Habari ndugu BANGO JEUPE

Hii itakufaa

Xiaomi Redmi Note 7
- Size: 4GB 64GB
- Cameras 48MP ( Hii camera itakidhi sana mahitaji ya kazi zako, iwe ni picha ya kawaida au video )
- Screen size: 6.3'' Water Drop FHD+
- Battery: C 4.0 4000

BEI - Chagua kati ya 4GB na 6GB ram
- 6GB/ 64GB = TZS 603,000
- 4GB/ 64GB = TZS 557,172

Picha
View attachment 1030088

VIDEO

TARATIBU ZA KUWEKA ORDER
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

MUDA: Wiki Tatu (3) mzigo unakufikia

KARIBU

Great!hiyo bei inahusu kila kitu hadi kuishika simu mkononi?
 
Habari ndugu BANGO JEUPE

Hii itakufaa

Xiaomi Redmi Note 7
- Size: 4GB 64GB
- Cameras 48MP ( Hii camera itakidhi sana mahitaji ya kazi zako, iwe ni picha ya kawaida au video )
- Screen size: 6.3'' Water Drop FHD+
- Battery: C 4.0 4000

BEI - Chagua kati ya 4GB na 6GB ram
- 6GB/ 64GB = TZS 603,000
- 4GB/ 64GB = TZS 557,172

Picha
View attachment 1030088

VIDEO

TARATIBU ZA KUWEKA ORDER
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

MUDA: Wiki Tatu (3) mzigo unakufikia

KARIBU
Shukrani sana ndugu hiyo NOTE 7 umeniweza mzee hapo kwenye kamera sitaikosa hii najipanga nikustue nivute moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm bado nahitaji ufafanuzi kwenye pay pal.. Maana inahitajika kuwapa taarifa za account yangu...hivyo wanaweza kutoa pesa wakati wowote bila mm kujua .. Kitu ambacho ni hatari.. Hapo inakuwaje jamani?
 
wakuu nikinunua tv au subwoofer kuna uwezekano wa TRA kudai kodi baada ya bidhaa kufika nchini?
 
wapi ninunulie ambako patanipa unafuu wa kodi na mambo mengine ya tozo
Nunua hapa nchini.
Zinapatikana
Kuagiza TV nje ya nchi hadi inakufikia ghalama huwa ni mara tatu ya ghalama halisi iwapo kama utanunua hapa nchini.
 
Mafundi Bei nafuu
 
Attachments

  • TANGAZO.jpg
    TANGAZO.jpg
    82 KB · Views: 69
Je wanauza kwa hasara?
Kwenye biashara hakuna Hasara.
Sasa mwalimu kama hapa nchini bei ni mara 3 wao wanazipataje..?
Swali zuri!

Iko hivi Wafanya biashara wakubwa
1. Huaguza mzigo mkubwa toka kiwandani, na Hununua kwa bei ya jumla jumla, huwa iko chini zaidi kutokana na ukubwa wa mzigo.

2. Njia ya Usafirishaji - Wafanya biashara wakubwa hutumia MELI , Iwapo mzigo unakuja kwa maji na ni container kadhaa au hutumia Air Cargo iwapo mzigo sio mkubwa sana, Ambapo ghalama za kusafirisha huwa chini na hupimwa kwa CMB
Hivyo kwa wao wafanya biashara kwa ile bei anayouza tayari ana faida, hapo baada ya kutoa ghalama zake zote (Manunuzi + kusafirisha + kodi )

Tukija kwako iwapo utaagiza bidhaa yenye uzito mkubwa kama TV
- Utasafirishiwa kwa njia ya express: Hapo kampuni kama DHL, UPS , ARAMEX zitahusika, ghalama ya kusafirisha kilo moja Tu huwa ni kati ya USD 27 hadi 48, Piga hesabu kwa TV ina uzito wa kiasi gani.
- Mzigo ukifika nchini - Unatakiwa ulipie KODI / VAT
- Utatakiwa ulipie agent fee (Wakati wa clearance) na charges zingine zitakazojitokeza

Hivyo ukijumlisha MANUNUZI (Kwa bei ya reja reja ) + USAFIRSHAJI + KODI + AGENT FEE utajikuta ghalama inakuwa mara mbili au tatu ya ghalama ya manunuzi kama ungennua nchini.

Soma maelezo ya mteja wangu hapa chini, Aliagiza TV toka USA
Ingia hapa kufuatilia zaidi: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
 
Ur are truely the teacher hongera penda sana ww

Shukrani sana teacher.. Nina swali maswali mengine..that I will really appriciate you enlighten me..

1. Je kuna tofaut gani kati ya aliexpress na alibaba.com in terms of shipping options to their customers..?
2. Na kama nataka kununua bidhaa in bulk for business purposes should I go for alibaba or there are other options you might recommend?
3. And I have seen some products in alibaba that are in free shipping, does it means they covered everything TRA inclusive..?

Kindly Regards,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Je kuna tofaut gani kati ya aliexpress na alibaba.com in terms of shipping options to their customers..?
Shipping options
- Alibaba - Huwa ni makubaliano katia ya muuzaji na mnunuzi juu ya njia ipi itumike, kwa kutegemea ukubwa wa mzigo.
- Aliexpress - Utachagua njia ya usafirishaji iliyowekwa kwenye item husika, kuna njia za haraka ghalama huwa ni kubwa na kuna njia za posta ghalama huwa ni ndogo ila huchukua muda mrefu kwa bidhaa kukufikia.
2. Na kama nataka kununua bidhaa in bulk for business purposes should I go for alibaba or there are other options you might recommend?
- Moja ya site hizi zitafaa
Alibaba
dhgate
made-in-china
3. And I have seen some products in alibaba that are in free shipping, does it means they covered everything TRA inclusive..?
Hapana
- Mzigo ukifika nchini lazima ufuate taratibu za ushuru wa forodha na utalipia kodi/ vat kulingana na mzigo wako
- Bila kujali ni free shipping.
- Pia dhana ya free shipping iko hivi mfano tuangalie hii bidhaa "A"
Manunuzi ya bidhaa ni US $100
Kusafirisha hiyo bidhaa ni US $15

Kwenye tangazo ili kumvutia mteja nitaandika hivi "Nunua bidhaa A kwa US $115 na usafirishiwe bure (Free Shipping )"
Tambua kuwa kibiashara kila kitu tayari kimefanyiwa hesabu, hivyo pindi ufanyapo manunuzi angalia ubora wa bidhaa husika na sio kuangalia kama ni freeshipping au la.

Karibu
 
Habari ndugu BANGO JEUPE

Hii itakufaa

Xiaomi Redmi Note 7
- Size: 4GB 64GB
- Cameras 48MP ( Hii camera itakidhi sana mahitaji ya kazi zako, iwe ni picha ya kawaida au video )
- Screen size: 6.3'' Water Drop FHD+
- Battery: C 4.0 4000

BEI - Chagua kati ya 4GB na 6GB ram
- 6GB/ 64GB = TZS 603,000
- 4GB/ 64GB = TZS 557,172

Picha
View attachment 1030088

VIDEO

TARATIBU ZA KUWEKA ORDER
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

MUDA: Wiki Tatu (3) mzigo unakufikia

KARIBU
Mkuu Mwl.RCT: mambo yakiwa sawa kesho mapema naenda kutoa hela bank sitaki kusubiri nahitaji hiyo XIAOMI redmi note 7 ya 6GB RAM /64GB
Nipe muongozo natoa yote 60,3000 TZS AU natanguliza kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
129 Reactions
Reply
Back
Top Bottom