Jioni yako ikoje? Yangu imejaa tabasamu

Jioni yako ikoje? Yangu imejaa tabasamu

Unasema kweli 😆

Hakunaaa bana mie wa hivi sitaki
We kuweza stress deilee nooo

Enheeeee si ndiooo
Niunge ila sasa kakosa kila kitu six pack kiuno kama dondola
Ila sasa 😉 walau yaliyomo yawemooo🤭
Hana hivyo vigezo vya genz !!!!!! Pesa dada million kwake kama elfu kumi. Yaani silent killer kama smart vile
 
Kitu kimoja kizuri na cha kipekee kuhusu mwanadamu ni uwezo wa ustahimilivu...! Haijalishi siku imekuwaje au umekutana changamoto ni kubwa kiasi gani, kila unapolala na kuamka, unakuwa na nafasi mpya! ya kuanza upya! na kufanya vizuri zaidi...!!!

Je ulijua kuwa tabasamu pekee. . hata kama unalazimisha.... huwa linadanganya ubongo wako na kutoa homoni za furaha (endorphins) ambazo hupunguza msongo wa mawazo??

Hivyo, jaribu kutabasamu kidogo sasa hivi.. Tabasamu hilo linaweza kubadilisha hali yako ya jioni kabisa!

Tabasamu sasa... Mimi nimetabasamu😀View attachment 3580964
Wewe jamaa utaishi maisha marefu sana. Kwa sababu unaishi maisha halisi sana kama ilivyo kwa shemeji yangu Pascal Mayalla. Hamjawahi hata siku moja kufake life. 😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom