Naanza na sentensi yako ya mwisho... Muwe na huruma na muwe waelewa pia... Naona Bishanga, Klorokwin, EMT mnajaribu kui-rub ina... na NAKEREKWA SAANA na mtu ananiuliza then anaishingia njiani kunijibu.... Mfano Bishanga ambae yupo full soga hapa na kufurahia the Likes of Sarafina na Darling tone....
Naona umenisoma... ila nahisi kabisa umenisoma vibaya kwa sababu zifuatazo....
- Niliachana na mume wangu kwa sababu ya infedility.... na nikagundua kwa mpigo kua na mtaalam wa "hit and run" lakini sio nyumba ndogo...
- Nina hasira na wababa ambao wanajenga nyumba ndogo... sina hasira na mwanamke mwenyewe... However hasira inakuja pale tu ambapo anakuja brag mbele yangu kua yeye ni nyumba ndogo... otherwise asiponifuata; sina shida nae...
- Nasema nyie watu hamjui qualifications za nyumba ndogo mnabisha.... Ni uzi mrefu nitaanda speacial kabisa kwa ajili ya akina Darling tone na sarafina naona nawee umeongezeka katika list....
- Mimi sio mjinga wala sio naivu... mwanaume wangu ni lijali hasa... For instance niko nae mbali kitambo saana... Hivo the way namjua kua anapenda sex... I know kua lazima kisha lala na mwanamke mwingine huko... for ipo katika nature kua naweza vumilia hawezi... Ila aikiwepo hapa na afanye hivo aone mziki wake.
- Nimesema almost perfect... ulitaka niseme ni perfect kwako au katika macho ya jamii?? Ananiridhisha kwa sex... Ananisimamia kwa kila jambo... He is there for me... Ni good dad hata kwa watoto ambao sijazaa nao kwake... He is almost perfect.... I REPEAT Almost perfect... Kama ananicheat na kanicheat kwa brains sijaona... then be it... siwezi sema he is not perfect sababu tu najua aweza toka... kwanini nijiweke pressure juu niache kujipa raha???
- Mume wangu wa kwanza alichokua anataka nje ya ndoa yetu ni a lay with varieties... ni moja wa wale wanaume daima hataridhika na mwanamke mmoja... Na naamini sio kwamba nilikua na tatizo mim (for asingekua anataka turudiane wala kunisumbua anavonisumbua as much as i am married again....
Hakikisha umenielewa ndo unijibu...