JF Usiku wa Manane...!

No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,453
Points
2,000
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,453 2,000
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
 
Multiple Myeloma

Multiple Myeloma

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
449
Points
500
Multiple Myeloma

Multiple Myeloma

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2016
449 500
Baada ya kupiga bia 7 nmerudi maskani ila mpka muda huu nawaza Bora ningekesha... ucngz umesepa kabisa
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,475
Top