Great!hiyo bei inahusu kila kitu hadi kuishika simu mkononi?Habari ndugu BANGO JEUPE
Hii itakufaa
Xiaomi Redmi Note 7
- Size: 4GB 64GB
- Cameras 48MP ( Hii camera itakidhi sana mahitaji ya kazi zako, iwe ni picha ya kawaida au video )
- Screen size: 6.3'' Water Drop FHD+
- Battery: C 4.0 4000
BEI - Chagua kati ya 4GB na 6GB ram
- 6GB/ 64GB = TZS 603,000
- 4GB/ 64GB = TZS 557,172
Picha
View attachment 1030088
VIDEO
TARATIBU ZA KUWEKA ORDER
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
MUDA: Wiki Tatu (3) mzigo unakufikia
KARIBU
Sahihi,Great!hiyo bei inahusu kila kitu hadi kuishika simu mkononi?
Shukrani sana ndugu hiyo NOTE 7 umeniweza mzee hapo kwenye kamera sitaikosa hii najipanga nikustue nivute mojaHabari ndugu BANGO JEUPE
Hii itakufaa
Xiaomi Redmi Note 7
- Size: 4GB 64GB
- Cameras 48MP ( Hii camera itakidhi sana mahitaji ya kazi zako, iwe ni picha ya kawaida au video )
- Screen size: 6.3'' Water Drop FHD+
- Battery: C 4.0 4000
BEI - Chagua kati ya 4GB na 6GB ram
- 6GB/ 64GB = TZS 603,000
- 4GB/ 64GB = TZS 557,172
Picha
View attachment 1030088
VIDEO
TARATIBU ZA KUWEKA ORDER
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
MUDA: Wiki Tatu (3) mzigo unakufikia
KARIBU
Pitia hapaMm bado nahitaji ufafanuzi kwenye pay pal.. Maana inahitajika kuwapa taarifa za account yangu...hivyo wanaweza kutoa pesa wakati wowote bila mm kujua .. Kitu ambacho ni hatari.. Hapo inakuwaje jamani?
Sahihi kabisa.tv au subwoofer kuna uwezekano wa TRA kudai kodi baada ya bidhaa kufika nchini?
mkuu kodi ni kama TSH ngapi kama nikinunua tv ya 700,000?Sahihi kabisa.
Unalipia kodi na tozo zingine zinazotakiwa.
Je unanunuliwa wapi?mkuu kodi ni kama TSH ngapi kama nikinunua tv ya 700,000?
Ebay, ila itakuwa ni vyema kama unipa na ushauri wapi ninunulie ambako patanipa unafuu wa kodi na mambo mengine ya tozoJe unanunuliwa wapi?
Nunua hapa nchini.wapi ninunulie ambako patanipa unafuu wa kodi na mambo mengine ya tozo
Ahsante sana kwa msaada wako anko.Nunua hapa nchini.
Zinapatikana
Kuagiza TV nje ya nchi hadi inakufikia ghalama huwa ni mara tatu ya ghalama halisi iwapo kama utanunua hapa nchini.
Kwenye biashara hakuna Hasara.Je wanauza kwa hasara?
Swali zuri!Sasa mwalimu kama hapa nchini bei ni mara 3 wao wanazipataje..?
Ingia hapa kufuatilia zaidi: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Ur are truely the teacher hongera penda sana wwKwenye biashara hakuna Hasara.
Swali zuri!
Iko hivi Wafanya biashara wakubwa
1. Huaguza mzigo mkubwa toka kiwandani, na Hununua kwa bei ya jumla jumla, huwa iko chini zaidi kutokana na ukubwa wa mzigo.
2. Njia ya Usafirishaji - Wafanya biashara wakubwa hutumia MELI , Iwapo mzigo unakuja kwa maji na ni container kadhaa au hutumia Air Cargo iwapo mzigo sio mkubwa sana, Ambapo ghalama za kusafirisha huwa chini na hupimwa kwa CMB
Hivyo kwa wao wafanya biashara kwa ile bei anayouza tayari ana faida, hapo baada ya kutoa ghalama zake zote (Manunuzi + kusafirisha + kodi )
Tukija kwako iwapo utaagiza bidhaa yenye uzito mkubwa kama TV
- Utasafirishiwa kwa njia ya express: Hapo kampuni kama DHL, UPS , ARAMEX zitahusika, ghalama ya kusafirisha kilo moja Tu huwa ni kati ya USD 27 hadi 48, Piga hesabu kwa TV ina uzito wa kiasi gani.
- Mzigo ukifika nchini - Unatakiwa ulipie KODI / VAT
- Utatakiwa ulipie agent fee (Wakati wa clearance) na charges zingine zitakazojitokeza
Hivyo ukijumlisha MANUNUZI (Kwa bei ya reja reja ) + USAFIRSHAJI + KODI + AGENT FEE utajikuta ghalama inakuwa mara mbili au tatu ya ghalama ya manunuzi kama ungennua nchini.
Soma maelezo ya mteja wangu hapa chini, Aliagiza TV toka USA
Ingia hapa kufuatilia zaidi: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Shukrani sana teacher.. Nina swali maswali mengine..that I will really appriciate you enlighten me..Kwenye biashara hakuna Hasara.
Swali zuri!
Iko hivi Wafanya biashara wakubwa
1. Huaguza mzigo mkubwa toka kiwandani, na Hununua kwa bei ya jumla jumla, huwa iko chini zaidi kutokana na ukubwa wa mzigo.
2. Njia ya Usafirishaji - Wafanya biashara wakubwa hutumia MELI , Iwapo mzigo unakuja kwa maji na ni container kadhaa au hutumia Air Cargo iwapo mzigo sio mkubwa sana, Ambapo ghalama za kusafirisha huwa chini na hupimwa kwa CMB
Hivyo kwa wao wafanya biashara kwa ile bei anayouza tayari ana faida, hapo baada ya kutoa ghalama zake zote (Manunuzi + kusafirisha + kodi )
Tukija kwako iwapo utaagiza bidhaa yenye uzito mkubwa kama TV
- Utasafirishiwa kwa njia ya express: Hapo kampuni kama DHL, UPS , ARAMEX zitahusika, ghalama ya kusafirisha kilo moja Tu huwa ni kati ya USD 27 hadi 48, Piga hesabu kwa TV ina uzito wa kiasi gani.
- Mzigo ukifika nchini - Unatakiwa ulipie KODI / VAT
- Utatakiwa ulipie agent fee (Wakati wa clearance) na charges zingine zitakazojitokeza
Hivyo ukijumlisha MANUNUZI (Kwa bei ya reja reja ) + USAFIRSHAJI + KODI + AGENT FEE utajikuta ghalama inakuwa mara mbili au tatu ya ghalama ya manunuzi kama ungennua nchini.
Soma maelezo ya mteja wangu hapa chini, Aliagiza TV toka USA
Ingia hapa kufuatilia zaidi: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Shipping options1. Je kuna tofaut gani kati ya aliexpress na alibaba.com in terms of shipping options to their customers..?
- Moja ya site hizi zitafaa2. Na kama nataka kununua bidhaa in bulk for business purposes should I go for alibaba or there are other options you might recommend?
Hapana3. And I have seen some products in alibaba that are in free shipping, does it means they covered everything TRA inclusive..?
Mkuu Mwl.RCT: mambo yakiwa sawa kesho mapema naenda kutoa hela bank sitaki kusubiri nahitaji hiyo XIAOMI redmi note 7 ya 6GB RAM /64GBHabari ndugu BANGO JEUPE