Roulette nimeona niweke na post uloni quote.... Swala sio kwamba ni Msimamo wangu.... Bali ndio the reality... Sijasema na support but sincerely believe in looking into facts and facing the facts... Na hilo naona ndipo ninapo wachanganya baadhi ya Members kama akina Ngabu na Masaki... Hawaelewi.
Kumbuka kwamba tunapozungumza nyumba ndogo tunazungumzia mwanaume kumhalalaisha kimada awe na haki zoote kwake with an exception in most cases ya kujulikana (yaani siri) hapo mimi nipo na wewe kua sio lazima na kwamba ina epukika kabisa!!!
However linapokuja
swala la infidelity hapo sasa kweli kabisa siwezi sema inaepukika hali nikijua kabisa kua pamoja na kusema twataka saaana iwe hivo na morals ina support hilo basi tu niseme inaepukika (huku wishing kua kweli itokee).... Kumbuka kua Infidelity yaweza kua in different forms... Hizo different forms nashauri uzi observe and then useme ile frankly kabisa iikitoka deep within you kua yaepukika.....
FORMS OF INFIDELITY
A]. "
Hit and Run"
- Kuna hit and Run ambayo mwanaume hufanya once/once in a while... inaweza kua months... year (s); in short after some time.... Hio mara nyingi husababishwa na environment ama circumtances... yaani hutokea pale ambapo hata mwanaume alofanya hivo hakutegemea kua atafanya hivo... i.e pombe... mazingira... situations (labda kakaa mda mrefu mbali na mkewe/mumewe) and the Like... Such a man akijikuta kafanya hivo basi harudi tena hapo mahala...
- Kuna Hit and Run ambayo mwanaume huyo hufanya frequently.... kwamba hii ni tabia yake na haridhiki na mwanamke mmoja whether anampenda mkewe ama lah! Huyu mwanaume ni hodari wa kutongoza.. this type kalala na secretary wake... mtoto wa jirani.... Binamu yakea.. Rafikiyo.. bar maids... house gal wako... n.k
B].
Nyumba ndogo
- Kuna yule ambae ni hatari kwa afya ya familia yenu wee na mumeo... Huyu ni mwaribufu..... Kama mumeo ni weak waweza mpoteza kirahisi.... Kama mumeo ni mwerevu ndo wale ambao humpa kabisa maelekezo kwa MSISITIZO kua "don't ever touch my wife" Sasa this type of Man ndo hufuata Ule mwongozo ambao alitoa The BOSS....
- Kuna yule ambae ni numba ndogo wa kudimba... kua mumeo ndio anahudumia... lakini anahudumia kama vile kushikilia pasiponyoke na kua ni kipozeo hasa ikitokea kua wife hatakua availble... au tu labda uko karibu na kazini kwake hivo akishikwa na ngunge anakuja kwakko... ama tu sababu kajisikia... au labda kweli kuna forces zimemsukuma...
C].
Hawara... Huyu ni mke wa mtu... akitumika siku moja basi katumika kama "Hit and Run" (na hizi ni maarufu saana).... Na kama watakua wanajivinjari kila wakikutana then sasa anaqualify kuitwa hawara....
Kwa Mktadha huo hapo juu Roulette...
Cheating is a bad thing... MY BELIEF drawing from the reality is... Nyumba ndogo inaepukika BUT i
nfidelity twaweza sema yaepukika kwa vigezo hivi hapa chini....
- Pale tu ambapo Wewe unaesema upo katika ndoa na atleast umeolewa ama Kuoa kwa mda ambao atlteast not less than twenty years.. na uwe kweli una hakika kua mwenzio hajawahi toka (which is almost impossible to know)
- Pale tu ambapo una hakika uwezi toka nje ya ndoa na hujawahi na kwamba your partner is sexually dysfuntional....
- Pale tu ambapo tutaweza pata jibu ni kwanini wanandoa ambao huonekana wanapendana na ni watu wa kufuata morals na misingi ya dini ukakuta mmoja wao kafariki kwa Ukimwi akimuacha mwenzie kaathirika...
- Pale tu ambapo nature ya mahitaji ya mwili kwa ambae yupo sexually active... Hio hali yake iwe inazima kila inapotokea mumewe ama mkewe hayupo.....
NAOMBA Usinisome Vibaya nimeona niipaint the reality at least niionavo mimi.....