JF Tanga Wing wakutana

JF Tanga Wing wakutana

Jana mchana (19/01/2013) Wana JF tuliopo Tanga tulikutana na kujadili mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kuchagua uongozi.
Nitumie fursa hii kuwapongeza na kuwashukuru wote waliohudhuria kikao hicho. Kikosi kipo kamili sana lakini tunawakumbusha wale wote waliopo Tanga na wangependa kuwa pamoja nasi kuwasilina na mimi au Dark City; tunawakaribisha sana. PakaJimmy Preta, Filipo, Arushaone, marejesho, Lily Flower, watu8 Smile..... tumeanza kazi tuliyoahidi kuifanya.

Ahsante katibu tumekusoma.

Tunaamini JF Tanga wing itasimama, let us work together
 
Back
Top Bottom