Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Unajua Dada Jestina... Nina muda mchache kukaa hapa lakini nina machache ya kukueleza

Kwanza, inatakiwa tujue sababu ya hao wanaume ku-cheat na kuwa na nyumba ndogo... kumbuka hata women nao wana cheat na wana ile list aliyoipanga Bujibuji...

Inawezekana ni nature na pia inawezekana kuna kitu kimemsukuma kwenda huko

Vile vile kwa hizi nyumba ndogo, hazianzi ghafla kwamba jumba dogo hilo limeota hewani... lazima limeanzia mahali...

NN alisema 99% ya wanaume wanacheat, na wanacheat na nani??, either mdada, mke wa mtu au mtoto wa mtu, ile degree ya mapenzi yao ndo inaenda mpaka kufikia nyumba ndogo...

sasa mamito... kama vile sababu za wanaume ku-cheat zinavyotofautiana, ndio hivyo sababu za wadada kutembea na wanaume waliooa pia inatofautiana. Kama umepitia some points huko nyuma utakuwa umeziona...

sasa kama wewe ni ile 0.02% aliosema NN, hebu waambie wenzako namna ya kupinga infidelity na u-nyumba ndogo... hii issue ni kama jukwaa la siasa, wataongea na fake promises wakitoka wanaenda kujipooza kwa nyumba ndogo

Halafu kumbuka kwamba hivi vitu vinafanyika kwa vitendo zaidi na si maneno..., wanaokuwa wanapinga ndio wanaongoza kwa vitendo

hapo umeongea lipoint Darlingtone,mfano mahsusi ni mimi Bishanga Abashaija,pamoja na kelele zote sina kimada wala hawara,umeona sasa?
 
hapo umeongea lipoint Darlingtone,mfano mahsusi ni mimi Bishanga Abashaija,pamoja na kelele zote sina kimada wala hawara,umeona sasa?
Si ndo maana jana nikawaambia huu mjadala wanaupeleka kiubishani wakati wanatakiwa kuupeleka kiuhalisia. Mie skushangazwa kabisa na ule muibuko wa wanajeshi wapya leo kwenye hii sredi. hehehhe halaf wamekuja kumwaga dozi na kulog out. Hawakuimba tarabu kabisa yaani!
Dah! hii sredi leo ndo imenifanya nijue kwanini Gaddafi aliweka mabodyguard wanawake. khaaa!
 
Du weee sema sema nyumba ndogo kwa raaha zako bana... Najua moyon unataman uwekwe ndan kimoko.. Stress hutaki wataka vya kunyonga 2. Haya bana ila hi nimeipenda sana wangu bora umesema yaliyokugusa.
Aibu ya nini? kwani hao wanaume wanaosemwa kuwa na nyumba ndogo hao nyumba ndogo/hawara ni wanaume wenzao? si wanawake. Watu tunawona huku makazini wana waume zao na ni mahawara ije kuwa mie nisie na mume?

Nimeona hapo chini umesema bado hujaoa, nyie msiooa ndio nuksi kabisa na hovyo wasumbufu hamna mfano utasikia mwingine anajinadi kabisa wanaume ambao hatujaoa tuko wachache inabidi tunyenyekewe. Nani anataka kusumbuliwa? kazini nisumbuliwe na mikazi bado nije kwako na wewe unisumbue halafu wabahili kama nini wanaume wasiooa kazi yao kutaka kulelewa tu.

Shida gani nitaendelea kuwa nyumba ndogo wala sioni aibu, mradi nina kazi yangu naweza endesha maisha mwenyewe sina mpango wa kusumbuliwa na kidume kisa nataka anioe.
 
kuna umuhimu mwaka ukiisha kuwe na thread of the year award....
na most interesting mchangiaji award na zingine...lol
Sio tu kutoa zawadi kwa the most interesting thread and most mchangiaji..
Nadhani pia kwa Uchangiaji huu inaashiria 'nyumba ndogo' (infedelity) ni 'sensitive issue' kwenye hii jamii..
Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba mjadala wenyewe umekuwa 'gender skewed'...
 
Sizitaki mbichi hizi. No one will trust kuwa kuna mwanamke ana prefer kuwa the other woman; wamekosa wakukubali kuwa commited kwao.
Du weee sema sema nyumba ndogo kwa raaha zako bana... Najua moyon unataman uwekwe ndan kimoko.. Stress hutaki wataka vya kunyonga 2. Haya bana ila hi nimeipenda sana wangu bora umesema yaliyokugusa.
 
kwenye:

namba 1...sina coment

namba 2....hujui unachokisema na kutetea.


Hapa wewe ndo hujui maana kila nisemalo najua ni nini naamaanisha hivo kwamba niseme mimi maana utoe wewe... Sijakupata... Labda urudie...

namba3.....umewahi kuwa nyumba ndogo hadi ujue qualification zake?......

C'mon don't tell me you are so THICK kiasi kwamba kila ujualo lazima ulipitie kwanza.... Mtu anaeelewa sifa za shoga kwani nae lazima awe shoga??

namba4...kama uliachana na mme wako wa kwanza kwa sabau ya hit and run na huyu wa sasa unasema anapenda sex naunaongeza kuwa ni lazima awe amelala na mwanamke huko aliko huoni kuwa unajichanganya tu na kama ndivyo ilivyo kwa nini usiachane nae maana kuvumilia hawez..na wewe hupendi hit and run

Soma vigezo maelezo yangu hapo chini.... (Hii topic imekua maarufu nime copy na kupaste uzi mwingine huko kwa mtu wa sampuli yako); Kama hujaelewa utanyosha mkono....

Ubishani mkubwa ulitokea kushindwa eleweka na Ngabu na Masaki among others... I kno for a fact umesoma the whole thread hivo itakua rahisi... Gaijin kuna cheating... Nyumba ndogo is one of the form... I can not stand nyumba ndogo... But kama mme wangu ni worth it i can stand it if he has cheated (isiwe ni nyumba ndogo wala isijirudie; yaan mayb for the 2nd time).. Hio ndo tofauti... Maamuzi sio absolute... Inategemea a lot of underlying factors... If u stil don't get it plz tell...

namba 5... ulitakiwa kusema ni PERFECT tatizo lako liko hapa ''However hasira inakuja pale tu ambapo anakuja brag mbele yangu kua yeye ni nyumba ndogo... otherwise asiponifuata; sina shida nae.....


Tatizo limekuja hapo sababu sio mulewa mkuu... ama tu hutaki kunielewa... sijui kwanini umeenganisha points mbili zinazojitegemea... Sijakupata...
 
Hongereni kwa challenges na mapointi ya kutosha
jambo moja tusisahau, nyumba ndogo ni kuikosea nyumba kubwa adabu na heshima
sasa sijui Mungu analingaliaje hili tu halikubaliki machoni pa mwanadamu
naamini kuwa ukweli utaendelea kuitwa ukweli hata kama tutaupinga kwa namana yoyote ile
 
Jaman mamkubwa huyu Sara kasema yeye hataki presha hivo kasema ataendelea kuwa small house, huwez jua wengine wanafanya hayo kwa sababu labda umri umewatupa, au ni tabia zao za kupenda uhuru usiona mipaka, tena kumbuka si wanawake wote wakuolewa na hao ni wengi so kazi yao kuharibu aman za wengine! Watu tunaongea kwa kuyashabikia haya huku tukidhani ni fahari bila kujua wala kutathimin madhara makubwa yanayotokea kwenye familia
Sizitaki mbichi hizi. No one will trust kuwa kuna mwanamke ana prefer kuwa the other woman; wamekosa wakukubali kuwa commited kwao.
 
kwanza nikuombe radhi kama nimekukwaza,
pili nikwambie kwamba nimekuelewa sana,
tatu nakuweka kiporo kuna siku nitakueleza kitu maana kimeniuma.


Bishanga of course nimekwazika... hivo nimeipokea.... Hio piili yako ndo inanifanya nikwazike sababu najua fika UMENIELEWA ila raha yako lies in the fact kua it rattles us ladies... Hicho kiporo Bishanga hakuna haja dear... maana usishangae kua imekuuma.... IMAGINE mie ni mke wa mtu... ambae najua cheating ipo... hio haitoshi nyie ambae ni waume zetu mko kupongeza akina dada ambao hua mnajivinjari nao huko na kutukandamiza na kututreat as USELESS... Wee na mimi nani roho INAMUUMA ZAIDI?? Mkuki kwa nguruwe eeeh??
 
Asha mimi nimekuelewa saaana. Watu wanachukulia cheating ni cheating ila kuna tofauti kati ya one night stand na nyumba ndogo.

Hakuna mwanamke anayeweza kujiaminisha kuwa mume wake hajawahi kupiga one night stand.

Mimi pia niko far away najua fika my hubby atakuwa anapiga one night stand; ila naishi kwa amani saana maana sitaweza jua wala kuzuia kwani niko mbali.

Nachopigania ni nafasi yangu kwenye moyo wa mume wangu; as long as I feel am number one I will LOVE and cherish my hubby no matter what.

Ndio maana nikasema mara mia mwanaume achukue changu doa kuliko nyumba ndogo kwa kuwa nyumba ndogo ana nia ya kuiba penzi na si sex tu. Tatizo la nyumba ndogo ni permanence; have never experienced that; mume wangu hajawahi kutia nanga kwa mwanamke sijuhi kumpangia sijuhi nini; akifanya hivyo ndio utakuwa mwisho wa ndoa yetu.

Wale mlo nje ya ndoa au wenye ndoa changa hamtakaa muelewe mimi na Asha tunaongea nini. These things need experience, kama hujawahi experience ni ngumu kukubali; utakuwa too ideological.

Nilikuwa na mtazamo mgando kuliko wachangiaji wote in my first 5 years ya ndoa yangu.



Nyumba Kubwa.... THANK YOU For coming dear... inakua as if JF tumeolewa Wanawake wawili or watatu tu... SAD...
 
Kwa hiyo wewe huna wivu. Now I understand the qualities za nyumba ndogo. Mimi nina wivu mbaya siwezi kuwa small house.


Atakua na luxury ya kuwa na wivu hali anafanya kwa wizi.... Alafu kasema she is a perfect nyumba ndogo... That means she shrinks...
 
Back
Top Bottom