Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Ke au Me?
 
Khadjanito

Sijui kwa nini tunakinzana
Akati najua tunapendana
Hatua zetu zinapishana
Kwenye safari yetu ya mapenzi

Si ulisema mwenyewe nisipige simu wala kutuma meseji
Na ukasema kwamba hupendi kuniona unaweza tokwa machozi
Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia
Hili limekaa haifai kunyamaziwa
Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia
Hili limekaa haifai kunyamaziwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom