Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
ooh..k,
Au bebii......Kama hujapenda nihame.......
ooh..k,
Babu DC, sisi ni watoto wa baba mmoja!!!
Au bebii......Kama hujapenda nihame.......
Yaani pamoja na kuweka sadaka ya juice ya Lita moja ya Azam pale Amboni Caves, KOKUTONA amekosa Ukatibu?...ninaanza kupata mashaka na genuiness ya ile mizimu ya mapangoni!
Otherwise guys nimefurahishwa sn na hatua yenu hii ya kuwa na cream ya uongozi.
Kuna social matters nyingi tu ambazo mnaweza kuzikabili kama group, lkn pia hata kama hakuna ishu yoyote c mbaya kusocialize pamoja.
Mmenifurahisha sn, japo sipo Tanga najua nina percent ndogo sn (0.05%)ya hisa za Tanga-Wing.
Tujuzane yanayojiri wakuu.
Not so sure.... Hujaona haya makitu yanayopima maDNA yanavyotenganisha baba na watoto? I prefer watoto wa mama mmoja darling...uhakika asilimia zote
nimefurahishwa sana na hatu .mliyofikia hongereni sana nawatakia mafanikio mema.
uongozi umetulia Darky City Mwanyasi KOKUTONA big up
salam za pekee zimfikie CHUAKACHARA
Jamani nimekumiss!!!?
Ishia hapo hapo!!!
Not so sure.... Hujaona haya makitu yanayopima maDNA yanavyotenganisha baba na watoto? I prefer watoto wa mama mmoja darling...uhakika asilimia zote