Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,425
- 35,982
Niko meno nje mana najua kwenye simu 300 kuna Mzazi wa mtu fulani kakutana nayo sio mchezo.
Wewe mzee sema wateja wamekuja sana leo kilingeni kwahiyo nyama ziko za kutosha pamoja na kibuyu kimejaa pesaKitu kimoja kizuri na cha kipekee kuhusu mwanadamu ni uwezo wa ustahimilivu...! Haijalishi siku imekuwaje au umekutana changamoto ni kubwa kiasi gani, kila unapolala na kuamka, unakuwa na nafasi mpya! ya kuanza upya! na kufanya vizuri zaidi...!!!
Je ulijua kuwa tabasamu pekee. . hata kama unalazimisha.... huwa linadanganya ubongo wako na kutoa homoni za furaha (endorphins) ambazo hupunguza msongo wa mawazo??
Hivyo, jaribu kutabasamu kidogo sasa hivi.. Tabasamu hilo linaweza kubadilisha hali yako ya jioni kabisa!
Tabasamu sasa... Mimi nimetabasamu😀
Nitakushauri kwa uwezo wangu pengine ukapona kipenzi iko hiviNakuwa busy kwa masaa mawili kati ya nane ya kazi
Ahsante sana Mkuu. NitajitahidiNitakushauri kwa uwezo wangu pengine ukapona kipenzi iko hivi
Kila kitu kinaanzia ndani yako mwenyewe akili yako inaaminisha ubongo wako kua huwezi kua mbali na simu yako kwamba kuna kitu uta miss
Kwahiyo sasa anza kushughulisha ubongo wako kwa vitu vingine ili uache kukalili jambo moja mda wote
Mf: toka njee ya office yako simu iache ndani kaa seheme ya utulivu na uangalie mazingira
Mfano watu wanavyo move kutoka eneo hili kwenda lingine
Au magari yanavyopishana
Kama kuna bustani ya maua angalia tembea tembea kidogo
Siku za weekend jumuika na hata mtu mmja piga nae story sio lazima ziwe story za kukuhusu
Inshallah utakaa sawa kila la kheri Mmasai wa mjini
Hapo kwenye kuliwa 😋Nakunywa zangu kili lager,,,
Kibaridi flani hivi huku kijijini!!!! Nasubiri kenge aje maana nilisha mjegesha vya kutosha. Kwa hiyo mi Nina Raha maana uhakika wa kula , kuliwa na kumwaga Tena.
Good evening
Safii👍Ahsante sana Mkuu. Nitajitahidi
Nipoo 😅Hapo kwenye kuliwa 😋
Huyo kenge hana rafiki yake unipasie kama mayele😁🏃♂️🏃♂️
Kwa hiyo mi Nina Raha maana uhakika wa kula , kuliwa na kumwaga Tena.💥🔥🔥🔥Nakunywa zangu kili lager,,,
Kibaridi flani hivi huku kijijini!!!! Nasubiri kenge aje maana nilisha mjegesha vya kutosha. Kwa hiyo mi Nina Raha maana uhakika wa kula , kuliwa na kumwaga Tena.
Good evening
We nimetoka kukushauri hapo juu hata hujapona bado lol😁🏃♂️🙌Nipoo 😅
Ukinipa itqnisaida kuwa busy na kukula badala ya internet😅We nimetoka kukushauri hapo juu hata hujapona bado lol😁🏃♂️🙌
Heh hebu tulia kwanza upone 😁Ukinipa itqnisaida kuwa busy na kukula badala ya internet😅
😅Heh hebu tulia kwanza upone 😁
Mgonjwa una kiranga 😆