Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Whiskey, Vodka, Beer, Cigarettes, Women, Money etc, etc... are a man's worst enemies, and the man who runs away from his enemies is a COWARD.

Kwa mtazamo huu niliouna hapa nafikiri we have a long way to go...............kwa sababu sio tu tunafight maadui wa nje lakini pia kuna maadui wa ndani ambao ndio wabaya zaidi. But kwa msaada wa Mungu tutashinda.

Sasa the Boss my dia na timu yako yooote (watetezi wa nyumba ndogo), kwa hiyo post apo niliyoipost na ile nyingine uliyotolea mfano wa restaurant kwamba kuna smoking na nonsmoking zone, kwa kutolea mfano sigara japo zina madhara lakini mpaka madaktari wanavuta, kwa nguvu hizo hizo unaonaje ukitengeneza rules za kuwasaidia mafisadi. Na wao wajisikie vizuri kuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida na sisi wananchi wa kawaida tuwazoee na kuwakubali. (samahani kama nitakuwa nitoka nje ya mada)
 
AshaDii...najaribu kupitia mabandiko yako humu naona kuwa una uchungu na nyumba ndogo..na sababu kubwa wakati nasoma post zako humu nimeona moja kuwa wewe ni mhanga wa hii kitu(nyumba ndogo) imekufanya ukaachana na bwana yako na mmezaa watoto wawili.....pia kuna mahali naona kuwa unasema ''you have been there'' ukimaanisha kuwa nyumba ndogo ni yule aliye btn 25 na 37 nje ya hapo hakuna...hii sio kweli dada yangu.....hata humu jamvoni kuna jamaa aliwahi kusema uwa yuko na mama wa 51 na yeye ana 38

kingine ninavyosoma post zako naona unajiamini sana lakini pia una hasira na nyumba ndogo ...sababu kubwa ni hiyo kuwa wewe ni mhanga....

ninachoweza kukwambia ni hiki my sisy...huyo shemeji mme wake wa pili huyo kama ulivyosema mahali ''Almost perfect'' bado nae anakucheti tu....maana yake you are not certain with what you are saying....na ukigundua utaachana nae maana wewe ni ni kama samaki siku zote mbele hakuna kurudi rivas.....

cha msingi juu ya swala hili ni kila mtu kujua kwa nini yuko hapo....kwa nini ana nyumba ndogo....hata wewe tafakari kwa nini mumeo wa kwanza alikuwa anatoka nje ya ndoa yenu?? pengine wewe ndo ulikuwa una makosa.....ilikuchukua mda gani hadi ukaoewa na huyo bwana wa pili? ......leo hapa unaweza kutwambia kwa herufi kubwa kuwa ulimwacha bwana yako kisa alikuwa ana HIT na ku-RUN lakini kumbe na wewe ndani ya nyumba ulikuwa na mapungufu yako.....

kama alivyokwambia bishanga.....usiwe na jazba....

Naanza na sentensi yako ya mwisho... Muwe na huruma na muwe waelewa pia... Naona Bishanga, Klorokwin, EMT mnajaribu kui-rub ina... na NAKEREKWA SAANA na mtu ananiuliza then anaishingia njiani kunijibu.... Mfano Bishanga ambae yupo full soga hapa na kufurahia the Likes of Sarafina na Darling tone....

Naona umenisoma... ila nahisi kabisa umenisoma vibaya kwa sababu zifuatazo....

  1. Niliachana na mume wangu kwa sababu ya infedility.... na nikagundua kwa mpigo kua na mtaalam wa "hit and run" lakini sio nyumba ndogo...
  2. Nina hasira na wababa ambao wanajenga nyumba ndogo... sina hasira na mwanamke mwenyewe... However hasira inakuja pale tu ambapo anakuja brag mbele yangu kua yeye ni nyumba ndogo... otherwise asiponifuata; sina shida nae...
  3. Nasema nyie watu hamjui qualifications za nyumba ndogo mnabisha.... Ni uzi mrefu nitaanda speacial kabisa kwa ajili ya akina Darling tone na sarafina naona nawee umeongezeka katika list....
  4. Mimi sio mjinga wala sio naivu... mwanaume wangu ni lijali hasa... For instance niko nae mbali kitambo saana... Hivo the way namjua kua anapenda sex... I know kua lazima kisha lala na mwanamke mwingine huko... for ipo katika nature kua naweza vumilia hawezi... Ila aikiwepo hapa na afanye hivo aone mziki wake.
  5. Nimesema almost perfect... ulitaka niseme ni perfect kwako au katika macho ya jamii?? Ananiridhisha kwa sex... Ananisimamia kwa kila jambo... He is there for me... Ni good dad hata kwa watoto ambao sijazaa nao kwake... He is almost perfect.... I REPEAT Almost perfect... Kama ananicheat na kanicheat kwa brains sijaona... then be it... siwezi sema he is not perfect sababu tu najua aweza toka... kwanini nijiweke pressure juu niache kujipa raha???
  6. Mume wangu wa kwanza alichokua anataka nje ya ndoa yetu ni a lay with varieties... ni moja wa wale wanaume daima hataridhika na mwanamke mmoja... Na naamini sio kwamba nilikua na tatizo mim (for asingekua anataka turudiane wala kunisumbua anavonisumbua as much as i am married again....
Hakikisha umenielewa ndo unijibu...
 
Wala hujinitonesha Bishanga because its longtime ago, yaani I'm comfortable na maisha ninayoishi sasa kuliko wakati ule, mara uko wapi, ukifika naomba simu yako n.k wakati yeye hati aulizwe ndo sababu niliepusha msongamano nikajiweka pembeni, thanks God maisha yanaendelea.

you still deserve my pole,maana mazoea nayo yana tabu.
 
Mi nimependa vile unaonyesha kutokukubaliana na The boss
Umefanya vyema na watu wote tunapaswa kuiga na kuyaishai haya ambayo umeyasema
Bahati mbaya sikumbiki nilichangia vipi kwa The Boss
Ngoja nikakumbushie
 
I genuinely don't have the energy.... Wanaume wanaopita hapa wananiumiza... Wee na Sarafina mnaongea ukweli mtupu nao pia waniuma... Sina support... maybe i would have had the energy... lakini kweli kabisa sina.... Nashindwa kuelewa hasa tunabishana nini la mno... Ni wazi na nikweli kua cheating imekua juu.... Nabaki na Msimamo kua Kua na nyumba ndogo inaepukika whereas Infidelity itself haiepukiki.... Sorry maybe next time....

Well well ADii...
Komaa na wako....ila usishangae kugundua msaidizi.....(ila hapa isomeke hana nyumba ndogo)
 
There are currently 59 users browsing this thread. (24 members and 35 guests)
Wafuatiliaji 59 wanaochangia hata 10 hawafiki, hii sredi tukubaliane kutokubaliana tu. Kuna mengi sana ambayo hayasemwi watu wanaona aibu, ila yanayofanyika nyuma ya hizo aibu ni balaa. Kweli mbinguni mbali.

Sarafina,mbinguni sio tu kwamba ni mbali,inabidi ufe kwanza ndo ufike huko!
 
humu ndani naona mnataka kuniuaaaa!!! I pledge mtu anae ni quote ahakikishe kua kanisoma vizuri for nimechoka kujirudia.. the good thing ni kwamba bado nipO siondokii....

Nimekusoma sana ila kwenye hii thread kama vile unaandika using your heart badala ya brain. LOL. Na kwa kuwa wewe tayari ni victim inakuwia vigumu kuwa objective? Kwa vile wewe ni victim wa nyumba ndogo you are entitled to be bias. Lakini usidhani wengine tunaunga mkono nyumba ndogo. Wapo wengine hawajawhi kuwa na nyumba ndogo, lakini walikuwa victims wa nyumba ndogo wakiwa watoto.

Unamkumbuka Mark Sanford - Gavana wa jimbo la South Carolina na nyumba yake ndogo? Sanford ndiye alikuwa mwenyekiti wa chama cha magavana wa chama cha Republican (mpaka alipojiuzulu wadhifa huo) na alikuwa anategemewa kugombea uraisi mwaka 1012 dhidi ya Obama. Kama kawaida ya Republican gavana huyu pia alikuwa ni mpigania familia, mpinzani mkali wa mambo ya kishoga, usagaji, mapenzi nje (na kabla) ya ndoa na kila kitu kinachotishia uhai wa familia kama taasisi ya kijamii.

Swali ambalo watu wengi wanajiuliza ni kwa nini mtu mashuhuri kama mwanasiasa huyu mtegemewa anaamua kuwa na nyumba ndogo wakati akijua kabisa kwamba maisha yake ya kisiasa, umashuhuri, madaraka, pesa, heshima na kila kitu alichopigania katika maisha yake kitakwenda na maji? Tena hapa tunamzungumzia Mmarekani ambaye culture yao ni tofauti na ya kwetu inayoendekeza nyumba ndogo.

At the end of the day binadamu ni mnyama na tukitaka kufahamu jambo hili ni lazima tuangalie wanyama wengine wanavyoishi. Kwa kifupi sana ni kwamba inavyoonekana kila mnyama wa kiume analo lengo kuu moja kimaumbile - kusambaza "genes" zake kwa wingi kwa kadri inavyowezekana kabla hajafa; na tabia ya wanaume kuwa na nyumba ndogo na wapenzi wengi inawezekana ni kutaka kutimiza jukumu hili la kimaumbile.
 
Ad nakupongeza kwa maelezo yako
Msimamo ni kitu cha muhimu sana

Naanza na sentensi yako ya mwisho... Muwe na huruma na muwe waelewa pia... Naona Bishanga, Klorokwin, EMT mnajaribu kui-rub ina... na NAKEREKWA SAANA na mtu ananiuliza then anaishingia njiani kunijibu.... Mfano Bishanga ambae yupo full soga hapa na kufurahia the Likes of Sarafina na Darling tone....

Naona umenisoma... ila nahisi kabisa umenisoma vibaya kwa sababu zifuatazo....

  1. Niliachana na mume wangu kwa sababu ya infedility.... na nikagundua kwa mpigo kua na mtaalam wa "hit and run" lakini sio nyumba ndogo...
  2. Nina hasira na wababa ambao wanajenga nyumba ndogo... sina hasira na mwanamke mwenyewe... However hasira inakuja pale tu ambapo anakuja brag mbele yangu kua yeye ni nyumba ndogo... otherwise asiponifuata; sina shida nae...
  3. Nasema nyie watu hamjui qualifications za nyumba ndogo mnabisha.... Ni uzi mrefu nitaanda speacial kabisa kwa ajili ya akina Darling tone na sarafina naona nawee umeongezeka katika list....
  4. Mimi sio mjinga wala sio naivu... mwanaume wangu ni lijali hasa... For instance niko nae mbali kitambo saana... Hivo the way namjua kua anapenda sex... I know kua lazima kisha lala na mwanamke mwingine huko... for ipo katika nature kua naweza vumilia hawezi... Ila aikiwepo hapa na afanye hivo aone mziki wake.
  5. Nimesema almost perfect... ulitaka niseme ni perfect kwako au katika macho ya jamii?? Ananiridhisha kwa sex... Ananisimamia kwa kila jambo... He is there for me... Ni good dad hata kwa watoto ambao sijazaa nao kwake... He is almost perfect.... I REPEAT Almost perfect... Kama ananicheat na kanicheat kwa brains sijaona... then be it... siwezi sema he is not perfect sababu tu najua aweza toka... kwanini nijiweke pressure juu niache kujipa raha???
  6. Mume wangu wa kwanza alichokua anataka nje ya ndoa yetu ni a lay with varieties... ni moja wa wale wanaume daima hataridhika na mwanamke mmoja... Na naamini sio kwamba nilikua na tatizo mim (for asingekua anataka turudiane wala kunisumbua anavonisumbua as much as i am married again....
Hakikisha umenielewa ndo unijibu...
 
Avatar yako naikubali mzee. Umekonga mioyo ya wanawake wote tunaosababisha waume zetu kwenda nje ya ndoa!! The Boss kweli kweli! lol

Caroline...unajua una sound like you are falling for me,are you?
till now nakuona mlokole hivi,nakupitia mbaali,but could be?..........
 
I genuinely don't have the energy.... Wanaume wanaopita hapa wananiumiza... Wee na Sarafina mnaongea ukweli mtupu nao pia waniuma... Sina support... maybe i would have had the energy... lakini kweli kabisa sina.... Nashindwa kuelewa hasa tunabishana nini la mno... Ni wazi na nikweli kua cheating imekua juu.... Nabaki na Msimamo kua Kua na nyumba ndogo inaepukika whereas Infidelity itself haiepukiki.... Sorry maybe next time....

so the battle is over,the vanguished are in disarray ,the mighty warriors of the nyumba ndogo army are the ones who remain standing,hongereni wapiganaji,it has been a hard won battle! Lakini tusilale wanaweza kurudi hawa.
 
Asha mimi nimekuelewa saaana. Watu wanachukulia cheating ni cheating ila kuna tofauti kati ya one night stand na nyumba ndogo.

Hakuna mwanamke anayeweza kujiaminisha kuwa mume wake hajawahi kupiga one night stand.

Mimi pia niko far away najua fika my hubby atakuwa anapiga one night stand; ila naishi kwa amani saana maana sitaweza jua wala kuzuia kwani niko mbali.

Nachopigania ni nafasi yangu kwenye moyo wa mume wangu; as long as I feel am number one I will LOVE and cherish my hubby no matter what.

Ndio maana nikasema mara mia mwanaume achukue changu doa kuliko nyumba ndogo kwa kuwa nyumba ndogo ana nia ya kuiba penzi na si sex tu. Tatizo la nyumba ndogo ni permanence; have never experienced that; mume wangu hajawahi kutia nanga kwa mwanamke sijuhi kumpangia sijuhi nini; akifanya hivyo ndio utakuwa mwisho wa ndoa yetu.

Wale mlo nje ya ndoa au wenye ndoa changa hamtakaa muelewe mimi na Asha tunaongea nini. These things need experience, kama hujawahi experience ni ngumu kukubali; utakuwa too ideological.

Nilikuwa na mtazamo mgando kuliko wachangiaji wote in my first 5 years ya ndoa yangu.

Naanza na sentensi yako ya mwisho... Muwe na huruma na muwe waelewa pia... Naona Bishanga, Klorokwin, EMT mnajaribu kui-rub ina... na NAKEREKWA SAANA na mtu ananiuliza then anaishingia njiani kunijibu.... Mfano Bishanga ambae yupo full soga hapa na kufurahia the Likes of Sarafina na Darling tone....

Naona umenisoma... ila nahisi kabisa umenisoma vibaya kwa sababu zifuatazo....
  1. Niliachana na mume wangu kwa sababu ya infedility.... na nikagundua kwa mpigo kua na mtaalam wa "hit and run" lakini sio nyumba ndogo...
  2. Nina hasira na wababa ambao wanajenga nyumba ndogo... sina hasira na mwanamke mwenyewe... However hasira inakuja pale tu ambapo anakuja brag mbele yangu kua yeye ni nyumba ndogo... otherwise asiponifuata; sina shida nae...
  3. Nasema nyie watu hamjui qualifications za nyumba ndogo mnabisha.... Ni uzi mrefu nitaanda speacial kabisa kwa ajili ya akina Darling tone na sarafina naona nawee umeongezeka katika list....
  4. Mimi sio mjinga wala sio naivu... mwanaume wangu ni lijali hasa... For instance niko nae mbali kitambo saana... Hivo the way namjua kua anapenda sex... I know kua lazima kisha lala na mwanamke mwingine huko... for ipo katika nature kua naweza vumilia hawezi... Ila aikiwepo hapa na afanye hivo aone mziki wake.
  5. Nimesema almost perfect... ulitaka niseme ni perfect kwako au katika macho ya jamii?? Ananiridhisha kwa sex... Ananisimamia kwa kila jambo... He is there for me... Ni good dad hata kwa watoto ambao sijazaa nao kwake... He is almost perfect.... I REPEAT Almost perfect... Kama ananicheat na kanicheat kwa brains sijaona... then be it... siwezi sema he is not perfect sababu tu najua aweza toka... kwanini nijiweke pressure juu niache kujipa raha???
  6. Mume wangu wa kwanza alichokua anataka nje ya ndoa yetu ni a lay with varieties... ni moja wa wale wanaume daima hataridhika na mwanamke mmoja... Na naamini sio kwamba nilikua na tatizo mim (for asingekua anataka turudiane wala kunisumbua anavonisumbua as much as i am married again....
Hakikisha umenielewa ndo unijibu...
 
Nasikitika kuwaacha ila sikimbii bado msimamo wangu uko pale pale nitadamkia hapa asubuhi kuona kilichojiri, nawahi kumpikia mupenzi ili ifikapo saa mbili na nusu awe ashafika kwa familia yake.

Ashadii nakukubali sana mama unayoongea ni kweli tupu ila ndio hivyo tena
 
Unafikiri woman always feels for their fellow women? Lets take for example, in office environment. Research in sychological science has "found that women formed a negative view of their peers much quicker than men did…"

In other words, women are so full of venom and jealousy they will give no quarter of relief to anyone who disagrees with them, especially other women. In other other words, if women were toasters bodies would be flying out hitting the ceiling all day long. 🙂

The researchers wrote: "Women may simply weight negative information more heavily than men do, because negative information disrupts the establishment of intimacy, which serves a more important function in same-sex relationships for women than for men." Women less tolerant of each other than men are, study finds - Telegraph

EMT Pal... I know women don't feel for their fellow women... BUT Believe me you... I always do.... always.... Ndo maana niliweka msisitizo...
 
ni half--time sasa

And this is what happened in the dressing room and afterwards. Sijui huyu kocha ni was timu ipi? Ya The Boss na Klorokwini au RussianRoutlege na Asha Dii?

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom