Kenge mi nilimuokotaga hukuuuuu sanga mwalugeshi.Hapo kwenye kuliwa 😋
Huyo kenge hana rafiki yake unipasie kama mayele😁🏃♂️🏃♂️
Umepatia kabisaaaaa!!!!!!
😀😀😀Kenge mi nilimuokotaga hukuuuuu sanga mwalugeshi.
Nyie si mnataka six pack, virasta na afanane na mama yake na kiuno cha kukatika juuu ya meza!!!!!!!
Mi Nina connection na wafupi weusi na vitambi vya utapia mlo!!¡ Vipi nikuunge?
Msamehe bado hajachezwa wala hajavunjiwa ungo😀Kenge mi nilimuokotaga hukuuuuu sanga mwalugeshi.
Nyie si mnataka six pack, virasta na afanane na mama yake na kiuno cha kukatika juuu ya meza!!!!!!!
Mi Nina connection na wafupi weusi na vitambi vya utapia mlo!!¡ Vipi nikuunge?
Unasema kweli 😆Kenge mi nilimuokotaga hukuuuuu sanga mwalugeshi.
Hakunaaa bana mie wa hivi sitakiNyie si mnataka six pack, virasta na afanane na mama yake na kiuno cha kukatika juuu ya meza!!!!!!!
Enheeeee si ndioooMi Nina connection na wafupi weusi na vitambi vya utapia mlo!!¡ Vipi nikuunge?
Oohooo😂😂😂 nilikuwa nakuteteeaaa🤣🤣🤣Unasema kweli 😆
Hakunaaa bana mie wa hivi sitaki
We kuweza stress deilee nooo
Enheeeee si ndiooo
Niunge ila sasa kakosa kila kitu six pack kiuno kama dondola
Ila sasa 😉 walau yaliyomo yawemooo🤭
Nataka nionje kidogoMsamehe bado hajachezwa wala hajavunjiwa ungo😀
Nataka nikajioneeOohooo😂😂😂 nilikuwa nakuteteeaaa🤣🤣🤣
Kutabasamu: Huku ni kuonyesha furaha kwa kutanua mdomo kidogo bila kutoa sauti wala kuonyesha meno kwa kiasi kikubwa. Mara nyingi tabasamu huonekana kama ishara ya upole, amani, au ridhaa ya ndani.Sidhani kama kuna kutabasamu bila ya kuwa na sababu ya msingi.
Yani umekaa tu, hakuna kitu kilicho kufurahisha, mara unakenua?
Usinikate stim wewe mzee
Kiuhalisia, hakuna binadamu ambaye huwa anatabasamu pasipo kuwa na sababu ya aina yoyote ile ya kumfanya atabasamu.Kutabasamu: Huku ni kuonyesha furaha kwa kutanua mdomo kidogo bila kutoa sauti wala kuonyesha meno kwa kiasi kikubwa. Mara nyingi tabasamu huonekana kama ishara ya upole, amani, au ridhaa ya ndani.
Kukenua (au Kukenyua): Huku ni kucheka au kuonyesha furaha kwa kuachia mdomo wazi mpaka meno (wakati mwingine hadi magego) yaonekane. Neno hili mara nyingi hutumika kuelezea kitendo cha kuonyesha meno sana, na wakati mwingine linaweza kutumika kumaanisha kuonyesha meno kwa dhihaka au kulazimisha tabasamu (fake smile).
Kwa ufupi, kutabasamu ni kitendo cha siri na utulivu zaidi, wakati kukenua ni kitendo cha wazi kinachohusisha kuonyesha meno kwa wingi.
Pole kaka 😢Sijawahi fikwa na tabasamu wakati wote maana nawaza nikifa leo familia itaishije na bado sijajipata