JF Tanga Wing wakutana

JF Tanga Wing wakutana

Kumbe ni la kibisa? Lol! mie, sijatoa mchango ila naliona jina langu sasa sijui nani kalipa tu. Nafurahi kusikia upo njema.
nipo poa kabisa namshukuru Muumba wangu......inakuwaje bana mambo yametaiti au wamwogopa Filipo anabweka lakini hang'ati
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni la kibisa? Lol! mie, sijatoa mchango ila naliona jina langu sasa sijui nani kalipa tu. Nafurahi kusikia upo njema.

Mimi ndio "la kibisa!?" hah hah hah hah hah! Bahati yako nimeoa!
 
Yaani pamoja na kuweka sadaka ya juice ya Lita moja ya Azam pale Amboni Caves, KOKUTONA amekosa Ukatibu?...ninaanza kupata mashaka na genuiness ya ile mizimu ya mapangoni!

Otherwise guys nimefurahishwa sn na hatua yenu hii ya kuwa na cream ya uongozi.
Kuna social matters nyingi tu ambazo mnaweza kuzikabili kama group, lkn pia hata kama hakuna ishu yoyote c mbaya kusocialize pamoja.
Mmenifurahisha sn, japo sipo Tanga najua nina percent ndogo sn (0.05%)ya hisa za Tanga-Wing.
Tujuzane yanayojiri wakuu.
Mwanzo mgumu, lakini penye nia pana njia. Kukutana na kuongea ni jambo la muhimu sana. hata kuwa na marafiki ni jambo la heri. Tukija Arusha tayari tuna wenyeji kuliko kujifungia hotel!
 
Back
Top Bottom