ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 236
Why sad!!! Wakati upo JF Lake Zone, sisi ndo wakazi wa Lake Zone i.e. Rock City kwanini tusijipange tukameet???? ThinkPad??
Me ntarudi zangu Tanga watu wa mwanza mmezubaa sana, wakati nasoma udsm nilikula ubwabwa kwenye arusi ya Invisible.
Lakini mwanza kha watu wamezubaa hata kusema w.end moja twende royal beach tukabalizi wapi