King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Hahah, lazma uwe mtumishi wa umma wewe! Ziara ya mafunzo tena? Fanyeni kikao kwa skype bwana, kha!
Manake kununua tu ct scanner moja shurti watu tisa wazunguke nusu dunia kwa ziara ya mafunzo! Tanzania oyeee!
Manake kununua tu ct scanner moja shurti watu tisa wazunguke nusu dunia kwa ziara ya mafunzo! Tanzania oyeee!
Ahsante kwa taarifa mkuu, hao viongozi wanapaswa kuja Arusha kwa ziara ya mafunzo. cc PakaJimmy.
Last edited by a moderator: