse wote wana minimum law degree [LLB]....zamani private advocate walikuwa hawachaguliwi [kwa mazoea]...mkapa ndiye alianza kwa kumteua mmoja[yule aliyekuwa president wa tanaganyika law society]...mwanashria mzoefu...

siku hizi kikwete anateua wanasheria ambao wala hawana uzoefu au rekodi nzuri kwenye kazi..tena badala ya majaji wengi kutoka kwenye system ya mahakama anaaza kutoa wengi nje ya system...

jaji akishachaguliwa anapewa namba ya chini kabisa mfano sasa tuna J 50......kadiri majaji waliomtanguliwa wanapostaafu,kupanda vyeo [kwenda rufaa au uteuzi mwingine]....jaji aliyeanzia j 50 anajikuta naye anapanda ......kadiri namba inapokuwa ndogo naye anazidi kuwa senior judge...na wanaheshimiaana hivyo hivyo...

hata rais anapoteuwa majaji kwenda rufaa au kiongozi halazimishwi lakini ni busara ya kawaida kuteua at least judge katika rank ya j 1 hadi j 10 .....si kawaida waala busara kumteua j40 kuwa jaji kiongozi na kuwaruka seniors wake woote hao....pamoja na kuwa anao uwezo[maana katiba inasema atamteua jaji wa mahakama kuu kuwa jaji kiongozi au jaji wa rufaa...na atamteua jaji wa mahakama ya rufaa kuwa jaji mkuu]....alipoteuliwa jaji augustino alikuwa jR 1...MKAPA akampandisha kuwa JM.

utaratibu wa majaji hautofautiani na jeshini..pamoja na kuwa rais anaweza kumteua rank kuwanzia brigedia jenerali hadi luteni generali kuwa mkuu wa majeshi.....rais mwenye busara hawezi kumrusha brigedia jenerali kuwa CDF na kuwaruka LUTENI GENERAL NA major general......washauri wake wa usalama hawawezi kumuacha akafanya hivo ...kwani hawa wanaorukwa hubaki na fundo rohoni hata kama hwasemi...na hiyo haitakiwi...ina maaana umeonesha huwaamini hadi unaruka ranks ,,,na seniority ambayo kwenye any despline org including jeshi na mahakama ni muhimu sana!

sasa kama jk kateua junior judge kuwa JK NA KUWARUKA wengine ....si busara ya kawaida!!!....kuna majaji wamejaa kwenye J miaka 15 hadi kufikia j1 to j 10....HUWEZI KUMPANDISHA MTU ALIYEKAA J ...MIAKA HATA 2 HAIZIDI!!
 
Nilijua tu kuwa kuna wadau watauliza kuhusu suala la dinii jamani acheni hayo...tuangalie uwezo na utendaji kazi wake acheni mambo ya dini maana haitusaidii lolote....
 
Kama hatutaangalia uwezo, utendaji na elimu ya muhusika na tunaangalia DINI. Basi ukiridhika na DINI huenda bado haitatosha, utauliza ni DHEHEBU gani?, ni mkatoliki, mlutheri, shia, suni ama?
 
sasa kama jk kateua junior judge kuwa JK NA KUWARUKA wengine ....si busara ya kawaida!!!....kuna majaji wamejaa kwenye J miaka 15 hadi kufikia j1 to j 10....HUWEZI KUMPANDISHA MTU ALIYEKAA J ...MIAKA HATA 2 HAIZIDI!!

PM,

This is well explained. Kimsingi busara haikutumika. Implication yake kwenye vita dhidi ya ufisadi iko vipi? Naona harufu ya cheche. Moto kwa mbaliiiiii
 
utaratibu wa majaji hautofautiani na jeshini..pamoja na kuwa rais anaweza kumteua rank kuwanzia brigedia jenerali hadi luteni generali kuwa mkuu wa majeshi.....rais mwenye busara hawezi kumrusha brigedia jenerali kuwa CDF na kuwaruka LUTENI GENERAL NA major general......washauri wake wa usalama hawawezi kumuacha akafanya hivo ...kwani hawa wanaorukwa hubaki na fundo rohoni hata kama hwasemi...na hiyo haitakiwi...ina maaana umeonesha huwaamini hadi unaruka ranks ,,,na seniority ambayo kwenye any despline org including jeshi na mahakama ni muhimu sana!

Nadhani umri wa potential candidates pia unaweza kuinfluence decision ya Rais. Kwa mfano, kama mtu amebakiza mwaka mmoja kustaafu nadhani Rais anaweza kusita kumpa baadhi ya nyadhifa (for the sake of convenience!).
 
ina maana anamnyima haki yake au kile anachostahili kwa sababu ya umri wake? Kwanini basi asimuombe astaafu tu kuliko kumuacha aone jinsi anavyorukwa!?
 
Ndio, inatokea sana hasa kwenye 'majeshi' (polisi, magereza, jwtz nk). Nadhani pia ni lazima tukumbuke issue ya performance kwenye nyadhifa uliyopo. Kama mtu ana poor performance sidhani kama ni busara kumopandisha cheo kwa sababu tu ni senior! Hili lipo hata kwenye sector binafsi - mtu wa chini anaweza kupanda vyeo kuwazidi hata wale waliokuwa senior kwake kama anaonesha good performance.

Hata hivyo lazima nikiri kwamba sina information kuhusu performance ya huyo JK mpya na wala wale ambao inaonekana 'wameachwa'.
 
Mheshimiwa Ogah unavyofikiria ndio sahihi....Hata hawa Majaji wa Mahakama kuu wanapishana kutokana na seniority zao....wote mnaweza kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufaa lakini seniority ndio inamtambulisha nani Mkuu kuliko mwenzie.Masuala ya nani kuteuliwa nani huo ni Utashi binafsi wa anayefanya Uteuzi,lakini mara nyingi seniority ina nafasi yake katika kufanya Uteuzi,hiyo inaondoa manung'uniko na kuchochea ufanisi!!!

Napata taabu sana kufikiri ni kwa nini viongozi wa Tz wanafanya mambo ambayo machoni kwa watu, logic , na busara ya kawaida havitumiki huku wengine tukibaki midomo wazi. Ikiwa top leader anaweza kufanya hivi hao wengine si ndio balaa kabisa? Mashirika mengine ya umma na taasisi za umma kuteuliwa ni favour wala sio entitlement au haki ya kimsingi pale ambapo unastahili . Sitashangaa next time presida akamteua wife kuwa vise presida...no...Waziri Mkuu ...Yes . PM . Pinda watch out . Machozi .....bila shaka wife anaweza kulia zaidi...Just joking...
 
Nadhani umri wa potential candidates pia unaweza kuinfluence decision ya Rais. Kwa mfano, kama mtu amebakiza mwaka mmoja kustaafu nadhani Rais anaweza kusita kumpa baadhi ya nyadhifa (for the sake of convenience!).

..you have a good point ....lakini ni vigumu sana ...ukute majaji kuanzia J 1 hadi J hata 20 wote wako nearly off age...hadi umu elevate J30 au 40 kuwa JK....That is not fair in its totality....
kwaza its demoralizing the remaining ...staff....pia kwenye hizi kazi kama jaji mkuu unapo promote ....ni vema ukampa ukuu aliyebakiza miaka 10 kustaafu kuliko kumpa aliyebakiza miaka 20....kwakuwa vyeo kama hivi ni peak achievement in ones carrier mtu akitoka hapo anatakiwa aende kustaafu tu basi........sio mtu anatoka bado ana miaka 10 mbele ya kustaafu unaaza kujiuliza umuweke wapi na ni senior ..utajikuta huna pa kumuweka...what will you do next!!!
 
Back
Top Bottom