Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Hii ngoma The Boss hainaga kitchen party; inahitaji experiencial learning; si nadharia.

Nilikuwa nawaona wamama wanaosamehe waume zao waki wacheat kuwa akili zao zina walakini.

To my supprise nilipo experience hii kitu hata nilioshare nao hili tatizo including my very strict sister hakutia neno na mpaka leo ni best ya mume wangu. Nilijua atasema mdogo wangu you can live without him; considering that she has a perfect marriage I can say.

So, its all about kuelewana na kusameheana na kujua mapungufu ya mwenzi wako ili umsaidie.... asante
 
Nyumba ndogo the boss haivumiliki; kwani ni sawa na kukubali uke wenza; Kinachoweza kusamehewa (si kuvumilia) ni one two night stand basi. Kuvumilia nyumba ndogo ni ushenzi. Unless uwe low self esteem wife.

Kwa hiyo ukigundua mumeo ana nyumba ndogo unamuacha? Hutahitaji kujua kwa nini ameenda huko?
 
Unaweza kuniambiaje kuhusu wanaume wanaotembea na wake za wenzao... Do they have feelings for their fellow men? Tuna feelings sana ndo maana tunawasaidia kuboresha ndoa zao

Last edited by a moderator:
Hata nikijua haitasaidia sana sana itanifanya nijibebeshe lawama. Maana kama unavyoona watu wanavyopenda kutoa visingizio kuwa nyumba ndogo inasababishwa na nyumba kubwa. Nitamwachia huyo nyumba ndogo ( the perfect lady) nyumba nae awe nyumba kubwa.

Mume wangu akiwa na nyumba ndogo kosa ni lake na sitaki maelezo naondoka kwa amani kwani maelezo yatakuwa ni blaming tu.

Kwa hiyo ukigundua mumeo ana nyumba ndogo unamuacha? Hutahitaji kujua kwa nini ameenda huko?
 
Hata nikijua haitasaidia sana sana itanifanya nijibebeshe lawama. Maana kama unavyoona watu wanavyopenda kutoa visingizio kuwa nyumba ndogo inasababishwa na nyumba kubwa. Nitamwachia huyo nyumba ndogo ( the perfect lady) nyumba nae awe nyumba kubwa.

Mume wangu akiwa na nyumba ndogo kosa ni lake na sitaki maelezo naondoka kwa amani kwani maelezo yatakuwa ni blaming tu.

Kwa hiyo unakubali defeat? Na watoto je?
 
infidelity ni nature ya wanaume,duh only in africa ..........wenzetu wanaongoza kwa divorce rate ila atleast this proves their honesty..........wewe kama mwanaume grow some balls mwambie mkeo humtaki tena,fungasha kilicho chako nenda nyumba ndogo....sio kutaka kula huko na huku....hiii ni selfshness!

any woman with self respect hatakubali kuwa nyumba ndogo...nahisi na wewe utakuwa una background ya kutokea kwenye broken home ndio maana unaona sawa kuchukua mwanaume wa mwenzio because of anger in you.....

women let us learn not to be dependant,let it be financially,emotionally etc....
 
Hivi katika hii topic hakuna mwanaume aliyedeclare kuwa yeye na nyumba ndogo no
AU wanaume wote tunashiriki hii dhambi ya kuwa na nyumba ndogo na cheating humo humo
Ningefurahji kama ningemuona mwanaume anayesema no to nyumba ndogo na anastick kwa mke au mchumba aliye nae
 
  • Thanks
Reactions: EMT
..............itaendelea............ngoja nipande kaunta....:.......
 
By leaving him am not defeated my dear. Najua itamsumbua sana kwani I mean a lot to him; ila sitaangalia nyuma; atatia akili.

Watoto mahakama itaamua.

Ile zana ya kusemahe watu wanaofanya makosa kwako haipo kabisa..

Kila mtu anahitaji second chance bana acha hizo bibie..lol
 
Nyumba ndogo the boss haivumiliki; kwani ni sawa na kukubali uke wenza; Kinachoweza kusamehewa (si kuvumilia) ni one two night stand basi. Kuvumilia nyumba ndogo ni ushenzi.
Unless uwe low self esteem wife.

Kuna tofauti kati ya KUSAMEHE na KUVUMILIA. Hakuna cha uvumilivu, ila unasamehe kama mtu ametubu na kukusudia kuacha.

Hapo kwenye red sio ndipo kosa linapofanyika? The more one night stand unasamehe the more you're building nyumba ndogo. If one night stand can lead to nyumba kubwa, kwa sababu gani isi lead to nyumba ndogo?
 
Jestina nilitembelea blog moja ya wapopo (wanaigeria)

Walikuwa na long discussion kuhusu ndoa za siku hizi kutokudumu.

Topic ilikuwa is it okay to marry a divorcee?

Watu wote walochangia walisema it is quite okay; ila walilaani sana wanaume na wanawake wanaotembea na waume za watu.

But once watu wame divorce ni sawa tu kuoa/ kuolewa tena haya mambo ya till death do us part ni nadharia tu.

Kwa nikaona kumbe watu wengi wana mtazamo kama wangu.

Kama mume/mkeo unaona hakutimizii divorce him/her kaoe huyo anayefaa.

The door should always be open.

Sasa ndio maana nawashangaa hao nyumba ndongo ni kwa nini wasifanye mapinduzi wakaolewa wao kuliko kubaki mpango wa kando???

Mwanaume akikutaka na ana mke mwambia divorce mkeo; njoo uishi na mimi; hapo ntakuona wa maana
infidelity ni nature ya wanaume,duh only in africa ..........wenzetu wanaongoza kwa divorce rate ila atleast this proves their honesty..........wewe kama mwanaume grow some balls mwambie mkeo humtaki tena,fungasha kilicho chako nenda nyumba ndogo....sio kutaka kula huko na huku....hiii ni selfshness!

any woman with self respect hatakubali kuwa nyumba ndogo...nahisi na wewe utakuwa una background ya kutokea kwenye broken home ndio maana unaona sawa kuchukua mwanaume wa mwenzio because of anger in you.....

women let us learn not to be dependant,let it be financially,emotionally etc....
 
SI one night stand zote zina lead to nyumba ndogo na kama zitalead huko then narudia kuwa sina msamaha kwa mume mwenye permanent affair.

One night stand zipo saana dear; ila mwanaume makini akigundua ameteleza anapiga beat kwa hiyo one night stand kuwa isimtafute tena ana familia.

Na sizungumzii serial cheaters hapa nazungumzia wale walioteleza bahati mbaya.
Hapo kwenye red sio ndipo kosa linapofanyika? The more one night stand unasamehe the more you're building nyumba ndogo. If one night stand can lead to nyumba kubwa, kwa sababu gani isi lead to nyumba ndogo?
 
Jestina nilitembelea blog moja ya wapopo (wanaigeria)

Walikuwa na long discussion kuhusu ndoa za siku hizi kutokudumu.

Topic ilikuwa is it okay to marry a divorcee?

Watu wote walochangia walisema it is quite okay; ila walilaani sana wanaume na wanawake wanaotembea na waume za watu.

But once watu wame divorce ni sawa tu kuoa/ kuolewa tena haya mambo ya till death do us part ni nadharia tu.

Kwa nikaona kumbe watu wengi wana mtazamo kama wangu.

Kama mume/mkeo unaona hakutimizii divorce him/her kaoe huyo anayefaa.

The door should always be open.

Sasa ndio maana nawashangaa hao nyumba ndongo ni kwa nini wasifanye mapinduzi wakaolewa wao kuliko kubaki mpango wa kando???

Mwanaume akikutaka na ana mke mwambia divorce mkeo; njoo uishi na mimi; hapo ntakuona wa maana

Ukiwapenda wote wawili inakuwaje?

au wewe huamini kwamba unaweza kupenda wawili kwa pamoja?
 
infidelity ni nature ya wanaume,duh only in africa ..........wenzetu wanaongoza kwa divorce rate ila atleast this proves their honesty..........wewe kama mwanaume grow some balls mwambie mkeo humtaki tena,fungasha kilicho chako nenda nyumba ndogo....sio kutaka kula huko na huku....hiii ni selfshness!

any woman with self respect hatakubali kuwa nyumba ndogo...nahisi na wewe utakuwa una background ya kutokea kwenye broken home ndio maana unaona sawa kuchukua mwanaume wa mwenzio because of anger in you.....

women let us learn not to be dependant, let it be financially,emotionally etc....

Unajua Dada Jestina... Nina muda mchache kukaa hapa lakini nina machache ya kukueleza

Kwanza, inatakiwa tujue sababu ya hao wanaume ku-cheat na kuwa na nyumba ndogo... kumbuka hata women nao wana cheat na wana ile list aliyoipanga Bujibuji...

Inawezekana ni nature na pia inawezekana kuna kitu kimemsukuma kwenda huko

Vile vile kwa hizi nyumba ndogo, hazianzi ghafla kwamba jumba dogo hilo limeota hewani... lazima limeanzia mahali...

NN alisema 99% ya wanaume wanacheat, na wanacheat na nani??, either mdada, mke wa mtu au mtoto wa mtu, ile degree ya mapenzi yao ndo inaenda mpaka kufikia nyumba ndogo...

sasa mamito... kama vile sababu za wanaume ku-cheat zinavyotofautiana, ndio hivyo sababu za wadada kutembea na wanaume waliooa pia inatofautiana. Kama umepitia some points huko nyuma utakuwa umeziona...

sasa kama wewe ni ile 0.02% aliosema NN, hebu waambie wenzako namna ya kupinga infidelity na u-nyumba ndogo... hii issue ni kama jukwaa la siasa, wataongea na fake promises wakitoka wanaenda kujipooza kwa nyumba ndogo

Halafu kumbuka kwamba hivi vitu vinafanyika kwa vitendo zaidi na si maneno..., wanaokuwa wanapinga ndio wanaongoza kwa vitendo
 
infidelity ni nature ya wanaume,duh only in africa ..........wenzetu wanaongoza kwa divorce rate ila atleast this proves their honesty..........wewe kama mwanaume grow some balls mwambie mkeo humtaki tena,fungasha kilicho chako nenda nyumba ndogo....sio kutaka kula huko na huku....hiii ni selfshness!

any woman with self respect hatakubali kuwa nyumba ndogo...nahisi na wewe utakuwa una background ya kutokea kwenye broken home ndio maana unaona sawa kuchukua mwanaume wa mwenzio because of anger in you.....

women let us learn not to be dependant,let it be financially,emotionally etc....

Hapo kwenye red unadhani wanawake walio kwenye nyumba ndogo ndio pekee wanaotokea kwenye broken home? Kwamba wale wasiotokea kwenye broken home hawajihusishi na nyumba ndogo? Halafu kwa nini iwe kwa wanawake tuu? Vipi wanaume wanaotokea kwenye broken home?
Kwa culture ya Tanzania what what do you mean by a broken home? Kama unafikiri broken family ndio kiini cha tatizo how can women be independent financially,emotionally etc if the broken home problem is not fixed first?
 
Sijawahi kupenda wawili kwa hiyo siamini kuna kitu kama hicho.

Hata wenye wawili nina imani kuna mmoja anadanganywa.

Back
Top Bottom