Kwanini mkuu??Tafadhali usiniquote na kuniuliza juu ya hii mada
Unapata wapi muda wa kwenda bar?Hv Mnapata Wap Mda Wa Kwenda Gym Et
Huwezi jua pia wanaofanya mazoezi wanafanyia kazini!! who knows??
Huwezi jua pia wanaofanya mazoezi wanafanyia kazini!! who knows??
hii spartan push up nzuri sanaaSpartan push-ups itakusaidia kukigawa kifua. Pia misuli ya mikono. Lakini usisahau kufanya na mazoezi ya miguu na tumbo. Mwili unatakiwa uimarike sehemu zote.
nimecheka sanaweka ya six part maana hapa kitambi kinataka kunijia wakati nadaiwa wataona nawazarau kuota kitambi wakati wananidai
nakipakua nikioneI'm training with Home Workout and am getting great results.
Here are workouts for all your main muscle groups to help you build and tone muscles - no equipment needed. Challenge yourself!
Download the app:https://goo.gl/MxJRdb
Jamani kuna hii app ya mazoezi nimekikuta playstore iko vizuri sana kwa ajili ya home workout.