Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Amekusikia, amekuja mwenyewe fasta. Umemuona?
hujambo mpenzi?
Amekusikia, amekuja mwenyewe fasta. Umemuona?
hujambo mpenzi?
Yaani pamoja na kuweka sadaka ya juice ya Lita moja ya Azam pale Amboni Caves, KOKUTONA amekosa Ukatibu?...ninaanza kupata mashaka na genuiness ya ile mizimu ya mapangoni!Marahaba, habari za Arusha!
Mwenyekiti- Dark City
Katibu- Mwanyasi
M/Hazina- Kokutona.
Kwa kuanzia ni hao.
Kweli mkuu.....
Wale ambao hawana wasi wasi na/au wamechoka kujificha nyuma ya keyboards wawasiliane na kamanda Mwanyasi afanye vitu vyake....
Tutakutana tena soon....kwa hiyo wasichelewe!!
Babu DC!!
misr you tøo mpendwa
Yeah, count me in Charminglady!.Yeah... itabidi tuaandae party la nguvu mamaa Elizabeth Dominic atafanya kila liwezekanalo ili kufanikisha prty hii.... Kwani JF Rock City na Lake Zone kwa ujumla imelala sana. Tunawakaribisha member wote toka ndani na nje ya Rock City. Kama M'Jr, Yegomasika, Kingmairo, GREAT VISIONAIRE na wengineoo!!!!!!!!
Kiongozi, hongereni sn kwa kutoka nje ya box na ku'extend territory.
Naamini mtasonga mbele na kuperfom wonders coz team yenu mkuu ni kamilifu kila Idara.
Tuko pamoja mkuu,
Nyie na sisi ni watoto wa mama mmoja....
Babu DC!!
Yeah, count me in Charminglady!.
ooh..k,Ndio mpenzi........ Au umesahau tulikubaliana nihame.........
Karibu sana mkuu... We have to organise ourselves kukutana na kutengeneza JF Lake Zone Wing ya ukweli mpaka Wing zingine waona wivu kwani kutangulia sio kufika.....
Babu DC, sisi ni watoto wa baba mmoja!!!