Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Kama yapi mkuu?
Ni kwa kutenga mazoezi ya kila sehemu na siku yake.

J3 - Kifua
J4 - Squats
J5 - Mabega
Alh - Mgongo
Iju - Kifua (Dumbbells tupu)
J1 - Squats
J2 - Jogging

Also notice kwamba kuna mazoezi ambayo ukifanya utakua na mwili uliotanuka juu (mabawa) mazoezi kama pull ups (kujivuta) kwenye bar au seated pull ups, pull over na military pull over hizi zitakutanua mbavu iwe isiwe. So in practical unaweza usitanuke juu kama hautafanya pull ups sana au usifanye kabisa.

Wengi wenye chicken legs hufanya mazoezi mawili tu. Kifua na mabega na hua wanajivuta furiously.

Inapofika siku ya squats inabidi udeal na mguu mzima, calves, hamstrings na mapaja siyo kufanya squats za mguu pekee.
 
Wewe unataka kutengeneza sijui ma- six packs upendwe na mademu..mi sipo huko. Mi nazungumzia kuwa physical fit. Watu wa gym wengi juu ni wakubwa chini wadogo. Mi sipo huko. Mi nipo kiafya zaidi
Alafu mtu kufanya mazoezi ya kukata mwili siyo kila mtu anafanya kwa ajili ya kupendwa na madem.
 
Back
Top Bottom