JF Tanga Wing wakutana

JF Tanga Wing wakutana

Chimbuvu, charminglady , beibe nasty, Evelyn Salt, Elizabeth Dominic, ThinkPad nikija mwanza this time, itabidi ni organize party la wanajf Rock city, kwa ushirikiano mkubwa wa event planner wangu Elizabeth DominicHabari zisizo rasmi: naskia tumepata member mpya mwenye initials NM, ni kweli au uvumi tu?

Yeah... itabidi tuaandae party la nguvu mamaa Elizabeth Dominic atafanya kila liwezekanalo ili kufanikisha prty hii.... Kwani JF Rock City na Lake Zone kwa ujumla imelala sana. Tunawakaribisha member wote toka ndani na nje ya Rock City. Kama M'Jr, Yegomasika, Kingmairo, GREAT VISIONAIRE na wengineoo!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom