MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,496
- 8,731
Siku hizi watu wengi sana wanakomaa na Gym kwamba wananaenda kuweka mwili sawa, wanaenda kutengeneza mwili ikae sawa kiafya, wengine ni johing kila asubuhi wengine weekend.
Kitu wasichokijua ni kwamba Afya yako iko jikoni na sio kokote kule na wala sio hospitali pia. Chakula unachokula Daily kina-play asilimia kubwa sana ya Afya yako. Hizi Gym na mambo ya kizungu tu danganya toto, huwezi kuwa unaenda Gym ukitoka huko unaenfa fakamia junkfood, full wanga Daily then utegemee kuwa sawa kimwili na kiafya.
Linapokuja suala la afya Chakuka ni kitu muhimu mno, kuna usemi unasema usipokula chakula kama dawa sasa, jiandae kuja kula dawa kama chakula.
Unakuta mtu anafanya Joging na chupa ya soda, mwingine akitoka hapo anapiga kwanza Azam energy moja, mwingine anaenda fakamia junk food, hizi ni maigizo na hadaa, kuna jamaa yangu kila siku anaenda gym na chupa moja ya azam energy, niliwahi mwambia hakuna unacho kifanya hapo kwenye suala la afya.