Nzuri tu farkhina
Vyema kuskia ivo.
Wapo wanalima, mavuno baada ya miez tisa
Kwema bro wangu
Muda wa kupumzika huu
Haya night night.
Na kwako pia, uote ndoto nzuri ee...
shangazi wewe,,unakuja wakat wa mavuno tushangazi nipo nije kubimba
shangazi wewe,,unakuja wakat wa mavuno tu
shangazi bhana,kuna mavuno mengine sioEnhe
shangazi bhana,kuna mavuno mengine sio
Hahahahha nakuona shangazi unavyotoka ndukiHahahhah hayo siyo mie siyahisabu nisijiongezee madhambi bure
Nipo crush wangu carbamazepineMzungu upo?
Nipo crush wangu carbamazepine
Hakuna wa kuniteka zaidi yakoKunitoroka nayo??
Au ulitekwa na wewe??
wacha weeHakuna wa kuniteka zaidi yako
Nikikutoroka lengo nijue kwa kiasi gani ni vigumu kuishi mbali nawe