hakuna ulazima! Si unajua tena mara oh umependeza,unafanana na dadangu! Story full Khaa! Ebu nitafutie a lady miye 2jimuvuzishe zetu beach!
Asante kwa taarifa broo ila kwenyevinywaji naona umewatenga wasiotumia kilevi, wanywa maji na juice inakuweje? Halafu kuponi inamruhusu mtu kunywa bia 4, zikiisha anaruhusiwa kujinunulia?
Good work mmejitolea na mmejitahidi sana hongereni. Nikipata ratiba ya party itaanza saa ngapi basi nami ntalipiamo niwemo walau nigonge cheers ya mwaka mpya na wadau wa jf.
Will appreciate much ukinijibu maswali hayo. Najua pia wako wengi wenye kuhitaji information hii.
Wasiotumia vileo wataconvert hizo bia to maji/soda...
Shaka ondoka bidada!!!
Mimi nilidhani wasiotumia vileo wanapewa discount??
But....huwa ni vigumu kupiga hesabu ya kila mtu na mahitaji yake.
Bahati nzuri mimi mmenipa RED Card....
Babu DC!!
Hahahaaaa.... Babu thi uje tu ila utavaa ile miwani yako ya mbao!!!!
Hii comment imenifanya nitume mchango dakika tano zilizopita, Mkuu tutakutana tupeane ukweli bila chenga.
Cc ladyfurahia
ila mm sitakuweppo bestito kwani niko busy kidogo na vishughuli vya hapa na pale wewe utakuwepo hapo siku hiyo?
Nitakuwepo siku hiyo.
mm sitakuwepo baby ni kazi zimenibana
Me niko tayar Munkari
Mbona tulishakubaliana?
Nitawatuma wajukuu zangu waniwakilishe.....
Ngoja nimalzie kuwalipia......
Babu DC!!!
Thawa babu yetu mdhuli....