The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,843
- 3,259
Umekosea kumaliza mkuu kama ghost Rider.Nikianza ku imagine kwa circumstances ya tukio naona kama hata mchizi kafa kizembe
Yani demu anawasha moto we uko ndani baada ya ku fight utoke unaanza kumuomba afungue mlango?
Hapo ningekua mimi vyombo vya habari headlines zingeandika the return of koyla.
Yani ningepita na mlango huku nawaka kama sharukan