Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 618
- 929
Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni kuwafanya watu wasiwe huru bali wawe watumwa ili wasimfikirie Muumba wao.
So wana vitendea kazi ama Task forces ambazo ni wanasiasa, Vyombo vya Habari vya Dunia, wataalamu wa Afya, Majeshi, Na viongozi wa Dini.
So kuna levels za utendaji, na zimekaa kama pyramis. Wale wa juu ndio hujua siri zote. Ila hawa Workers na wakuu wa idara mbalimbali wengi hawajui.
Na ili upate cheo ni mpka wahakikishe hutaharibu wala kuvuruga mipango yao. Na hii mikakati ni ya Mamia ya miaka. Nyuma ya hapa tulipo na mbeleni.
So pamoja na vikao, makongamano, sera, mijadala, mikutano, semina na warsha mbalimbali Nakuhakiikishia hakuna siku Dunia itakuwa mahali salama na njema kama paradiso.
Utulivu unamaanisha watu kujielewa na kumwelekea aliyewaumba kitu ambacho ni Tusi la nguoni kwa hao miungu watu na mabosi wao.
Tafakarini sana juu ya hayo.