Kwa kuangalia umri wake na anayofanya utajua tu kwa alimess up somewhere sasa hii ni kama njia ya kujifariji.Na hili ndilo kundi ambalo linasumbua ndoa nyingi.Wale wasichana wadogo wao ufanywa nyumba ndogo na wenye pesa.kwani wao wapo kimaslai zaidi.Ila hawa matured wao hawaangalii pesa wanahitaji mtu
kwenye bold ni mtazamo wako kwa sababu mimi nikiandika Z kwa mtu aliyekaa kulia kwangu ataona ni N, so sikukatalii kutoa maoni...
Lakini the opposite can also be true
Hii post nimeipenda... Mambo mengi unayooengea yapo very logical... Ila tu unanishangaza kua unafanya assumption kwamba kila mwanaume anae cheat ana nyumba ndogo.... Wanaume almost woote wanacheat.... Issue hapa ni nyumba ndogo... and that is where the problem lies.... Kwama ni HATARI saana mumeo kama anacheat na nyumba ndogo... Hasa for the health of his family..... Ndio maana napinga nyumba ndogo na kukataa kua sio kila mwanaume ana nyumba ndogo ingawa almost woote wana cheat!
AshaDii, nyumba ndogo zinaanzaje?, yaani mpaka kiwanja kipatikane, mchanga, kokoto, sementi na tofali zikusanywe, kajumba kajengwe, bati liwekwe, finishing, nk.... utagundua kwamba haianzi ghafla, cheating/infidelity can lead to nyumba ndogo, inategemea amekolea vipi, sasa ishu ni hii nyumba ndogo ina madhumuni gani na huyu bwana...
wacha maji yafuate mkondo wake! nivigumu kubadili nyeusi kuwa nyekundu ladha ya nyumba ndogo wanaijua wenyewe! linda yako tu mama na mumeo asipate hayo maujuzi. kesheni mkiomba!
That's Word....
dah ukisikia mawazo mfu ndio ya kwako dada. Why uibe wanaume wa watu? Kwa nn usitafute wako?
hv unajua uchungu anaoupata mwanamke mwenzako unapomuibia mumewe?
Je ww ukiolewa utafurahia mwanamke mwengine akuchukulie mumeo.
Badilika dada kitendo unachofanya ni uzinzi na dhambi kubwa.
Jamani, kwa nini hamuelewi kwamba hakuna aliyechukua nondo akaenda kwa nyumba kubwa akabomoa akaiba mume... they know what they are looking for... and they go look for it...
unajua barabara ina njia mbili, inayokuja na inayoelekea upande wa pili, unaposema atafute wa kwake... si ndio huyo amekuja? Atakuwa wa huyo mama akiwa naye chumbani, lakini akitoka nje tu.... Ni public property...lol
Hapo kwenye red mpenda.... hakuna dhambi kubwa wala ndogo mbele za mungu... labda kama wewe una kipimo
Wee Mpatanishi your career haikuruhusu kabisa kumshangaa huyo dada.... She is almost 40... Mwanaume gani ataoa mwanamke hajawahi olewa in the range ya hio age... Hilo huyo dada analitambua fika... hivo aidha awe lonely ama atembee na viserengeti.. Na ni mwanamke gani mwerevu (for she is) atakubali chafuliwa na vijana wadogo hali kuna wenye mvuto wa makamo BUT wana ndoa zao?? Tukija kwenye uzinzi... Siku hicho sio kitisho tosha maana siku hizi watoto wanaanza uzinzi at teen ages na watoto wenzao...
Kwenye underline... I beg to differ... Kuna watu wako 50's na hawajawahi kuoa, they don't want to die in solitude na bado wanaweza kuoa tu...
Kwenye Red na Blue.... U deserve a big hug for that... thanks