JF Tanga Wing wakutana

JF Tanga Wing wakutana

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
7,954
Reaction score
7,113
Jana mchana (19/01/2013) Wana JF tuliopo Tanga tulikutana na kujadili mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kuchagua uongozi.
Nitumie fursa hii kuwapongeza na kuwashukuru wote waliohudhuria kikao hicho. Kikosi kipo kamili sana lakini tunawakumbusha wale wote waliopo Tanga na wangependa kuwa pamoja nasi kuwasilina na mimi au Dark City; tunawakaribisha sana. PakaJimmy Preta, Filipo, Arushaone, marejesho, Lily Flower, watu8 Smile..... tumeanza kazi tuliyoahidi kuifanya.
 
Last edited by a moderator:

Asante for your quick post. Jamani, next time came all those in Tanga
 
Hongereni sana Mwanyasi na JF TANGA in general! Binafsi nawatakia mafanikio mema ili hatimaye muwe kama sisi wanaJF Arusha. Kumbuka sisi tuna mpaka bank a/c ila yote hayo yatategemea uhamasishaji wa viongozi na mwamko binafsi wa member moja moja.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Jana mchana (19/01/2013) Wana JF tuliopo Tanga tulikutana na kujadili mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kuchagua uongozi.
Nitumie fursa hii kuwapongeza na kuwashukuru wote waliohudhuria kikao hicho. Kikosi kipo kamili sana lakini tunawakumbusha wale wote waliopo Tanga na wangependa kuwa pamoja nasi kuwasilina na mimi au Dark City; tunawakaribisha sana. PakaJimmy Preta, Filipo, Arushaone, marejesho, Lily Flower, watu8 Smile..... tumeanza kazi tuliyoahidi kuifanya.

Ahsante sana Mh. Katibu,

Naona kazi imeanza sasa...hakuna kulala......

Wakuje wa members wote wa Ta....pia uwakumbushe kuwa tuna shchem nzuri sana kiasi kwamba adoption inakubalika.....

Wapi Madame B na Smile tuwape uanachama bure??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Asante for your quick post. Jamani, next time came all those in Tanga

Kweli mkuu.....

Wale ambao hawana wasi wasi na/au wamechoka kujificha nyuma ya keyboards wawasiliane na kamanda Mwanyasi afanye vitu vyake....

Tutakutana tena soon....kwa hiyo wasichelewe!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom