Mwanamke akitaka kuchepuka hauwezi mzuia tambua yule ni mtu mzima ana meno 32 kama wewe , hakuna haja ya kumnyimanyima vitu kwa hofu ya kuchepuka kama mtoto .
Anaweza chapwa humo humo ndani ukitoka , haya mahofu ya kuchapiwa ndio maana hayo mandoa yenu hayadumu .
Wazee wazamani walijua kuchapiwa kupo ,ndio maana wakikaribia na nyumbani walitumia hekima yakupiga mluzi ili kama kuna tofauti waweke mambo sawa maisha yaendelee .
Vijana wa sasa mnaoingia kwenye ndoa hawana wala hawawezi kuwa na hekima ya hivi ndio maana ndoa zimegeuka ndoano.