tapatalk_1566422842686.jpeg


Hata kuwa lindoni huwezi...
 
Alright listen up!

Halahala wale wanaoingiza hizi vocha.

Ukikuta vocha barabarani, au ukitumiwa vocha na usiyemjua, unashauriwa usiingize kwenye simu yako.

Likitokea tukio kubwa la kiuhalifu, polisi huwa wanachukua vitu vingi kama vielelezo. Vocha zilizotumika zikiwemo, hasa kama kuna uwezekano vocha hiyo ikawa connected na kesi (mfano shuhuda aliona mhalifu akiingiza vocha na kupiga simu)

Polisi wataenda kwa mtandap husika ili uwape namba ya simu iliyoingiza vocha hiyo. Namba hiyo itakuwa namba ya simu ya mshukiwa wa tukio.

Usiombe ikawa namba yako ya simu.

Very good analysis, nadhani nimeshawahi kusikia au kuona SMS iliyokuwa inasambaa kuhusu tukio la namna hii Sinza, ilikuwa issue ya murder case.

Mkuu asante kwa kutufumbua macho. Personally nimekuelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom