Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Sasa ndio maana nawashangaa hao nyumba ndongo ni kwa nini wasifanye mapinduzi wakaolewa wao kuliko kubaki mpango wa kando??? Mwanaume akikutaka na ana mke mwambia divorce mkeo; njoo uishi na mimi; hapo ntakuona wa maana

Kama ulikuwa hujui ni kwamba hizo nyumba ndogo za sikuhizi hazitaki ndoa...

who needs a liability? AKi-divorce mke, basi imekula kwake
 
Nakubaliana na Jestina though it might not be a broken home 100%. Ila tabia nyingi za vijana zinatokana na makuzi.

Mfano sisi nyumbani sijuhi utaanzia wapi kumtambulisha huyo mume wa mtu. Yaani mziki utakaoupata ni bora ungekutana na mwenye mume. Tulikuwa tunajua kuwa ni taboo kutembea na married men.

Hapo kwenye red unadhani wanawake walio kwenye nyumba ndogo ndio pekee wanaotokea kwenye broken home? Kwamba wale wasiotokea kwenye broken home hawajihusishi na nyumba ndogo? Halafu kwa nini iwe kwa wanawake tuu? Vipi wanaume wanaotokea kwenye broken home?
Kwa culture ya Tanzania what what do you mean by a broken home? Kama unafikiri broken family ndio kiini cha tatizo how can women be independent financially,emotionally etc if the broken home is not fixed first?
 
Kwa kuwa umekuwa wazi tofauti na wengi; naomba nikuulize swali maana am curious. Do you have any feelings kwa huyo mume wa mtu? Husikii wivu kuchangia?? Au roho yako haijuhi kitu KUPENDA?

Kama ulikuwa hujui ni kwamba hizo nyumba ndogo za sikuhizi hazitaki ndoa...

who needs a liability? AKi-divorce mke, basi imekula kwake
 
Hivi katika hii topic hakuna mwanaume aliyedeclare kuwa yeye na nyumba ndogo no
AU wanaume wote tunashiriki hii dhambi ya kuwa na nyumba ndogo na cheating humo humo
Ningefurahji kama ningemuona mwanaume anayesema no to nyumba ndogo na anastick kwa mke au mchumba aliye nae

Hawawezi kusema... Anza wewe ku-declare

Ila ujue kwamba tulikuwa nao, tuko nao na tutaendelea kuwa nao...

Respect
 
Sijawahi kupenda wawili kwa hiyo siamini kuna kitu kama hicho.

Hata wenye wawili nina imani kuna mmoja anadanganywa.

Imani yako inaweza isiwe kweli kwasababu (hujawahi) ku-practice

Walio practice na waliopo kwenye ndoa za mitaala wanaona hakuna anayedanganywa

So usi-generalize imani yako
 
Kwa kuwa umekuwa wazi tofauti na wengi; naomba nikuulize swali maana am curious. Do you have any feelings kwa huyo mume wa mtu? Husikii wivu kuchangia?? Au roho yako haijuhi kitu KUPENDA?

Kupenda ni neno pana sana, nampenda kwa kile ninachompendea... kwa wakati ninaompendea, kwa heshima ninayompendea... na kwa sababu ninayompendea...
Kama nimeamua kwamba sitaki ndoa na nitakuwa na mume wa mtu ambaye ametulia, hatanisumbua sumbua, tunapanga mipango yetu ki-utu uzima na inatimia, kwa nini nimuonee wivu? akija kwako? NADA...
 
Am talking through my experience na si imani ya mtu mwingine. Siwezi jua watu wengine wana experience gani au wanaamini nini. That needs a research hata wewe huwezi kuthibitisha chochote zaidi ya imani yako wewe binafsi unless umefanya research.
Imani yako inaweza isiwe kweli kwasababu (hujawahi) ku-practice

Walio practice na waliopo kwenye ndoa za mitaala wanaona hakuna anayedanganywa

So usi-generalize imani yako
 
Kwa hiyo wewe huna wivu. Now I understand the qualities za nyumba ndogo. Mimi nina wivu mbaya siwezi kuwa small house.

Kupenda ni neno pana sana, nampenda kwa kile ninachompendea... kwa wakati ninaompendea, kwa heshima ninayompendea... na kwa sababu ninayompendea...
Kama nimeamua kwamba sitaki ndoa na nitakuwa na mume wa mtu ambaye ametulia, hatanisumbua sumbua, tunapanga mipango yetu ki-utu uzima na inatimia, kwa nini nimuonee wivu? akija kwako? NADA...
 
Unajua Dada Jestina... Nina muda mchache kukaa hapa lakini nina machache ya kukueleza

Kwanza, inatakiwa tujue sababu ya hao wanaume ku-cheat na kuwa na nyumba ndogo... kumbuka hata women nao wana cheat na wana ile list aliyoipanga Bujibuji...

Inawezekana ni nature na pia inawezekana kuna kitu kimemsukuma kwenda huko

Vile vile kwa hizi nyumba ndogo, hazianzi ghafla kwamba jumba dogo hilo limeota hewani... lazima limeanzia mahali...

NN alisema 99% ya wanaume wanacheat, na wanacheat na nani??, either mdada, mke wa mtu au mtoto wa mtu, ile degree ya mapenzi yao ndo inaenda mpaka kufikia nyumba ndogo...

sasa mamito... kama vile sababu za wanaume ku-cheat zinavyotofautiana, ndio hivyo sababu za wadada kutembea na wanaume waliooa pia inatofautiana. Kama umepitia some points huko nyuma utakuwa umeziona...

sasa kama wewe ni ile 0.02% aliosema NN, hebu waambie wenzako namna ya kupinga infidelity na u-nyumba ndogo... hii issue ni kama jukwaa la siasa, wataongea na fake promises wakitoka wanaenda kujipooza kwa nyumba ndogo

Halafu kumbuka kwamba hivi vitu vinafanyika kwa vitendo zaidi na si maneno..., wanaokuwa wanapinga ndio wanaongoza kwa vitendo

Darlingtone,

Nafikiri may be watu wengi hawajui kiini cha Nyumba ndogo. Wengi tumezaliwa tukazikuta na tutakufa na kuziacha. Na dunia ya sasa inafanya baadhi ya watu wayaone maisha kama perfection vile. Kwa dunia ya sasa ni rahisi to blame someone else for a problem. Tunasahau kabisa kuwa nyumba ndogo is rooted in your society na kusema tuu kuwa nachukia au sipendi nyumba kubwa won't help other than possibly be the next victim.

Kwenye jamii yetu ya Kitanzania si jambo la kushangaza mwanaume akiwa na nyumba ndogo au kuwa na wapenzi wengi na kwa kawaida. Utamaduni wetu unaruhusu jambo hili na ni shida kidogo kwa mwanaume kuridhika na mwenzi mmoja tu kimapenzi katika maisha yake yote. Kufanya hivyo kunamfanya ajione kama "failure" katika mashindano ya kimaumbile ya kusambaza "genes" zake kwa wanawake wengi kwa kadri inavyowezekana.

Kama nilivyosema mwanzo binadamu ni mmyama. Kuna mnyama mmoja tu ambaye ndiye amethibitika kwa asilimia 100 kuwa na mwenzi mmoja tu katika maisha yake yote - mnyoo fulani unaoishi katika matamvua (gills) ya samaki! Lakini hili lisitumike kama kisingizio na wanaume kuwa na nyumba ndogo. Kinyume na wanyama wengine, binadamu anao uwezo wa kuishinda hulka hii ya kimaumbile, na katika jamii ambazo hazikubaliani na mfumo wa wanaume kuwa na wanawake au wapenzi wengi, mwanaume anategemewa kuwa na mwenzi mmoja tu.

Lakini kwa bahati mbaya jamii yetu inaruhusu mwanaume kuwa na mwenzi zaidi ya mmoja. Kwa maana nyingine tatizo la nyumba ndogo sio la wanawake au wanaume bali ni suala la jamii nzima. Litatauliwa pale jamii itakapoamua kufanya hivyo. Unfortunately, jamii ya Tanzania hailekei kabisa kutafuta solution ya tatizo which is kinda like accepting nyumba ndogo to be part of our lives.
 
...khaaa, hii sredi inaendelea tu kuota mbawa....? mmefanikiwa 'kuwaokoa' wangapi?
mnajitafutia presha tu....the grass will always look greener on the other side...
grass.jpg

mwenzenu nishajikubalisha katika jambo nisiloweza shindana nalo ni kupingana na nature!
 
Yote yaliyosemwa yamesikika..BUT let me say this:
1.Ni makosa sana kusema eti 'Nyumba ndogo haikwepeki kisa tu watu wanazo...tunayafahamu mambo kwa sababu yanatokea, na haina maana kwamba kwa vile yapo basi lazima kila mtu ayafanye..hebu wanaume na wanawake tuazimie kuachana na falsafa hizi za 'nyumba ndogo'.
2.Hatuwezi kuwaambia wanaume waache kuwa na nyumba ndogo bila pia kuwakemea hao wanaofanywa nyumba ndogo (wanawake)..ni sawa na kumkataza mtoto wako asijichafue na matope wakati huko anakochezea kuna vumbi na mvua zinanyesha..inahitaji nguvu kubwa kuiliko hii..
3. Kwa vile wote wanaokuwa na nyumba ndogo ni watu wazima na wanaelewa madhara yake..pia si vibaya kuwaelewesha namna ya kuishi na nyumba zao ndogo bila kuleta athari kwenye nyumba kubwa.(kama alivyofanya The Boss)
4.The fact of being a husband or wife doesn't guarantee a person to live on what probably looks to be not his/her behavior..the issue of infedelity to a person is not something learned rather is something natured..However, even nature inevitably grows to be nurtured!!
my take:for those who thing they can't survive out of infidelity The Boss' thread sounds efficacy to you..and those who think infidelity is unethical and brutal take this RR's thread as a medicine and plz swallow it three times in a day ...
 
Guys am on the wheel sijakimbia.... Nisijepata ajari kwa ajili ya JF... Enways NITARUDI!!!!

I know I know endesha taratibu maana ile speech uliyoitoa half time ukirudi na timu yako kipindi cha pili lazima afe mtu, though kama matokeo yanaanza kujulika vile?

Last edited by a moderator:
Hivi katika hii topic hakuna mwanaume aliyedeclare kuwa yeye na nyumba ndogo no
AU wanaume wote tunashiriki hii dhambi ya kuwa na nyumba ndogo na cheating humo humu mmu

Ningefurahji kama ningemuona mwanaume anayesema no to nyumba ndogo na anastick kwa mke au mchumba aliye nae

The Finest alitoa azimio hilo jana,kisha The Boss akamchimbia mkwara kuwa anatafuta maujiko ili aopoe kirahisi mmu.
 
Unaona KBD, mimi lawama zote nitazileta kwako... Wewe kama mama ulikubali "for better for worse", magari ulichukulia poa, mansion ulichukulia poa, watoto kusoma FM academia ukachukulia poa, sasa Darling kupewa japo kiduchu... the "worse" part unaikataa...

Nyumba ndogo tupo, tuna heshima zetu na tunawasaidia tu kuboresha na si kuvuruga... sasa inapotokea mama unakaba mpaka penati, uwe tayari kuvumilia machungu pia. Ukiondoka kwa kweli damu ya hao watoto haitakuwa juu yangu.. Ni wewe mama yao "umewatelekeza"

Kweli duniani kuna watu na viatu,bila haya wala soni unakiri wewe ni nyumba ndogo.Ulikuwa wapi mpaka sasa unavizia vilivyopendezeshwa na wenzako.Huoni kwamba unajidhalilisha
 
Kweli duniani kuna watu na viatu,bila haya wala soni unakiri wewe ni nyumba ndogo.Ulikuwa wapi mpaka sasa unavizia vilivyopendezeshwa na wenzako.Huoni kwamba unajidhalilisha
Unadhani unaweza kupigana vita bila kumjua adui yako??..Kwa vyovyote kama mwanaume ana nyumba ana nyumba ndogo maana yake kuna mwanamke aliyewekwa kimada kwenye hiyo 'nyumba ndogo'..
Ndio maana nikasema ..hivi vita ni vigumu kuvishinda kama tutakuwa always tunadhani mwanaume ndio chanzo...
Welldone kwa huyu aliyejisema kama ni 'kimada'...kuilko wengine ambao wanapiga kelele nyingi kumbe nao pia wana 'stake' kwenye hili dili.
Bahati mbaya hapa tunapokwama kwenye kuainisha mambo 'sensitive' kama haya kwenye Jamii..Badala ya kumlaumu huyu dada ilitakiwa tumtumie yeye ili atupe uzoefu wa upande huo wa kike kuona ni jinsi gani wanavyochangia kwenye hili 'tatizo'..
 
...khaaa, hii sredi inaendelea tu kuota mbawa....? mmefanikiwa 'kuwaokoa' wangapi?
mnajitafutia presha tu....the grass will always look greener on the other side...
grass.jpg

mwenzenu nishajikubalisha katika jambo nisiloweza shindana nalo ni kupingana na nature!

Tunakushkuru mkuu Mbu kwa kutuwekea picha ya raba za Uporoto!
enhee tuendeleeni na mjadala wajameni!
 
Unadhani unaweza kupigana vita bila kumjua adui yako??..Kwa vyovyote kama mwanaume ana nyumba ana nyumba ndogo maana yake kuna mwanamke aliyewekwa kimada kwenye hiyo 'nyumba ndogo'..
Ndio maana nikasema ..hivi vita ni vigumu kuvishinda kama tutakuwa always tunadhani mwanaume ndio chanzo...
Welldone kwa huyu aliyejisema kama ni 'kimada'...kuilko wengine ambao wanapiga kelele nyingi kumbe nao pia wana 'stake' kwenye hili dili.
Bahati mbaya hapa tunapokwama kwenye kuainisha mambo 'sensitive' kama haya kwenye Jamii..Badala ya kumlaumu huyu dada ilitakiwa tumtumie yeye ili atupe uzoefu wa upande huo wa kike kuona ni jinsi gani wanavyochangia kwenye hili 'tatizo'..

Kwa kuangalia umri wake na anayofanya utajua tu kwa alimess up somewhere sasa hii ni kama njia ya kujifariji.Na hili ndilo kundi ambalo linasumbua ndoa nyingi.Wale wasichana wadogo wao ufanywa nyumba ndogo na wenye pesa.kwani wao wapo kimaslai zaidi.Ila hawa matured wao hawaangalii pesa wanahitaji mtu
 
Back
Top Bottom